ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Catholic and Anglican they are always brothersNaona Catholic na Anglican wanaenda kuwa kitu kimoja.
Anglican wamefikia hatua ya kufungisha ndoa za jinsia moja.
Catholic wapo kwenye hatua ya kubariki wanaojihusisha na ushoga (LGBTQ) wakitoka hapo ni kuanza kufungisha ndoa.
Ni kheri Lutheran walioruhusu makasisi wao (wachungaji) kuoa na wanawake kuolewa.
Ama kweli dunia imefika pabaya. Miaka ya 70s, 80s & 90s kurudi nyuma ilikuwa mtu anatambulika jinsia yake kwa kumwangalia. Hakuna mjadala ni aidha ME au KE.
Leo hii unaliona dume kabisa lakini bado unaliuliza jinsia yake na bila aibu linakujibu yeye ni SHEMALE. WTF!
Duh sijuagi master, kumbe ni wakala wa LGWewe ni mgeni humu mkuu? Huyo sio mwanamke,huyo ni mpunga! Uliza vizuri
Wakala huyo! Kitambo sana alishajiweka waziDuh sijuagi master, kumbe ni wakala wa LG
Jf bwana kumbe unaeza kaa unaheshim mashoga na hujui😀Wakala huyo! Kitambo sana alishajiweka wazi
Kiufundi walioko juu wanajua ila wanatoa comment zao kwa umakini mkubwa.Kwahiyo mpaka Askofu Ruwaichi hajaelewa papa alichokisema!.?
Nakumbuka miaka kadhaa nyuma nilihama kabisa kanisa Katoliki.... Ukoo ulinitenga kabisa.... Kama nawaona vile wale wazee.... Ee Mwenyezi Mungu tunaomba kwa unyenyekevu sana Rehema zako zitufunike.Mimi mwenyewe Leo nmeenda Lutheran
Yule mzee ameniudhi sana yaan naona aibu kabsaa
Kuzikwa kikatoliki kuna faida gani.?Mwisho wake ulikuwaje? Aliagiza akifa azikwe Kikatoliki, hii ilikuwa na maana gani? Na kweli alizikwa Kama Padre Mkatoliki! Katoliki ni maji, usipoyaoga utayanywa!
Unaona kitu cha maana kumzika marehemu kwa namna unayotaka japo mlitofautiana na hakukutaka akiwa hai?!Mwisho wake ulikuwaje? Aliagiza akifa azikwe Kikatoliki, hii ilikuwa na maana gani? Na kweli alizikwa Kama Padre Mkatoliki! Katoliki ni maji, usipoyaoga utayanywa!
Haya makanisa yetu ya Protestant huwa hakuna complications kabisa kwenye mambo ya kuhamia.Lutheran likianzishwa na padre tena mkubwa wa kanisa katoliki hongera sana ni hatua nzuri ya kuanzia kiimani kuliko kutosali kabisa kwa kuzira kwendawe kanisani ..
Wengine waige uamuzi wako wasiache kwenda kanisani Lutheran huwa hawana masharti magumu ya kusali kwao hata uwe wa kanisa lolote waweza enda sali hata kila ibada bila kuhangaika kujitambulisha hata waseme wageni wasimamame kauka ila siku ukijisikia kujiunga unaongea tu na Mzee wa kanisa kuwa unataka kujiunga na Lutheran process haina complications za aina yeyote sio lazima uonane na Mchungaji mzee wa kanisa atakuchukulia fomu haina mambo mengi utahesabika muumini uwe mkatolii,mpentecoste,Msabato nk mtu akiwa anatoka dini yeyote ya Kikristo au msabato kujiunga rahisi sana na hawabatizi tena kama ukibatizwa ukiwa mdogo au mkubwa dhehebu lako wanakuchukulia ni Mkristo halali unayeruhusiwa kuwa mlutheri ukitaka wewe na familia yako yote
Badala ya kutamba na Ukristo unatamba na Ukatoliki. Pole sana!Mwisho wake ulikuwaje? Aliagiza akifa azikwe Kikatoliki, hii ilikuwa na maana gani? Na kweli alizikwa Kama Padre Mkatoliki! Katoliki ni maji, usipoyaoga utayanywa!
Washaurini mapadre wenu wakatae tamko la Papa na waanzishe katoliki isiyokubali ushoga.Tayari nimeshaanza taratibu za kijiunga Lutheran.
Ha..ha..ha, and thatCatholic and Anglican they are always brothers
Itakua alipokaribia kufa walimfanya kama kingungeMwisho wake ulikuwaje? Aliagiza akifa azikwe Kikatoliki, hii ilikuwa na maana gani? Na kweli alizikwa Kama Padre Mkatoliki! Katoliki ni maji, usipoyaoga utayanywa!
We endelea kukaza fuvu tuu..kuna kubwa zaidi linakuja huko kwenye ukatoliki wakoMwisho wake ulikuwaje? Aliagiza akifa azikwe Kikatoliki, hii ilikuwa na maana gani? Na kweli alizikwa Kama Padre Mkatoliki! Katoliki ni maji, usipoyaoga utayanywa!
Hayo ni ya kwako hayajaandikwa kokoteMwisho wake ulikuwaje? Aliagiza akifa azikwe Kikatoliki, hii ilikuwa na maana gani? Na kweli alizikwa Kama Padre Mkatoliki! Katoliki ni maji, usipoyaoga utayanywa!
Sasa wakfu unasaidia nini kama mtu ni mdhambi na anaspoti ushoga. Ndiyo maana nasemaga wa Africa tunashida ktk software mahali fulani. Yaani hapo kuwekwa wakfu ndo Kuna maana kuliko biblia. Sijui atakujibu nini hapo?Samahani lakini, nami naomba kujua papa wa kwanza aliwekwa wakfu na nani