Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

sio najionyesha najiepusha na mvua ya matusi hali ya kuwa wanaJF wanajadiliana mambo ya msingi...
Hakuna wa kukutakana, labda unajifanya descent tu ili uonekane bonge la mstaarabu, lakini huna lolote maana ni wa kawaida sana. Ww hata kukutukana ni kukupatia sifa usiyostahili.
 
Umepotosha kwa kiasi kikubwa, unaonekana hujasoma hata ule waraka wa Vatican, ulichofanya ni kuokoteza maneno kwa wengine na kuja kuanzisha huu uzi wako hapa, hujafanya uchunguzi wowote, sasa hiyo aibu aione nani?

- Kama hutaki mashoga wavumiliwe na kutambuliwa ndani ya Kanisa Katoliki, unataka wezi, waongo kama wewe, na wazinzi, wao pekee ndio waendelee kuvumiliwa? Kanisa Katoliki haliishi kwenye misingi ya kinafiki.

- Kwanini hutaki mashoga wapewe sakramenti kama waumini wengine? au wale wanaopewa ni watakatifu? hayupo yeyote miongoni mwao mwenye dhambi? Hapa unaonesha ulivyojaa ubinafsi, Papa yuko above your thinking capacity.

- Wapi umeona kwenye ule waraka wa Vatican pameandikwa Kanisa Katoliki litabariki mashoga? tuwekee hapa tupaone, kisha nami nitakuwekea pale palipoandikwa Kanisa Katoliki litabariki mali za mashoga, sio mashoga kama ulivyopotosha hapa.

Hii ni sawa na kubariki mali za wengine wasiojulikana tabia na matendo yao, hakuna yeyote anayejulikana kama ni mzinzi sababu hufanyia sirini, mwizi hufanyia sirini, kujaribu kuwatenga mashoga kama vile wao pekee ndio wenye dhambi ni unafiki na ubinafsi, Papa hataki huu unafiki.

Papa anajua miongoni mwetu hayupo aliyekamilika, Kanisa Katoliki pia linajua hivyo, tukianza kutazamana usoni na kutengana mwisho wa siku huko kanisani atabaki nani? injili atahubiriwa nani? hujui hata Yesu Kristu alikuja duniani ili kuwahubiria wenye dhambi wapate kuokoka?

Mna upeo mdogo sana kifikra, na thinking yenu ni ya kijima sana wakati Kanisa Katoliki lilishatoka huko.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Yaelekea wewe ni shoga lenye mapembe huko kwenye marinda ushaota sugu...[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Umepotosha kwa kiasi kikubwa, unaonekana hujasoma hata ule waraka wa Vatican, ulichofanya ni kuokoteza maneno kwa wengine na kuja kuanzisha huu uzi wako hapa, hujafanya uchunguzi wowote, sasa hiyo aibu aione nani?

- Kama hutaki mashoga wavumiliwe na kutambuliwa ndani ya Kanisa Katoliki, unataka wezi, waongo kama wewe, na wazinzi, wao pekee ndio waendelee kuvumiliwa? Kanisa Katoliki haliishi kwenye misingi ya kinafiki.
Kwa nini Mungu alishindwa kuwavumilia watu wa Sodoma na Gomora?

Kama Mungu ana vumilia ushoga, Kwa nini ali angamiza watu wa Sodoma na Gomora?

Kanisa lenu hilo la Romani, Ni la Mungu gani anaye vumilia ushoga?
- Kwanini hutaki mashoga wapewe sakramenti kama waumini wengine?
Kwa nini mashoga waanze kupewa hizo Sakramenti sasa hivi na sio tangu zamani?

Kwani mashoga wameanza kuwepo leo hii?

au wale wanaopewa ni watakatifu? hayupo yeyote miongoni mwao mwenye dhambi? Hapa unaonesha ulivyojaa ubinafsi, Papa yuko above your thinking capacity.

- Wapi umeona kwenye ule waraka wa Vatican pameandikwa Kanisa Katoliki litabariki mashoga? tuwekee hapa tupaone, kisha nami nitakuwekea pale palipoandikwa Kanisa Katoliki litabariki mali za mashoga, sio mashoga kama ulivyopotosha hapa.

Hii ni sawa na kubariki mali za wengine wasiojulikana tabia na matendo yao, hakuna yeyote anayejulikana kama ni mzinzi sababu hufanyia sirini, mwizi hufanyia sirini, kujaribu kuwatenga mashoga kama vile wao pekee ndio wenye dhambi ni unafiki na ubinafsi, Papa hataki huu unafiki.

Papa anajua miongoni mwetu hayupo aliyekamilika, Kanisa Katoliki pia linajua hivyo, tukianza kutazamana usoni na kutengana mwisho wa siku huko kanisani atabaki nani? injili atahubiriwa nani? hujui hata Yesu Kristu alikuja duniani ili kuwahubiria wenye dhambi wapate kuokoka?

Mna upeo mdogo sana kifikra, na thinking yenu ni ya kijima sana wakati Kanisa Katoliki lilishatoka huko.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini Mungu alishindwa kuwavumilia watu wa Sodoma na Gomora?

Kama Mungu ana vumilia ushoga, Kwa nini ali angamiza watu wa Sodoma na Gomora?

Kanisa lenu hilo la Romani, Ni la Mungu gani anaye vumilia ushoga?

Kwa nini mashoga waanze kupewa hizo Sakramenti sasa hivi na sio tangu zamani?

Kwani mashoga wameanza kuwepo leo hii?

Akijibu nishtue nione majibu yake [emoji41]
 
Wakatoliki maji yamezidi unga.

Mnakuja na utetezi na ufafanuzi uchwara..[emoji1]

You are trying to redefine the term "Blessing" kwa kupachika pachika viji maneno uchwara.
Hayo ndiyo maneno yao mashoga wote duniani pale unapowainamisha unawala tigo wanavalagiza maneno mbele nyuma nyuma mbele.
Wacha tuwale tigo wanataka wenyewe mbwa hawa!! [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hivi kumbe kuna watu bado wanamtetea papa kwamba tumetafsiri vibaya!!!

Mtu yeyote anayefanya mambo ya kishoga hatakiwi kupewa favor ya namna yeyote huoni mungu aliangamiza sodoma. Mission ya kanisa imeshajulikana ulimwenguni kote hatuhitaji maelezo mengine.
 
Hakuna wa kukutakana, labda unajifanya descent tu ili uonekane bonge la mstaarabu, lakini huna lolote maana ni wa kawaida sana. Ww hata kukutukana ni kukupatia sifa usiyostahili.
nakukibali sana mkuu kwa ungwana wako kwa wasaa huu, aise ubarikiwe sana daima. Pamoja sana katika majadiliano ya hoja kistaarabu..
Tupendane ndugu zangu ila sio kishoga 🤣
 
Umepotosha kwa kiasi kikubwa, unaonekana hujasoma hata ule waraka wa Vatican, ulichofanya ni kuokoteza maneno kwa wengine na kuja kuanzisha huu uzi wako hapa, hujafanya uchunguzi wowote, sasa hiyo aibu aione nani?

- Kama hutaki mashoga wavumiliwe na kutambuliwa ndani ya Kanisa Katoliki, unataka wezi, waongo kama wewe, na wazinzi, wao pekee ndio waendelee kuvumiliwa? Kanisa Katoliki haliishi kwenye misingi ya kinafiki.

- Kwanini hutaki mashoga wapewe sakramenti kama waumini wengine? au wale wanaopewa ni watakatifu? hayupo yeyote miongoni mwao mwenye dhambi? Hapa unaonesha ulivyojaa ubinafsi, Papa yuko above your thinking capacity.

- Wapi umeona kwenye ule waraka wa Vatican pameandikwa Kanisa Katoliki litabariki mashoga? tuwekee hapa tupaone, kisha nami nitakuwekea pale palipoandikwa Kanisa Katoliki litabariki mali za mashoga, sio mashoga kama ulivyopotosha hapa.

Hii ni sawa na kubariki mali za wengine wasiojulikana tabia na matendo yao, hakuna yeyote anayejulikana kama ni mzinzi sababu hufanyia sirini, mwizi hufanyia sirini, kujaribu kuwatenga mashoga kama vile wao pekee ndio wenye dhambi ni unafiki na ubinafsi, Papa hataki huu unafiki.

Papa anajua miongoni mwetu hayupo aliyekamilika, Kanisa Katoliki pia linajua hivyo, tukianza kutazamana usoni na kutengana mwisho wa siku huko kanisani atabaki nani? injili atahubiriwa nani? hujui hata Yesu Kristu alikuja duniani ili kuwahubiria wenye dhambi wapate kuokoka?

Mna upeo mdogo sana kifikra, na thinking yenu ni ya kijima sana wakati Kanisa Katoliki lilishatoka huko.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Ni mjinga pekee anaweza kufananisha ulevi,uzinzi,uongo na wanaume kuingiliana wenyewe kwa wenyewe kupitia njia ya haja kubwa wakati Mungu aliyewaumba aliwawekea kiungo mahususi kwa mwanamke kwa shughuli hiyo.Hizo dhambi haziwezi kulingana kwa namna yoyote ile.Kitendo cha kanisa kujadili hilo ni makosa makubwa kwasababu mikama kumrekebisha Mungu kua alikosea kumuumba mwanamke.
 
Uislamu pia ujadiliwe Kwani inaruhusu ulawiti. Qur 2:223 inasema wanawake ni konde zenu zieendeeni konde zenu kama mpendavyo, tafsiri ya Kitabu Sabulus-Salam juzuu 3 ambapo Mtume Muhammad anasema Aya hii imeteremshwa kwa ajili ya wanaume kuwaingilia wake zao tupu zao za nyuma.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Konde ni shamba, sasa unapoambiwa liendee shamba upendavyo maana yake panda mbegu yako utakavyo, yaani ni upande kwa style yeyote ili mradi mbegu iote na matunda yaonekane, sasa nyie endeleeni kufirana tu tuone kama mtazaa

NB
Quran haitafsiriwi tu kama mnavyodanganyana, kuijua Qur'an ni usomeshwe bwashee

Jipige kifua na useme mimi ni mpumbavu
 
Kwa nini Mungu alishindwa kuwavumilia watu wa Sodoma na Gomora?

Kama Mungu ana vumilia ushoga, Kwa nini ali angamiza watu wa Sodoma na Gomora?

Kanisa lenu hilo la Romani, Ni la Mungu gani anaye vumilia ushoga?

Kwa nini mashoga waanze kupewa hizo Sakramenti sasa hivi na sio tangu zamani?

Kwani mashoga wameanza kuwepo leo hii?
Kasome vizuri huo mstari wa Mungu kuangamiza sodoma na gomora uone kama hakuonesha huruma alipoulizwa unataka kuwahukumu wote? katafute uone alijibu nini.

Tatizo lenu mnakariri maandiko pasipo kuyaelewa, mnakurupuka tu.

Kuamini Mungu ana kisirani kama wanadamu ni ujinga usio na mipaka.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Sio siri tena tangu Papa na Vatican kutoa miongozo ya kuukumbatia ushoga, kwa sasa wakatoliki wengi wameanza kupoteza furaha, amani, ujasiri na ufahari wa kujivunia ukatoliki.

Papa na Vatican walianza kutoa kauli tata za kuona ushoga (kubadili jinsia nk) sio dhambi ya kukemewa na kanisa (yaani mashoga wavumiliwe na kutambuliwa kama sehemu ya waumini ndani ya kanisa katoliki), baadaye wakaja kutoa ruhusa mashoga kuwa wadhamini wa sacramenti za kikatoliki (Ubatizo, Komunio, ndoa) na sasa ruhusa kwa mashoga kubarikiwa! Mwelekeo unaotabiriwa kufuata ni kanisa katoliki kuanza kufungisha ndoa za mashoga na hitimisho ni kanisa katoliki kuja kuruhusu kuwa na makasisi mashoga.

Wengine walijaribu kutetea Kanisa Katoliki kwa kusema Papa na Vatican wamenukuliwa vibaya, lakini kadri muda ulivyokwenda hali imezidi kuwa wazi na mbaya kiasi cha watetezi wa Katoliki kuanza kusalimu amri.

Kwa sasa ukatoliki umewekwa kapu moja na harakati za kuukuza na kuulinda ushoga duniani.

Mwaka huu huenda ndio mwaka mbaya zaidi kwa waumini wa kikatoliki katika kujivunia imani yao. Upepo bado unavuma, mawimbi bado yanaibuka na chombo kimeanza kuyumba huku safari ikiwa imeshika kasi.
Mimi ni mkatoliki ninayoijua na kuiamini dini yangu vizuri. Siwezi kuyumbishwa wala kukwazishwa na mtu yeyote hata kama ni pope. Tuko wengi wa aina yangu
 
Konde ni shamba, sasa unapoambiwa liendee shamba upendavyo maana yake panda mbegu yako utakavyo, yaani ni upande kwa style yeyote ili mradi mbegu iote na matunda yaonekane, sasa nyie endeleeni kufirana tu tuone kama mtazaa

NB
Quran haitafsiriwi tu kama mnavyodanganyana, kuijua Qur'an ni usomeshwe bwashee

Jipige kifua na useme mimi ni mpumbavu
Vp kuhusu satanic verses?
 
Kwa nini Mungu alishindwa kuwavumilia watu wa Sodoma na Gomora?

Kama Mungu ana vumilia ushoga, Kwa nini ali angamiza watu wa Sodoma na Gomora?

Kanisa lenu hilo la Romani, Ni la Mungu gani anaye vumilia ushoga?

Kwa nini mashoga waanze kupewa hizo Sakramenti sasa hivi na sio tangu zamani?

Kwani mashoga wameanza kuwepo leo hii?
We unajuaje Sodom na Gomorrah ni actual historical event na sio hekaya za wayahudi?
 
Ni mjinga pekee anaweza kufananisha ulevi,uzinzi,uongo na wanaume kuingiliana wenyewe kwa wenyewe kupitia njia ya haja kubwa wakati Mungu aliyewaumba aliwawekea kiungo mahususi kwa mwanamke kwa shughuli hiyo.Hizo dhambi haziwezi kulingana kwa namna yoyote ile.Kitendo cha kanisa kujadili hilo ni makosa makubwa kwasababu mikama kumrekebisha Mungu kua alikosea kumuumba mwanamke.
We demu wako hajawahi kukunyonya mboo .... hujawahi nyonya matiti ya demu wako...je Mungu aliumba viungo hivyo kutumika hivyo ...acheni unafki..unajudge wenzako kwa dhambi ambazo we hufanyi ila za kwako unasema "afadhali"
 
Konde ni shamba, sasa unapoambiwa liendee shamba upendavyo maana yake panda mbegu yako utakavyo, yaani ni upande kwa style yeyote ili mradi mbegu iote na matunda yaonekane, sasa nyie endeleeni kufirana tu tuone kama mtazaa

NB
Quran haitafsiriwi tu kama mnavyodanganyana, kuijua Qur'an ni usomeshwe bwashee

Jipige kifua na useme mimi ni mpumbavu
Anayefirana kwani kakuambia anataka kuzaa?
 
Back
Top Bottom