Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

Hali Si Shwari...!! Bwana Awe Nanyiiii....!!! Awe nawe Pia.....Ameeeni. Jambo baya huanza taratibu....Tusiwacheke RC bali ni wakati wa kutafakari kwa kina huko mbeleni kuna nn kitakuja kutokea?
Hakuna mtu amewacheka wakatoliki kwa hili (afterall huenda hata mimi ni mkatoliki) lakini ni masikitiko kwa watu wengi kuona Papa anajipendekeza kwa mabwabwa huku akitumia mwamvuli wa kanisa katoliki.
 
Kwanini hatujawahi kuona waraka wa kuwabariki wazinzi? What is so special kwa hawa watenda dhambi wengine kwa jina la mashoga?
Kwa sababu wanatengwa na jamiii, ndo maana pope ameamua kutoa tamko. Nadhani umeelewa sasa.
 
Lakini aibu ya kwanza ingekuwa kwa Mtume Muhammad ambaye anamsingizia Mungu kuwa alimruhusu kutoa mke wa mtu Zainabu, rejea Quran 33:37, pia Mtume Muhammad akaendelea kumsingizia Mungu kuwa anaweza akazini na wanawake wote wa Kiislamu wanaojitoa Bure kwake, rejea Quran 33:50. Haya ya Papa Paulo ni yake kwa kuwa Biblia haina Aya hata moja inayotetea ushoga, hivyo hatuwezi kusema ni maagizo ya Mwenyezi Mungu, lakini Mtume Muhammad yeye ameleta mpaka Aya za kuhalalisha ulawiti, mfano Quran 2:223 wanawake ni konde zenu zieendeeni konde zenu kama mpendavyo, tafsiri ya Kitabu Sabulus-Salam juzuu 3 ambapo Mtume alisema Aya hii imeteremshwa kwa ajili ya wanaume kuwaingilia wake zao tupu zao za nyuma. Lawama kwanza ziende kwa Mtume Muhammad.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mtume Mohamad anaingiaje hapa?
Mada inahusu masikitiko ya wakatoliki kuona Papa anakumbatia harakati za mabwabwa.

Tusijifiche kwenye kichaka cha udhaifu wa dini zingine kufunika madhaifu ya ndani ya kanisa katoliki.
 
Kanisa Katoliki litabariki Mali za mashoga!!

Kwanini Mali za mashoga?

Kwanini wasitangaze kubariki Mali za wazinzi, wezi , majambazi, wauaji na wakabaji?

Waafrika mna IQ ndogo sana Yani Hadi hapo bado tu hamjui kuwa kanisa Katoliki linaunga mkono ushoga?

Yani wewe unataka Papa aseme Mimi na kanisa langu la Katoliki tunaunga mkono ushoga?
Hawawezi kusema hivyo Kwa sababu wanahitaji uwepo wako na sadaka yako
Kwani mali za hao wengine hazibarikiwiii? Khaaah
 
Kwa nini Mungu alishindwa kuwavumilia watu wa Sodoma na Gomora?

Kama Mungu ana vumilia ushoga, Kwa nini ali angamiza watu wa Sodoma na Gomora?

Kanisa lenu hilo la Romani, Ni la Mungu gani anaye vumilia ushoga?

Kwa nini mashoga waanze kupewa hizo Sakramenti sasa hivi na sio tangu zamani?

Kwani mashoga wameanza kuwepo leo hii?
Na hawa mashoga wa sasa kwann asiwashushie moto, km mwanzo alishusha, sahiv anashindwa nn?
 
Hivi kumbe kuna watu bado wanamtetea papa kwamba tumetafsiri vibaya!!!

Mtu yeyote anayefanya mambo ya kishoga hatakiwi kupewa favor ya namna yeyote huoni mungu aliangamiza sodoma. Mission ya kanisa imeshajulikana ulimwenguni kote hatuhitaji maelezo mengine.
Mtajijuuu wanafikiiii, pope atawafurahishaa sana na badooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kanisa linazidi kuimarika zaidi na zaidi. Ni kwambie Sasa kwa tamko lake tu kanisa limeongeza waumini zaidi ya mil 3 duniani kote. Makanisa yenu ndo yanakufa kwa sababu hnaga elimu kabisa. Kila kinachowajia akilini nyie mnanena kwa lugha wakati ni mapepo. Kila siku mwamposa anadai anatoa mapepo lakini hayaishi. Leo ukienda utaambiwa una Pepo na atajifanya kulitoa, kesho ukienda tena anakwambia una Pepo mana yake ulipotoka tu Pepo akakudaka tena. Nilienda siku moja nikajifanya nakunywa pombe kumbe sinywi akanitabilia kwamba usiku nililewa sana kweli si kweli, ilibidi nicheke sana. Makanisa yenu ya kitapeli sana
Mi ni mkatoliki pure, na najivunia ukatoliki wangu ,maana ndio umenipa confidence ya kumkili Yesu kristo siyo kwa habari zake tu Toka kwa bible Bali hata kwa miujiza, lakini suala hili la ushoga na msimamo wa kanisa ,hasa Hilo tamko la juzi na Jana Kuna kitu hakipo sawa,na nahisi ni kazi ya Mungu kutuonyesha ni kiasi Gani kanisa limeharibika, Sasa ni wajibu wangu Mimi na wewe kufunga na kuomba kwa ajili ya kanisa ,siyo kutetea tu ili lionekane vyema machini pa watu japo linapotezwa, let's be positive, kama unalipenda kanisa hili kwa thamani lilizokupa utaomba tuu, na ifahamike tu kanisa Bora ni kwa ajili ya utukufu wa Mungu, mdudu kaingia , Mungu anamtoa kwa kufanya hata yaliyo sirini tuyajue


Kulianza na kashifa ya mapadre kushiriki ushoga pale Roma, ikaja kashifa ya kulawiti watoto, imekuja baraka za jinsia Moja, imefuata na hili la kutenganisha asili na ukisasa , kwamba kung'ang'ana na asili ni jambo linalozuia mabadiliko ndani ya kanisa,. ,,,,,Bado tu hujamruhusu roho MTAKATIFU kuzungumza na wewe?!!!tuombee kanisa, kubadili dini ni udhaifu mkubwa zaidi,. Yanayotokea ni sababu ya vita ya asili kati ya Mwili (wenye uhaeibifu wa kiulimwengu dhidi ya roho) na inavoonekana roho zetu na hata za viongozi wetu zimekuwa dhaifu kwa mwili, maamuzi mengi yamebezi katika kuuridhisha mwili, (ubinaadamu)


Unaongelea waumini million 3!???uko serious kweli!?tunataka watu au tunataka roho zilizoongoka!?kama ni case ya waumini mbona tunaweza pata zaidi ya hao tukisema tugawe K-vant na kupiga sebene church!?


Ninaomba kwa ajili ya kanisa langu katoliki,najua Nini kinaenda kutokea, siyo kwa ajili ya kanisa ila kwa ajili ya ukristo halisi, ikumbukwe hili ndio kanisa mama la ukristo, ila limekuwa chini ya mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke kwa zaidi ya miaka 2000, limeanguka, likachechemea ,likasimama, Tena likaanguka na kusimama Tena, am sure hata hapa litapita ,hata kama ni kwa kuanguka na kusimama Tena , na linaposimama husimama na watu haswaa , this time I ll be among them




Kaa nasi tuitetee imani dhidi ya wavamizi wa kiroho kupitia viongozi tuliowaamini,kubadili dini ni udhaifu mkubwa wa kiimani, maana Kila mtu ana wajibu dhidi ya mwenzake,na siyo kwa ajili yake peke yake, kama bwana wetu Yesu kristo kwa ajili ya ulimwengu hata akayapoteza maisha yake, nasi hivohivo,


Tumsifu Yesu kristo ,


Kristo............
 
Ni mjinga pekee anaweza kufananisha ulevi,uzinzi,uongo na wanaume kuingiliana wenyewe kwa wenyewe kupitia njia ya haja kubwa wakati Mungu aliyewaumba aliwawekea kiungo mahususi kwa mwanamke kwa shughuli hiyo.Hizo dhambi haziwezi kulingana kwa namna yoyote ile.Kitendo cha kanisa kujadili hilo ni makosa makubwa kwasababu mikama kumrekebisha Mungu kua alikosea kumuumba mwanamke.
Mnafikii wewee unateseka ukiwa wapiiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiifahamu historia ya utawala wa kikatoliki (ndani na nje ya kanisa) hautashangaa sana haya yanayoendelea. Kanisa Katoliki limewahi kuwa na mapapa wakushangaza sana. Wapo waliokuwa na mahusiano na dada zao wapo waliokuwa na watoto ambao na walikuja kuwa mapapa.

Wapo waliowa ua mapapa wenzao na wapo waliofukua maiti za mapap wenzao na kuzihukumu na kuzizika na kuzifukua na kuzitupa mtoni hao ndio mapapa

Waliamua kusema paka ni mnyama wa shetani na kutoa amri popote atakapoonekana paka auawe. Yet kila kiumbe kimeumbwa na muumba wetu.

Papa Francis ana bahati mbaya maana mambo haya yanafika yeye akiwa papa.

Upapa no taasisi kama ilivyo ufalme au uraisi hivyo figisu zipo na wapo wanaoutaka huo upapa pia. Utashangaa papa kuwa na maadui makadinali watu wa upendo

Mimi ni RC nalipenda dhehebu langu ila haiondoi ukweli kuwa lina historia inayofikirisha sana.
 
Ni muda sasa wa kutafuta bikra ya kiume huko makanisani.[emoji23]
 
Hiyo Imani ni yangu kutokana na mafundisho niliyopata kanisa Katoliki. Sio lazima ninachoamini Mimi na wewe uamini. Wewe amini unachotaka kuamini. Papa kusema wabariki vitu vya mashoga, Mimi kama Mimi sikubaluani nae. Sio lazima nikubaliane na kiongoz wangu kisa tu yeye ni kiongoz. Wewe kama unaona ushoga ni sawa kisa tu haujatajwa kwenye amri za Mungu, sawa endelea kufanya na kuuishi.
Sasa km hukubaliani nae ndo ukae kimyaa co uanze kujudge dhambi za mashoga, akati wee unazo zako.

Unasumbuliwa na unafikiiii, poleeee sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakubaliana na wewe. Kuhalalisha Kubaliki maana yake ni kuwaunga mkono. Kutambua chama Chao maana yake ni kuwaunga mkono.

Na wezi au wazinzi n.k waanzishe vyama vyao wakasajiri basi kama haki ni sawa.
Wazinzi mbna wapo wengi na wana barikiwa kila siku, wengine na mimba ya miezi 7 tumboni wanabarikiwa.

Huoni au?
 
Mimi ni mkatoliki ninayoijua na kuiamini dini yangu vizuri. Siwezi kuyumbishwa wala kukwazishwa na mtu yeyote hata kama ni pope. Tuko wengi wa aina yangu
Kwa hiyo wewe unaunga mkono msimamo wa Papa na Vatican wa kuwafanya mashoga kuwa sehemu ya ukatoliki kiasi cha kubarikiwa na kuruhusu mashoga kudhamini sakramenti takatifu?

Pole sana.
 
Huwezi kukuta uislam unajadili ushoga, kama no ni NOOOOO
Zanzibar kule mbna umejaa telee ushoga? Had jeshini, wengine wanafirana mahabusu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siyo 9 umekosea, ni 6. Kuna kosa lipi kugonga mkeo ulioozwa kihalali?

Alikuwa nao 11 wengine unajuwa maiaka yao?
Kheeeh mtoto wa 6,yrs anaolewa kihalalii?
Wee bibi umevurugwaa? C ubakaji huu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom