Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

Akaenda Nazereti,hapo alipolelewana siku ya Sabato Akaingia kwenye Sinagogi kama ilivyo desturi yake4:16)Luka Sabato ndio Jumamosi na Mungu habadiriki
 
Umesali leo kuona makanisa yalivyofurika? Na Bado mkesha, xmass na boxing day.....fanyeni mambo yenu ya maana achaneni na kanisa katoliki, huwezi kulifanya chochote, limewazidi kila kitu. Tamko la papa tumelisoma, tumelielewa, sasa tunajua kinachoendelea mitandaoni ni upotoshaji na nongwa tu dhidi ya kanisa ambazo hazijaanza leo.
 
Bado ndugu yangu ueleweki unapinga nini au unasimamia nini?

Unahoji kuhusu utafiti wangu kuhusu hao wakatoliki wanaojisikia aibu na fedheha kuona Papa na Vatican kwa sasa wanavyo ukumbatia ushoga kwa mwamvuli wa kanisa katoliki. Nami nimejibu kirahisi kabisa, je wewe unadhani hatua hii ya sasa ya Papa na Vatican kuwakumbatia mashoga inawafurahisha wakatoliki? Nilikupa hilo jibu kwa kuwa tayari immediately nchi kadhaa zimetoa matamko ya kukinzana na mtazamo wa Papa na Vatican, na hatua hiyo imeungwa mkono na wakatoliki wengi. Hata hapa JF, Pro katoliki wameonyesha wazi hawakubaliani na Papa.

Unasema andiko langu limejaa uongo, nimekuuliza uongo wangu ni upi? Nimeandika Papa ametoa go a head kwa mashoga kubarikiwa! Umeelewa hiyo lugha?
Wewe unadhani nimekosea kuandika hilo? Unadhani huo ni uongo? Unataka tujadili hilo kwa kina? Nitaanzisha thread kuhusu hilo halafu tulijadili kwa kina.
 
Leo wakatoliki kwa wingi na umoja wao wamesali misa na kutafakari ukuu wa Mungu.Wanasubili kwa hamu kusali vijilia ya noel na kesho krismasi.Hawana haja kujiunga na dini waliyoianzisha wao.
Vipi na mabwabwa walikuwepo parukiani kwako ili padri abariki mali zao?
Ama Padri alitoa tangazo la kuwaalika mabwabwa waje Parukiani kujumuika na wakatoliki wenzao?
 
Ukatoliki unaenda kufa kifo Cha mende!! Safi sana!!dhambi ya kuwaua mitume wa kristo inawatafuna .haiji Akilini makao makuu ya katoliki kuwa Roma nchi ya kishenzi iliyomuua Petro mtume mkuu wa ukristo
Wewe ni mpumbavu,huna ulijualo hata hujiulizi Kanisa lenye Miaka Elfu mbili kuendelea kuwepo hadi leo km kweli halina nguvu ya Mungu kwa mapito mazito lililoyapitia si lingeshakuwa limekufa?.Utakufa wewe na uzao wako lkn Kanisa moja Takatifu Katoliki la Mitume,litaendelea kudumu hadi mwisho wa dahari.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Tatizo Elimu na uwezo wao wa kufikiri na kupambanua mambo ni finyu sana.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Acha tu bro 😁😁😁 yaani hali si hali
Pope kazingua kinyama. Unajua watu wamejitahid sana kujaribu kuchunguza kama walimnukuu vibaya au hakua na maana hiyo ila waap!!
 
unapoona mtumishi wa Mungu anapata kigugumizi kukemea maovu/dhambi kisa anaogopa jamii ya kimataifa itamchukulia vipi, inadhihirisha kabisa ni agent wa shetani.
 
- Listen, napokuuliza maswali kuhusu uzi ulioleta unatakiwa kuja na majibu ili ku support kile ulichoandika kutoka kwenye uzi wako, ambapo authority yake ni ule warak wa Vatican kuhusu kauli ya Papa kuwasogeza karibu mashoga kwa kubariki mali zao, ila kwa sababu hata waraka wenyewe huujui ulivyo, naona unazidi kuzunguka tu hapa.

- Suala la kusema wakatoliki maeneo mengine duniani wanapinga kauli ya Papa, au wa hapa JF, huu kwangu ni utetezi wa kijinga uliotumia, kwasababu mimi akili yangu sijashikiwa na yeyote, nina uwezo wa kutafakari jambo kwa makini, kisha nikapima ukweli wake au uongo wake kama huu uliondika kwenye mada yako, mimi sio kondoo wa kufuata mawazo ya wengine kama wewe ulivyo.

Ukumbuke, hata kama wengi wako upande wa kuunga mkono uongo, hakuna maana huo uongo kama huu wako ulioandika hapa utageuka kuwa ukweli, never; utaendelea kubaki uongo tu kwasababu mada yako mostly umebuni maneno toka kichwani mwako, badala ya kutumia waraka wa Vatican kama authority yako.

- Wewe ni muongo kwasababu hakuna popote kwenye ule waraka Papa alipotoa go ahead kwa mashoga kubarikiwa, ametoa go ahead kubariki mali za mashoga, hizo ni statement mbili zenye maana tofauti, usijidai unajua sana kiswahili, ulichofanya ni kupotosha makusudi ili kutafuta sifa za kijinga na wachangiaji wengi kwenye uzi wako, nothing else.

NB.
Kutonielewa kwako ni kwasababu ya upeo wako mdogo, hilo sio kosa langu, ni kosa lako mwenyewe, hivyo usiutumie ujinga wako kunihukumu mimi, bado nataka majibu ya maswali yangu kwako, sitaki hizi ngonjera zako.

JF lazima isimamishwe kwenye misingi ya hoja zenye uthibitisho, sio kujitungia maneno kichwani na kuyaleta hapa kisa umeona wakatoliki wa JF sijui wanasema nini, kwanini usingeenda makanisa ya kikatoliki ufanye research ya hiki ulichoandika hapa? kwanza hao "wakatoliki wa JF" unaowasema walikuja kujiandikisha lini kwako?! una database ya watumiaji wa JF?

Hoja zako nyingi una ungaunga tu, hazina uthibitisho wowote, kama ilivyo title na content ya mada yako. Huo uzi unaodai kutaka kuuanzisha ulete sasa hivi, usisubiri hata jua lizame, na ukiuleta huo uzi usiukimbie mpaka uitwe, uwepo kuutetea.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Aibu kwa rc bora Walokole waislam mtupishe hii haiwahusu wacha pigane mtanange sisi watu wa yesu
 
Hujashtuka kuwa hujapata hata like Moja? Kanisa katoliki haliwezi kuwa takatifu hata siku Moja!! Na kwa sasa kwa sababu umewakubari wanaofirana subiri jehanamu tu!! Hamna kitu hapo!!
 
Mlango
Mlango mpana uendao kule kushoto lazima waty wajazane muleeee.so usishangae watu kujazana mule
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸŒˆ
 
Sasa
Sasa na wewe unazingua .Hayo maneno uliyoyanukuu kwenye Quran yako unaweza kuyakuta.? Acha kuzingua wewe
 
Sipo hapa kwaajili ya kumkashfu mtu,ila ukweli ni kwamba katoliki ndio BABILONI MKUU,yaani anajihusisha na kufanya biashara na serikali kuu zote duniani,kama hujui kasome vizuri Biblia, it's just a matter of time watu wataujua ukweli wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…