Wakatoliki sasa wanaelewa kwa nini Padre Martin Luther alimpinga Papa na kuanzisha dhehebu la Lutheran

Wakatoliki sasa wanaelewa kwa nini Padre Martin Luther alimpinga Papa na kuanzisha dhehebu la Lutheran

Naona Catholic na Anglican wanaenda kuwa kitu kimoja.

Anglican wamefikia hatua ya kufungisha ndoa za jinsia moja.

Catholic wapo kwenye hatua ya kubariki wanaojihusisha na ushoga (LGBTQ) wakitoka hapo ni kuanza kufungisha ndoa.

Ni kheri Lutheran walioruhusu makasisi wao (wachungaji) kuoa na wanawake kuolewa.

Ama kweli dunia imefika pabaya. Miaka ya 70s, 80s & 90s kurudi nyuma ilikuwa mtu anatambulika jinsia yake kwa kumwangalia. Hakuna mjadala ni aidha ME au KE.

Leo hii unaliona dume kabisa lakini bado unaliuliza jinsia yake na bila aibu linakujibu yeye ni SHEMALE. WTF!
Catholic and Anglican they are always brothers
 
Kwahiyo mpaka Askofu Ruwaichi hajaelewa papa alichokisema!.?
Kiufundi walioko juu wanajua ila wanatoa comment zao kwa umakini mkubwa.

Ndio maana nikasema wanalo jukumu la ku clear atmosphere kwa kuelewesha waumini ili wasiishi kwa hearsay tofauti na maana iliyokusudiwa na Mkuu wa kanisa.

Ukisoma vizuri comment yangu utaona kua kuna kundi linaelewa maana hasa ya "kuwabariki".
 
Mimi mwenyewe Leo nmeenda Lutheran
Yule mzee ameniudhi sana yaan naona aibu kabsaa
Nakumbuka miaka kadhaa nyuma nilihama kabisa kanisa Katoliki.... Ukoo ulinitenga kabisa.... Kama nawaona vile wale wazee.... Ee Mwenyezi Mungu tunaomba kwa unyenyekevu sana Rehema zako zitufunike.
 
Hawa jamaa walimvamia Rais wa FIFA na kombe lake la Dunia wakitaka yeye apitishe mambo ya ushoga kwenye michezo Infatino yupo sawa sana kichwani maana German na England Timu zao walikua na jezi zenye kusapoti LGBT aliwaambia Timu yeyote itakayoingia na jezi hiyo itafungiwa kushiriki WC walimchukia sana na uzuri Qatar waandaji wa hilo kombe na mambo ya ushoga waliyapinga kwa nguvu zote.
Niliona jamaa wamejipanga wakaja kumuuliza Messi na Ronaldo walitegemea watapata watu wa kupeperusha bendera yak ya upuuzi hao jamaa wote walijibu kuwa wana familia na pia wanatamani kuona kizazi chao kikiendelea walichukizwa sana na hizi kauli za manguli wa soka Duniani huo mguu wahuni wamempelekea Papa naona kashindwa kutoa sare cha kushangaza anaanza yeye kutoa tamko ili waumini wake wafate tamko lake huyu Papa kaikosea sana Dunia angetuacha aisee...
 
Mwisho wake ulikuwaje? Aliagiza akifa azikwe Kikatoliki, hii ilikuwa na maana gani? Na kweli alizikwa Kama Padre Mkatoliki! Katoliki ni maji, usipoyaoga utayanywa!
Kuzikwa kikatoliki kuna faida gani.?
 
Tunawakaribisha Prontestant.


Wajitenge na watengeneze katoliki isiyokubali tamko la kidhetani la Papa.


Kule Mbeya kuna usharika Lutheri waligombana na wakatengana,Kuna Lutheri 2;wanaojiita wana uamsho (Kiongozi alisepa na Kijiji), na ile Lutheri sasa iliyobaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwisho wake ulikuwaje? Aliagiza akifa azikwe Kikatoliki, hii ilikuwa na maana gani? Na kweli alizikwa Kama Padre Mkatoliki! Katoliki ni maji, usipoyaoga utayanywa!
Unaona kitu cha maana kumzika marehemu kwa namna unayotaka japo mlitofautiana na hakukutaka akiwa hai?!
 
Lutheran likianzishwa na padre tena mkubwa wa kanisa katoliki hongera sana ni hatua nzuri ya kuanzia kiimani kuliko kutosali kabisa kwa kuzira kwendawe kanisani ..

Wengine waige uamuzi wako wasiache kwenda kanisani Lutheran huwa hawana masharti magumu ya kusali kwao hata uwe wa kanisa lolote waweza enda sali hata kila ibada bila kuhangaika kujitambulisha hata waseme wageni wasimamame kauka ila siku ukijisikia kujiunga unaongea tu na Mzee wa kanisa kuwa unataka kujiunga na Lutheran process haina complications za aina yeyote sio lazima uonane na Mchungaji mzee wa kanisa atakuchukulia fomu haina mambo mengi utahesabika muumini uwe mkatolii,mpentecoste,Msabato nk mtu akiwa anatoka dini yeyote ya Kikristo au msabato kujiunga rahisi sana na hawabatizi tena kama ukibatizwa ukiwa mdogo au mkubwa dhehebu lako wanakuchukulia ni Mkristo halali unayeruhusiwa kuwa mlutheri ukitaka wewe na familia yako yote
Haya makanisa yetu ya Protestant huwa hakuna complications kabisa kwenye mambo ya kuhamia.

Njoo sasa Pentecostal Churches,,watataka waende kukuzamisha mitoni na mabwawani, na wakati ulishabatizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwisho wake ulikuwaje? Aliagiza akifa azikwe Kikatoliki, hii ilikuwa na maana gani? Na kweli alizikwa Kama Padre Mkatoliki! Katoliki ni maji, usipoyaoga utayanywa!
Itakua alipokaribia kufa walimfanya kama kingunge
 
Mwisho wake ulikuwaje? Aliagiza akifa azikwe Kikatoliki, hii ilikuwa na maana gani? Na kweli alizikwa Kama Padre Mkatoliki! Katoliki ni maji, usipoyaoga utayanywa!
We endelea kukaza fuvu tuu..kuna kubwa zaidi linakuja huko kwenye ukatoliki wako
 
Samahani lakini, nami naomba kujua papa wa kwanza aliwekwa wakfu na nani
Sasa wakfu unasaidia nini kama mtu ni mdhambi na anaspoti ushoga. Ndiyo maana nasemaga wa Africa tunashida ktk software mahali fulani. Yaani hapo kuwekwa wakfu ndo Kuna maana kuliko biblia. Sijui atakujibu nini hapo?
 
Back
Top Bottom