[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama wewe umeshindwa kujiondoa huko RC unaweza kumuondoa Papa kweli? Acha kufurahisha jukwaa.
Mimi mkatoliki, nimebatiza, komunio na kipaimara. Ila Kwa Hilo la Kubaliki vitu vya mashoga maana yake ni kuhalalisha ushoga. Slow but sure. Leo watabaliki vitu vyao kesho na ndoa wataanza kuruhusu zifungwe. Hakutakua na sababu ya kukataza wakati kitu unakitambua.Umepotosha kwa kiasi kikubwa, unaonekana hujasoma hata ule waraka wa Vatican, ulichofanya ni kuokoteza maneno kwa wengine na kuja kuanzisha huu uzi wako hapa, hujafanya uchunguzi wowote, sasa hiyo aibu aione nani?
- Kama hutaki mashoga wavumiliwe na kutambuliwa ndani ya Kanisa Katoliki, unataka wezi, waongo kama wewe, na wazinzi, wao pekee ndio waendelee kuvumiliwa? Kanisa Katoliki haliishi kwenye misingi ya kinafiki.
- Kwanini hutaki mashoga wapewe sakramenti kama waumini wengine? au wale wanaopewa ni watakatifu? hayupo yeyote miongoni mwao mwenye dhambi? Hapa unaonesha ulivyojaa ubinafsi, Papa yuko above your thinking capacity.
- Wapi umeona kwenye ule waraka wa Vatican pameandikwa Kanisa Katoliki litabariki mashoga? tuwekee hapa tupaone, kisha nami nitakuwekea pale palipoandikwa Kanisa Katoliki litabariki mali za mashoga, sio mashoga kama ulivyopotosha hapa.
Hii ni sawa na kubariki mali za wengine wasiojulikana tabia na matendo yao, hakuna yeyote anayejulikana kama ni mzinzi sababu hufanyia sirini, mwizi hufanyia sirini, kujaribu kuwatenga mashoga kama vile wao pekee ndio wenye dhambi ni unafiki na ubinafsi, Papa hataki huu unafiki.
Papa anajua miongoni mwetu hayupo aliyekamilika, Kanisa Katoliki pia linajua hivyo, tukianza kutazamana usoni na kutengana mwisho wa siku huko kanisani atabaki nani? injili atahubiriwa nani? hujui hata Yesu Kristu alikuja duniani ili kuwahubiria wenye dhambi wapate kuokoka?
Mna upeo mdogo sana kifikra, na thinking yenu ni ya kijima sana wakati Kanisa Katoliki lilishatoka huko.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kwenu nyie wanafikiii, ila wengine walaa yuko sahihi tyuuh.Papa amezingua totally
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "kizungu zungu" ya Enock Jonasdj walete walete, ebu pendekeza kibao kwa dj bae..
Milele Amina.Roma Locuta Causa Finita [emoji120]Mko wengi sana, shikilia hapohapo. Baba mtakatifu tumsifu yesu kristU!
It's a slow process mkuu, hawawezi kuhalalisha onspot, hii ni process ya kufanya kanisa lijiingize kwenye mahusiano ya jinsia moja taratibu, na tunapoelekea RC wataruhusu ushoga ndani ya kanisa, ni swala la muda tu.Wewe ndie unasema hakuna wa kupinga, hebu tuoneshe hapa ushahidi wapi Kanisa Katoliki limewahi kuukubali ushoga?
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Sasa km akili hana unadhani anajua nn? Hapo akili yake inawaza kupinga ushoga, anafikia hatua kuropoka visivyo kuwepo, anaishia kudharirika. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wao ndio wamekiri hili au umeamua kuwa msemaji wao ?Mwaka huu huenda ndio mwaka mbaya zaidi kwa waumini wa kikatoliki katika kujivunia imani yao. Upepo bado unavuma, mawimbi bado yanaibuka na chombo kimeanza kuyumba huku safari ikiwa imeshika kasi.
Walipokimbia Kanisa liliyumba? Proud Catholic tupoWajanja walishtuka kitambo wakakimbia
PAPA kawaambia waache ushamba, waendane na dunia ya sasaKm unajua kila mtu atahukimiwa pekee yake, kwann uanze kuona mashoga hawafai? Huoni wee unahukumu hapo?
Unajua unacho kiandika lakini?? Mwakaa huu had mkimbie Pope anakataa UNAFIKI.
Kuna madhehebu hususani usabatho wanauona ukatholiki ni alama ya 666 duniani. Hivyo, kwa hii move ya kanisa ni lazma kelele zitapigwa zaidiHata mimi ambaye siyo mpinga kristu nimepata point.
Kwani Kristu ni nani? Najua Kristo ni mwana wa Mungu, Yesu.
Akija mwingine akaruhusu kabisa ushoga mtafanyaje??Huyo Papa anatakiwa kuondolewa madarakani haraka maana kuezi kutetea kitu ambacho hukifanyi!!
Wee ni liongo na linafiki, dhambi zote ni sawa mbele ya kiti cha hukumuu. Tenaa uzinzi, wizi, uuaji, umekatazwa kwenye amri 10 za Mungu, vipi ushoga je? Iko kwenye amri ya ngapiii??Mimi mkatoliki, nimebatiza, komunio na kipaimara. Ila Kwa Hilo la Kubaliki vitu vya mashoga maana yake ni kuhalalisha ushoga. Slow but sure. Leo watabaliki vitu vyao kesho na ndoa wataanza kuruhusu zifungwe. Hakutakua na sababu ya kukataza wakati kitu unakitambua.
Huwez kulinganisha dhambi ya ushoga na dhambi ya uasherati. Katoliki tunadefine dhambi kama kitu ambachi ukifanya mwenzio hapendi au jamii haipendi. Kuna special dhambi ambazo Mungu mwenyewe anahusika nazo kama hiyo ya ushoga na ya kuua binadamu mwenzio makusudi.
Wanapotosha makusudi ili kujiliwaza, furaha yao ni kulisema vibaya kanisa bila sababu ya msingi wakidhani tutatishika, hawajui Kanisa Katoliki sio chama cha siasa kutafuta wanachama, wanajidanganya sana.Kwani wewe ndiye msemaji wao? Huwezi kuelewa hiyo document kama huna akili timamu ndugu. I have read it and I have understood what it says and I stand by it na sifedheheshwi na chochote. Mnaleta mawazo yenu halafu mnadhani ndiyo mawazo yetu. Pigine uwongo as much as you want and as much as you are able to do it kuwadanganya mnaoweza kuwadanganya, lakini Kanisa Katoliki litabaki kama lilivyo bila kuyumbishwa miaka nenda rudi. By the way, kama huna akili timamu huwezi kuelewa Declaration (Fiducia Supplicans) inazungumuzia kitu gani. Hivyo, you are likely to miss the point.
Wale wasabato wanaosubiria kwenda nje ya nchi bila ticket ya ndege wala visa?Mpaka sasa wasabato 3 - RC 0.
Bado hamjathema
Jiokoe kiakili kitu chochote kikishakuwa ni dhehebu tu wewe jua kua ni upumbavuMadhehebu flani wanaoona ukatholiki kama upinga kristu wamepata point [emoji16][emoji16]
Huna akili ya ku argue nami, labda uwaite hao waliokushikia akili.Unawajua watu wanaoshikiwa akili wewe mfuasi wa Francis ambae huoni wala usikii. Kati yako na maaskofu wanaompinga papa nani nani anajua ?
Au wewe ni mke wa papa ?
Na Wasabato huwa hawatusumbui hata kidogo.Wapige kelele zao tu mpaka watachoka,lakini hawatoweza kulitikisa Kanisa Katoliki hata siku mojaKuna madhehebu hususani usabatho wanauona ukatholiki ni alama ya 666 duniani. Hivyo, kwa hii move ya kanisa ni lazma kelele zitapigwa zaidi
Mkuu mi nakiri kweli sijauona waraka husika zaidi ya kusoma taarifa zake kwenye vyombo vya habari ninavyoviamini, ila nachotaka kujua kama ushoga nao ni dhambi tu kama zilivo dhambi zingine za wizi, uongo, uzinifu nk kwanini ushoga upewe uspesho namna hiyo hadi upewe nafasi ya waraka maalum? Kwanini hatujawahi kuona ama kusikia waraka unaowataka makasisi kuwabariki wezi, wazinifu na nk. Kwanini mashoga wawe singled outUmepotosha kwa kiasi kikubwa, unaonekana hujasoma hata ule waraka wa Vatican, ulichofanya ni kuokoteza maneno kwa wengine na kuja kuanzisha huu uzi wako hapa, hujafanya uchunguzi wowote, sasa hiyo aibu aione nani?