C camerlengo JF-Expert Member Joined Jun 28, 2025 Posts 1,034 Reaction score 1,002 Jan 28, 2026 #101 Malaria 2 said: Mwaka wenu huu wasomi. Maphd wakirisito. Mpaka inafika 2030 nyuso zishazeeka kwa hasira Click to expand... Kinachokuuma ni hayo ma PhD
Malaria 2 said: Mwaka wenu huu wasomi. Maphd wakirisito. Mpaka inafika 2030 nyuso zishazeeka kwa hasira Click to expand... Kinachokuuma ni hayo ma PhD
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 15,568 Reaction score 29,756 Jan 28, 2026 #102 Malaria 2 said: Mwaka wenu huu wasomi. Maphd wakirisito. Mpaka inafika 2030 nyuso zishazeeka kwa hasira Click to expand... Umerudia kusoma ulichoandika??? Au na wewe ni miongoni mwa hicho kikundi.?
Malaria 2 said: Mwaka wenu huu wasomi. Maphd wakirisito. Mpaka inafika 2030 nyuso zishazeeka kwa hasira Click to expand... Umerudia kusoma ulichoandika??? Au na wewe ni miongoni mwa hicho kikundi.?
Idimulwa Platinum Member Joined May 27, 2011 Posts 6,351 Reaction score 5,556 Jan 28, 2026 #103 Parokia Ya Yombo Dovya Mtakatifu????
Nguruvi3 Platinum Member Joined Jun 21, 2010 Posts 16,601 Reaction score 34,760 Jan 28, 2026 #104 THE BIG SHOW said: Shida siyo hao unaowasema Tatizo la nchi hii ni hao jamaa zako wavaa magauni ambao wanaishi kwa masterbation Click to expand... Nimewatetea Wakato-link kwamba ikiwa wanafanya shughuli zao kama upandaji miti n.k. wanakosea wapi? Wakatoliki na Wakato-link wote wana haki ya kuabudu. Ni kama vile Mahakama kuu ilipotoa hukumu kwamba BAKWATA si uwakilishi wa Waislam wote. Vikundi vingine vina haki pia. Hoja kuu ni watu wasichanganye shughuli za Wakatoliki na zile za Wakato-link. Hilo tu JokaKuu
THE BIG SHOW said: Shida siyo hao unaowasema Tatizo la nchi hii ni hao jamaa zako wavaa magauni ambao wanaishi kwa masterbation Click to expand... Nimewatetea Wakato-link kwamba ikiwa wanafanya shughuli zao kama upandaji miti n.k. wanakosea wapi? Wakatoliki na Wakato-link wote wana haki ya kuabudu. Ni kama vile Mahakama kuu ilipotoa hukumu kwamba BAKWATA si uwakilishi wa Waislam wote. Vikundi vingine vina haki pia. Hoja kuu ni watu wasichanganye shughuli za Wakatoliki na zile za Wakato-link. Hilo tu JokaKuu
jebs2002 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2008 Posts 11,860 Reaction score 12,071 Jan 29, 2026 #105 Inasikitisha sana sana sana 🤬🤬🤬🤬🤬