Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

Mimi ni Catholic na ajivunia a wala siyumbishwi.
Unajivunia kuwa shoga sio ?
Screenshot_20231222-004126.jpg
Screenshot_20231222-004921.jpg
Screenshot_20231222-004828.jpg
 
upotoshaji wa mwendokasi.
Acha uongo,

mkatoliki hana muda wa kubishana wala kupambana na yeyote kuhusu hilo linalopotoshwa...

Mafundisho yao ni ya kiroho na kisaikolijia zaidi...
Mwambie huyo,Wakatoliki hatunaga muda wa kubishana,tunasimama imara na Imani yetu na wala hatuyumbishwi
 
Sio siri tena tangu Papa na Vatican kutoa miongozo ya kuukumbatia ushoga, kwa sasa wakatoliki wengi wameanza kupoteza furaha, amani, ujasiri na ufahari wa kujivunia ukatoliki.

Papa na Vatican walianza kutoa kauli tata za kuona ushoga (kubadili jinsia nk) sio dhambi ya kukemewa na kanisa (yaani mashoga wavumiliwe na kutambuliwa kama sehemu ya waumini ndani ya kanisa katoliki), baadaye wakaja kutoa ruhusa mashoga kuwa wadhamini wa sacramenti za kikatoliki (Ubatizo, Komunio, ndoa) na sasa ruhusa kwa mashoga kubarikiwa! Mwelekeo unaotabiriwa kufuata ni kanisa katoliki kuanza kufungisha ndoa za mashoga na hitimisho ni kanisa katoliki kuja kuruhusu kuwa na makasisi mashoga.

Wengine walijaribu kutetea Kanisa Katoliki kwa kusema Papa na Vatican wamenukuliwa vibaya, lakini kadri muda ulivyokwenda hali imezidi kuwa wazi na mbaya kiasi cha watetezi wa Katoliki kuanza kusalimu amri.

Kwa sasa ukatoliki umewekwa kapu moja na harakati za kuukuza na kuulinda ushoga duniani.

Mwaka huu huenda ndio mwaka mbaya zaidi kwa waumini wa kikatoliki katika kujivunia imani yao. Upepo bado unavuma, mawimbi bado yanaibuka na chombo kimeanza kuyumba huku safari ikiwa imeshika kasi.
Kwani wewe ndiye msemaji wao? Huwezi kuelewa hiyo document kama huna akili timamu ndugu. I have read it and I have understood what it says and I stand by it na sifedheheshwi na chochote. Mnaleta mawazo yenu halafu mnadhani ndiyo mawazo yetu. Pigine uwongo as much as you want and as much as you are able to do it kuwadanganya mnaoweza kuwadanganya, lakini Kanisa Katoliki litabaki kama lilivyo bila kuyumbishwa miaka nenda rudi. By the way, kama huna akili timamu huwezi kuelewa Declaration (Fiducia Supplicans) inazungumuzia kitu gani. Hivyo, you are likely to miss the point.
 
Ukatoliki unaenda kufa kifo Cha mende!! Safi sana!!dhambi ya kuwaua mitume wa kristo inawatafuna .haiji Akilini makao makuu ya katoliki kuwa Roma nchi ya kishenzi iliyomuua Petro mtume mkuu wa ukristo
Kanisa limekuwepo zaidi ya miaka 2000 iliyopita na limepitia misuko suko mikubwa zaidi na bado halikufa,lije life leo kwakuwa Zalemda wa JF ndiyo kaongea.Acha masihara [emoji3]
 
Huyo Papa anatakiwa kuondolewa madarakani haraka maana kuezi kutetea kitu ambacho hukifanyi!!
Kama wewe umeshindwa kujiondoa huko RC unaweza kumuondoa Papa kweli? Acha kufurahisha jukwaa.
 
Ndio maana nakwambia mshamba ni yule asielewa kama wewe na wale wenzie mnaotetea hizo hali zenu...

Na kama umemuelewa askofu Ruwaichi basi umemuelewa pia Papa,
maana Ruwaichi ameeleza kinagaubaga anachomaanisha Papa kwa lugha rahisi mno na pia askofu Severine Niwamugizi wa ngara ameeleza alichomaanisha papa kwa lugha rahisi zaid.....

Shida ni kwamba wewe umeelewa walichoeleza BBC na CNN ambao wanapotosha kwa wingi kisha baadae wanakanusha, hukumskiza Papa hata kidogo
 
Kwani wewe ndiye msemaji wao? Huwezi kuelewa hiyo document kama huna akili timamu ndugu. I have read it and I have understood what it says and I stand by it na sifedheheshwi na chochote. Mnaleta mawazo yenu halafu mnadhani ndiyo mawazo yetu. Pigine uwongo as much as you want and as much as you are able to do it kuwadanganya mnaoweza kuwadanganya, lakini Kanisa Katoliki litabaki kama lilivyo bila kuyumbishwa miaka nenda rudi. By the way, kama huna akili timamu huwezi kuelewa Declaration (Fiducia Supplicans) inazungumuzia kitu gani. Hivyo, you are likely to miss the point.
Kwamba wewe peke yako document umeielewa kuliko baraza la maaskofu Malawi, Kenya, Nigeria, Poland n.k ?
Screenshot_20231222-004828.jpg
Screenshot_20231222-004921.jpg
Screenshot_20231222-004126.jpg
 
Sio siri tena tangu Papa na Vatican kutoa miongozo ya kuukumbatia ushoga, kwa sasa wakatoliki wengi wameanza kupoteza furaha, amani, ujasiri na ufahari wa kujivunia ukatoliki.

Papa na Vatican walianza kutoa kauli tata za kuona ushoga (kubadili jinsia nk) sio dhambi ya kukemewa na kanisa (yaani mashoga wavumiliwe na kutambuliwa kama sehemu ya waumini ndani ya kanisa katoliki), baadaye wakaja kutoa ruhusa mashoga kuwa wadhamini wa sacramenti za kikatoliki (Ubatizo, Komunio, ndoa) na sasa ruhusa kwa mashoga kubarikiwa! Mwelekeo unaotabiriwa kufuata ni kanisa katoliki kuanza kufungisha ndoa za mashoga na hitimisho ni kanisa katoliki kuja kuruhusu kuwa na makasisi mashoga.

Wengine walijaribu kutetea Kanisa Katoliki kwa kusema Papa na Vatican wamenukuliwa vibaya, lakini kadri muda ulivyokwenda hali imezidi kuwa wazi na mbaya kiasi cha watetezi wa Katoliki kuanza kusalimu amri.

Kwa sasa ukatoliki umewekwa kapu moja na harakati za kuukuza na kuulinda ushoga duniani.

Mwaka huu huenda ndio mwaka mbaya zaidi kwa waumini wa kikatoliki katika kujivunia imani yao. Upepo bado unavuma, mawimbi bado yanaibuka na chombo kimeanza kuyumba huku safari ikiwa imeshika kasi.
Wajanja walishtuka kitambo wakakimbia
 
Mnapenda kuongea vitu msivyovijua.shida ya watanzania akili zao wengi zimeganda na haziwezi kuchambua mambo.nyinyi nendeni kwa nabii feki wenu mwamposa ukatoliki tuachieni wenyewe tunayoijua.
 
Wamezidiwa upeo na Papa wanamuona mbaya, hawajui ujinga wao ndio ubaya wao.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Yaan wanashindwa kutafakari kwa kina tamko LA papa wao wanaokoteza story, yote hii ni UNAFIKI wao sasa Pope ndo hatakiii.
Wanabakiii kulia lia tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom