Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

Kwa hiyo wewe unaunga mkono msimamo wa Papa na Vatican wa kuwafanya mashoga kuwa sehemu ya ukatoliki kiasi cha kubarikiwa na kuruhusu mashoga kudhamini sakramenti takatifu?

Pole sana.
Kanisa ni taasisi na lina taratibu zake. Papa ni kiongozi tena wa kuchaguliwa na anaruhusiwa kuwa na misimamo binafsi. Misimamo hiyo inaweza kuwa sahihi au isiwe sahihi. What counts ni kanisa linasemaje. Papa siyo kanisa.
 
Kwa hiyo wewe unaunga mkono msimamo wa Papa na Vatican wa kuwafanya mashoga kuwa sehemu ya ukatoliki kiasi cha kubarikiwa na kuruhusu mashoga kudhamini sakramenti takatifu?

Pole sana.
Kwann mashoga wasipate sacrament ya ekaristi takatifu? Mbna wengine wanapataaa?

Unafikiii unakusumbua wee babaa, khaaah
 
Pole sana denoo JG
Naona mada yangu imekuumiza sana, nisamehe bure, sikukulenga wewe binafsi au yoyote mwenye msimamo kama wako.

Mada yangu ilikuwa ni kuleta taarifa kuhusu maumivu wanayopitia wakatoliki wengi walioisikia kauli ya Papa na Vatican kutumia mwamvuli wa kanisa Katoliki kuwavuta mashoga kuwa sehemu kamili ya wakatoliki. Haijarishi utakiri hadharani au utapinga hadharani, ukweli ni kuwa kauli ya Papa kiujumla amewanyima furaha wakatoliki na kuwapa nguvu mashoga.
 
Viherehere acheni viherehere na yasiyo yenu na yasiyoyakweli kwa manufaa ya ukiherehere wenu🤣
 
Kanisa ni taasisi na lina taratibu zake. Papa ni kiongozi tena wa kuchaguliwa na anaruhusiwa kuwa na misimamo binafsi. Misimamo hiyo inaweza kuwa sahihi au isiwe sahihi. What counts ni kanisa linasemaje. Papa siyo kanisa.
Nadhani wewe ni mkatoliki mchanga sana. Bado hufahamu chochote kuhusu muundo wa kimamlaka wa kikatoliki.

Kwa kifupi sana kuweza kukusaidia, Papa ndio msingi na mhimili wa kanisa Katoliki. Hakosolewi wala hapingwi, kauli yake ndio mwanzo na mwisho katika ukatoliki. Kwanini? Kikatoliki, Papa ndio aliyekabidhiwa 'funguo' za mbinguni na duniani, atakachokisema au kuamua ndio kinakuwa kimefungwa mbinguni na duniani!

Ukatoliki una mambo.
 
Huwezi kunielewa ,coz dini kwako ni kama ushabiki wa Simba na yanga,huelewi chochote brother
 
NImezaliwa mkatoliki na hadi sasa ni mkatoliki ninaufahamu vizuri kuliko wewe.
 
Huo ni mwanzo miaka 30-50 ijayo watahalilisha tu,nakushauri fata imani za mababu zako kuliko kuhangaika kutetea mila na desturi za weupe.
 
Kwa hiyo wewe unaunga mkono msimamo wa Papa na Vatican wa kuwafanya mashoga kuwa sehemu ya ukatoliki kiasi cha kubarikiwa na kuruhusu mashoga kudhamini sakramenti takatifu?

Pole sana.
Hayo umeyasikia kwa mumeo mrevi wa kangara
 
Haiondoi ukweli uislam hauna room ya kujadili ama ukubaliwe au ukataliwe ni NOOOOO. Lakini kwa papa kila siku anajiuma uma kuhusu ushoga
Mashoga mpaka wanaenda kuhiji huko maka yenu
 
NImezaliwa mkatoliki na hadi sasa ni mkatoliki ninaufahamu vizuri kuliko wewe.
Sasa mbona unasadiki vitu ambavyo havipo kwenye ukatoliki? Unawezaje ukapinga au kukosoa msimamo wa Papa wazi wazi?
Hata mtoto ambaye hajapata komunio ya kwanza anajua muundo wa mamlaka ya kanisa Katoliki, wewe vipi hujui?
 
PAPA ni nguzo muhimu katika kuusimamia mfumo wa utawala wa shetani duniani, yeye akiwa kwenye upande wa dini. anafanya kazi kwa karibu sana akiwa na grey pope, na black pope.


YESU NI BWANA NA MWOKOZI
Yesu vile vile alilaumiwa sana na viongozi wa kidini wa Kiyahudi wakimwita rafiki wa makahaba na walevi kisa tu alikuwa anawatafuta wadhambi awahubiri wabadilike. Papa Paulo naye analaumiwa kwa kuwa anataka mashoga wasitengwe wahubiriwe wabadilike. Msimamo wa Yesu ulikuwa, mzima hahitaji daktari Ila mgonjwa, wagonjwa ndio mashoga wanahitaji daktari.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Papa amesema ruksa makanisa kufungisha ndoa za ushoga,poleeeeni
Mwongozo wa Wakristo ni Biblia, je Kuna Aya inayoruhusu ushoga? Kwenye Quran Kuna Aya nyingi sana zinazohalalisha liwati na uzinzi, mfano Quran 33:50 inaruhusu Mtume Muhammad kizini na wanawake wote wa Kiislamu wanaojitoa Bure kwake, hapa fikiria eti ni Mungu kasema! Pia Quran 33:37 inaruhusu Mtume Muhammad kuoa mke wa mtu Zainabu eti Mungu kasema! Hizi ni Aya kabisa lakini hili la Papa, hakuna Aya kwenye Biblia inayoruhusu ushoga, inakuwaje linavaliwa bango huku wakiacha lililoruhusiwa na Mungu Allah la kuoa mke wa mtu na kizini na wanawake wote wa Kiislamu wanaojitoa Bure?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Je Yesu hakulaumiwa na viongozi wa kidini wa Kiyahudi kuwa ni rafiki wa makahaba na walevi? Je, lawama hizi zilikuwa za kweli? Majibu ya Yesu yalikuwa, yeye kaja kutafuta waliopotea (wadhambi) , na kwamba mzima hahitaji daktari Ila mgonjwa. Mashoga wanahitaji daktari, kuwatenga itakuwa sawa na walivyokuwa viongozi wa kidini wa Kiyahudi kuwa wakae na wasiokuwa na dhambi tu, lawama anazopata Papa Paulo ndizo alizopata Yesu kwa kuwafiata wadhambi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa ajili ya usalama na ustawi wa Kanisa letu, Jodje Bergoglio ( Pope Francis) anatakiwa ajiuzulu otherwise Mungu ataamua mwenyewe juu ya kanisa lake takatifu.

#katika yote, kupenda na kutumikia.
Hata Yesu Alitakiwa ajiuzulu na viongozi wa kidini wa Kiyahudi wakimwita rafiki wa makahaba na walevi. Wazima hawahitaji daktari,Bali wagonjwa ( mashoga) , Tena Yesu akasema, ukifanya wema kwa Wazuri tu (wasio na dhambi) hujafanya chochote kisicho Cha kawaida, hata wapagani hufanya wema kwa wanaowataka. Mashoga wasitengwe wahubiriwe wabadilike, kazi ya kuwatafuta wadhambi ndiyo aliyokuja nayo Kristo mpaka akalaumiwa kama anavyolaumiwa Papa kuwa ni rafiki wa makahaba na walevi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wakaristo waumini wa Mwenyezi Mungu mmoja, tunawakaribisha katika Uislam.

Uislam ni mwema sana.
Tutakuja kwenye Uislamu ukitufafanulia kwanza yafuatayo: Je , ni kweli Mwenyezi Mungu alimruhusu Mtume Muhammad kuoa mke wa mtu Zainabu kama Quran 33:37 inavyosema? Je, ni kweli Mwenyezi Mungu alimruhusu Mtume Muhammad kuzini na wanawake wote wa Kiislamu wanaojitoa Bure kwake kama Quran 33:50 inavyosema? Je, ni kweli Mtume Muhammad alitafsiri Aya ya Quran 2:223 isemayo wanawake ni konde zenu zieendeeni konde zenu kama mpendavyo kuwa Aya hii imeteremshwa kwa ajili ya wanaume kuwaingilia wake zao tupu zao za nyuma? Tufafanulie kwanza hayo ili tuje kwenye Uislamu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…