Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

Tayari huku
 
Nyie wakatoliki uchwara mnao tetea ushenzi kwa misingi ya kufia imani kwenye mambo ya kipuuzi mna akili kweli au wendawazimu ?
 
we huku nadhani uwe muugwana hutaelewa wala kueleweka kabisa....
Actually sio kwamba utashindwa but kazi yako itakua rahisi zaid ya kule yaani kupinga tu kwa mihemko....

kwenye kuporomosha matusi nahisi ndiko patachafua hali ya hewa
Huku ni kanisani Nini boss, au unataka kujionyesha una nidhamu sana? Usijafanye kuwa ni superior sana wakati ni mnafiki wa kawaida sana. Ni hivi, huko RC endeleeni kuburuzwa Hadi sasa mmeingizwa kwenye ushoga bila ridhaa yenu. Na ni wapi umetukanwa, maana ww hata kukutuna ni kukutafutia umaarufu usiokuwa nao.
 

Wapi kwenye ule waraka wamesema watabariki mashoga?

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kanisa Katoliki litabariki Mali za mashoga!!

Kwanini Mali za mashoga?

Kwanini wasitangaze kubariki Mali za wazinzi, wezi , majambazi, wauaji na wakabaji?

Waafrika mna IQ ndogo sana Yani Hadi hapo bado tu hamjui kuwa kanisa Katoliki linaunga mkono ushoga?

Yani wewe unataka Papa aseme Mimi na kanisa langu la Katoliki tunaunga mkono ushoga?
Hawawezi kusema hivyo Kwa sababu wanahitaji uwepo wako na sadaka yako
 
Kwa ajili ya usalama na ustawi wa Kanisa letu, Jodje Bergoglio ( Pope Francis) anatakiwa ajiuzulu otherwise Mungu ataamua mwenyewe juu ya kanisa lake takatifu.

#katika yote, kupenda na kutumikia.
 
sio najionyesha najiepusha na mvua ya matusi hali ya kuwa wanaJF wanajadiliana mambo ya msingi...
 
hapo vipi👇👇👇👇
Your browser is not able to display this video.
 
Linalotakiwa ni wakatoliki kufuata njia ya waanglikana kwa kukana uongozi wa vatican. Waanglikan afrika na kote duniani wamegoma siku nyingi kuongozwa na kanisa la uingereza kutokana na maaskofu kukumbatia ushoga. Vatican kuna uozo mkubwa na umafia umeshaliteka kanisa ila wengi maskini wakatoliki wanafikiri vatican ni utakatifu mtupu. Poland tayari baraza ya maaskofu wameweka msimamo hawatabariki mashoga.
 
Hao wajinga ndiyo waliwao si mpaka waijuwe aibu maana yake nini.

Mtu anaeenda chooni bila kutawadha na maji anaijuwa aibu nini? Maawe.
 
Wakaristo waumini wa Mwenyezi Mungu mmoja, tunawakaribisha katika Uislam.

Uislam ni mwema sana.
 
Kwani nyie shoga akibarikiwa mnakufa...hivi dhambi zenu za uzinzi, ufisadi utapeli, ukatili, ubakaji watoto etc ukiwekwa wazi Kuna mtu atasimama...hizi dini zote za mchongo ..hao Vatican ndo wamekuletea Yesu cjui musa cjui nani we Leo upo kimara bonyokwa unajifanya unamjua Mungu zaidi ya papa...hata aibu huna.
 
Sijaelewa unatetea ushoga au unatetea kauli ya papa kisa ni Kiongozi mkubwa wa Dhehebu uliyorithishwa bila kujua misingi yake? Hakika RC's heri Yuda angezaliwa tena angalitubu mapema hata kabla ya kuwa mwanafunzi wa Yesu kuliko hiki kizazi cha Sasa chenye macho lakini hayaoni,yanye maarifa lakini hayaelemiki,yenye masikio yasiyo sikia kwa Amri ya Musa ningewaponda mawe wewe pamoja na huyo Papa wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…