Hapa ndio unanionesha mlivyo na tatizo la kushikiwa akili.Kwa hiyo umoja wa maaskofu Malawi, Kenya, Nigeria n.k wote hawajui upuuzi wa papa ila wewe ndio unajua tofauti na wote ?View attachment 2850405
Wanafikii wanahaha sana, Pope kawashika pabayaa.Hii ndio sababu nakwambia humu kuna wajinga wengi sana.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Unajivunia kuwa shoga sio ?Mimi ni Catholic na ajivunia a wala siyumbishwi.
Mwambie huyo,Wakatoliki hatunaga muda wa kubishana,tunasimama imara na Imani yetu na wala hatuyumbishwiupotoshaji wa mwendokasi.
Acha uongo,
mkatoliki hana muda wa kubishana wala kupambana na yeyote kuhusu hilo linalopotoshwa...
Mafundisho yao ni ya kiroho na kisaikolijia zaidi...
Wamezidiwa upeo na Papa wanamuona mbaya, hawajui ujinga wao ndio ubaya wao.Wanafikii wanahaha sana, Pope kawashika pabayaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani wewe ndiye msemaji wao? Huwezi kuelewa hiyo document kama huna akili timamu ndugu. I have read it and I have understood what it says and I stand by it na sifedheheshwi na chochote. Mnaleta mawazo yenu halafu mnadhani ndiyo mawazo yetu. Pigine uwongo as much as you want and as much as you are able to do it kuwadanganya mnaoweza kuwadanganya, lakini Kanisa Katoliki litabaki kama lilivyo bila kuyumbishwa miaka nenda rudi. By the way, kama huna akili timamu huwezi kuelewa Declaration (Fiducia Supplicans) inazungumuzia kitu gani. Hivyo, you are likely to miss the point.Sio siri tena tangu Papa na Vatican kutoa miongozo ya kuukumbatia ushoga, kwa sasa wakatoliki wengi wameanza kupoteza furaha, amani, ujasiri na ufahari wa kujivunia ukatoliki.
Papa na Vatican walianza kutoa kauli tata za kuona ushoga (kubadili jinsia nk) sio dhambi ya kukemewa na kanisa (yaani mashoga wavumiliwe na kutambuliwa kama sehemu ya waumini ndani ya kanisa katoliki), baadaye wakaja kutoa ruhusa mashoga kuwa wadhamini wa sacramenti za kikatoliki (Ubatizo, Komunio, ndoa) na sasa ruhusa kwa mashoga kubarikiwa! Mwelekeo unaotabiriwa kufuata ni kanisa katoliki kuanza kufungisha ndoa za mashoga na hitimisho ni kanisa katoliki kuja kuruhusu kuwa na makasisi mashoga.
Wengine walijaribu kutetea Kanisa Katoliki kwa kusema Papa na Vatican wamenukuliwa vibaya, lakini kadri muda ulivyokwenda hali imezidi kuwa wazi na mbaya kiasi cha watetezi wa Katoliki kuanza kusalimu amri.
Kwa sasa ukatoliki umewekwa kapu moja na harakati za kuukuza na kuulinda ushoga duniani.
Mwaka huu huenda ndio mwaka mbaya zaidi kwa waumini wa kikatoliki katika kujivunia imani yao. Upepo bado unavuma, mawimbi bado yanaibuka na chombo kimeanza kuyumba huku safari ikiwa imeshika kasi.
Unawajua watu wanaoshikiwa akili wewe mfuasi wa Francis ambae huoni wala usikii. Kati yako na maaskofu wanaompinga papa nani nani anajua ?Hapa ndio unanionesha mlivyo na tatizo la kushikiwa akili.
#smallmind
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kanisa limekuwepo zaidi ya miaka 2000 iliyopita na limepitia misuko suko mikubwa zaidi na bado halikufa,lije life leo kwakuwa Zalemda wa JF ndiyo kaongea.Acha masihara [emoji3]Ukatoliki unaenda kufa kifo Cha mende!! Safi sana!!dhambi ya kuwaua mitume wa kristo inawatafuna .haiji Akilini makao makuu ya katoliki kuwa Roma nchi ya kishenzi iliyomuua Petro mtume mkuu wa ukristo
Kama wewe umeshindwa kujiondoa huko RC unaweza kumuondoa Papa kweli? Acha kufurahisha jukwaa.Huyo Papa anatakiwa kuondolewa madarakani haraka maana kuezi kutetea kitu ambacho hukifanyi!!
Ndio maana nakwambia mshamba ni yule asielewa kama wewe na wale wenzie mnaotetea hizo hali zenu...
Na kama umemuelewa askofu Ruwaichi basi umemuelewa pia Papa,
maana Ruwaichi ameeleza kinagaubaga anachomaanisha Papa kwa lugha rahisi mno na pia askofu Severine Niwamugizi wa ngara ameeleza alichomaanisha papa kwa lugha rahisi zaid.....
Shida ni kwamba wewe umeelewa walichoeleza BBC na CNN ambao wanapotosha kwa wingi kisha baadae wanakanusha, hukumskiza Papa hata kidogo
Kwamba wewe peke yako document umeielewa kuliko baraza la maaskofu Malawi, Kenya, Nigeria, Poland n.k ?Kwani wewe ndiye msemaji wao? Huwezi kuelewa hiyo document kama huna akili timamu ndugu. I have read it and I have understood what it says and I stand by it na sifedheheshwi na chochote. Mnaleta mawazo yenu halafu mnadhani ndiyo mawazo yetu. Pigine uwongo as much as you want and as much as you are able to do it kuwadanganya mnaoweza kuwadanganya, lakini Kanisa Katoliki litabaki kama lilivyo bila kuyumbishwa miaka nenda rudi. By the way, kama huna akili timamu huwezi kuelewa Declaration (Fiducia Supplicans) inazungumuzia kitu gani. Hivyo, you are likely to miss the point.
Na wanadhani kwa upotoshaji wao ndiyo tutayumba.Tupo tumesimama imara katika Imani yetu.Proud CatholicWanakurupuka sana, wengi wao hawajasoma ule waraka wa Vatican matokeo yake wanatumia maneno ya kuokoteza kwa wengine kisha wanakuja kuanzisha uzi.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mko wengi sana, shikilia hapohapo. Baba mtakatifu tumsifu yesu kristU!Mimi ni Catholic na ajivunia a wala siyumbishwi.
Proud Catholic na yes najivunia,unataka kusemaje kwa mfano?
dj walete walete, ebu pendekeza kibao kwa dj bae..Wanafikii wanahaha sana, Pope kawashika pabayaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wajanja walishtuka kitambo wakakimbiaSio siri tena tangu Papa na Vatican kutoa miongozo ya kuukumbatia ushoga, kwa sasa wakatoliki wengi wameanza kupoteza furaha, amani, ujasiri na ufahari wa kujivunia ukatoliki.
Papa na Vatican walianza kutoa kauli tata za kuona ushoga (kubadili jinsia nk) sio dhambi ya kukemewa na kanisa (yaani mashoga wavumiliwe na kutambuliwa kama sehemu ya waumini ndani ya kanisa katoliki), baadaye wakaja kutoa ruhusa mashoga kuwa wadhamini wa sacramenti za kikatoliki (Ubatizo, Komunio, ndoa) na sasa ruhusa kwa mashoga kubarikiwa! Mwelekeo unaotabiriwa kufuata ni kanisa katoliki kuanza kufungisha ndoa za mashoga na hitimisho ni kanisa katoliki kuja kuruhusu kuwa na makasisi mashoga.
Wengine walijaribu kutetea Kanisa Katoliki kwa kusema Papa na Vatican wamenukuliwa vibaya, lakini kadri muda ulivyokwenda hali imezidi kuwa wazi na mbaya kiasi cha watetezi wa Katoliki kuanza kusalimu amri.
Kwa sasa ukatoliki umewekwa kapu moja na harakati za kuukuza na kuulinda ushoga duniani.
Mwaka huu huenda ndio mwaka mbaya zaidi kwa waumini wa kikatoliki katika kujivunia imani yao. Upepo bado unavuma, mawimbi bado yanaibuka na chombo kimeanza kuyumba huku safari ikiwa imeshika kasi.
Mnapenda kuongea vitu msivyovijua.shida ya watanzania akili zao wengi zimeganda na haziwezi kuchambua mambo.nyinyi nendeni kwa nabii feki wenu mwamposa ukatoliki tuachieni wenyewe tunayoijua.Sio siri tena tangu Papa na Vatican kutoa miongozo ya kuukumbatia ushoga, kwa sasa wakatoliki wengi wameanza kupoteza furaha, amani, ujasiri na ufahari wa kujivunia ukatoliki.
Papa na Vatican walianza kutoa kauli tata za kuona ushoga (kubadili jinsia nk) sio dhambi ya kukemewa na kanisa (yaani mashoga wavumiliwe na kutambuliwa kama sehemu ya waumini ndani ya kanisa katoliki), baadaye wakaja kutoa ruhusa mashoga kuwa wadhamini wa sacramenti za kikatoliki (Ubatizo, Komunio, ndoa) na sasa ruhusa kwa mashoga kubarikiwa! Mwelekeo unaotabiriwa kufuata ni kanisa katoliki kuanza kufungisha ndoa za mashoga na hitimisho ni kanisa katoliki kuja kuruhusu kuwa na makasisi mashoga.
Wengine walijaribu kutetea Kanisa Katoliki kwa kusema Papa na Vatican wamenukuliwa vibaya, lakini kadri muda ulivyokwenda hali imezidi kuwa wazi na mbaya kiasi cha watetezi wa Katoliki kuanza kusalimu amri.
Kwa sasa ukatoliki umewekwa kapu moja na harakati za kuukuza na kuulinda ushoga duniani.
Mwaka huu huenda ndio mwaka mbaya zaidi kwa waumini wa kikatoliki katika kujivunia imani yao. Upepo bado unavuma, mawimbi bado yanaibuka na chombo kimeanza kuyumba huku safari ikiwa imeshika kasi.
Yaan wanashindwa kutafakari kwa kina tamko LA papa wao wanaokoteza story, yote hii ni UNAFIKI wao sasa Pope ndo hatakiii.Wamezidiwa upeo na Papa wanamuona mbaya, hawajui ujinga wao ndio ubaya wao.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Huyu atakuwa ni Sabato masaliaKama wewe umeshindwa kujiondoa huko RC unaweza kumuondoa Papa kweli? Acha kufurahisha jukwaa.