Lutheran likianzishwa na padre tena mkubwa wa kanisa katoliki hongera sana ni hatua nzuri ya kuanzia kiimani kuliko kutosali kabisa kwa kuzira kwendawe kanisani ..
Wengine waige uamuzi wako wasiache kwenda kanisani Lutheran huwa hawana masharti magumu ya kusali kwao hata uwe wa kanisa lolote waweza enda sali hata kila ibada bila kuhangaika kujitambulisha hata waseme wageni wasimamame kauka ila siku ukijisikia kujiunga unaongea tu na Mzee wa kanisa kuwa unataka kujiunga na Lutheran process haina complications za aina yeyote sio lazima uonane na Mchungaji mzee wa kanisa atakuchukulia fomu haina mambo mengi utahesabika muumini uwe mkatolii,mpentecoste,Msabato nk mtu akiwa anatoka dini yeyote ya Kikristo au msabato kujiunga rahisi sana na hawabatizi tena kama ukibatizwa ukiwa mdogo au mkubwa dhehebu lako wanakuchukulia ni Mkristo halali unayeruhusiwa kuwa mlutheri ukitaka wewe na familia yako yote