Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

Umepotosha kwa kiasi kikubwa, unaonekana hujasoma hata ule waraka wa Vatican, ulichofanya ni kuokoteza maneno kwa wengine na kuja kuanzisha huu uzi wako hapa, hujafanya uchunguzi wowote, sasa hiyo aibu aione nani?

- Kama hutaki mashoga wavumiliwe na kutambuliwa ndani ya Kanisa Katoliki, unataka wezi, waongo kama wewe, na wazinzi, wao pekee ndio waendelee kuvumiliwa? Kanisa Katoliki haliishi kwenye misingi ya kinafiki.

- Kwanini hutaki mashoga wapewe sakramenti kama waumini wengine? au wale wanaopewa ni watakatifu? hayupo yeyote miongoni mwao mwenye dhambi? Hapa unaonesha ulivyojaa ubinafsi, Papa yuko above your thinking capacity.

- Wapi umeona kwenye ule waraka wa Vatican pameandikwa Kanisa Katoliki litabariki mashoga? tuwekee hapa tupaone, kisha nami nitakuwekea pale palipoandikwa Kanisa Katoliki litabariki mali za mashoga, sio mashoga kama ulivyopotosha hapa.

Hii ni sawa na kubariki mali za wengine wasiojulikana tabia na matendo yao, hakuna yeyote anayejulikana kama ni mzinzi sababu hufanyia sirini, mwizi hufanyia sirini, kujaribu kuwatenga mashoga kama vile wao pekee ndio wenye dhambi ni unafiki na ubinafsi, Papa hataki huu unafiki.

Papa anajua miongoni mwetu hayupo aliyekamilika, Kanisa Katoliki pia linajua hivyo, tukianza kutazamana usoni na kutengana mwisho wa siku huko kanisani atabaki nani? injili atahubiriwa nani? hujui hata Yesu Kristu alikuja duniani ili kuwahubiria wenye dhambi wapate kuokoka?

Mna upeo mdogo sana kifikra, na thinking yenu ni ya kijima sana wakati Kanisa Katoliki lilishatoka huko.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mimi mkatoliki, nimebatiza, komunio na kipaimara. Ila Kwa Hilo la Kubaliki vitu vya mashoga maana yake ni kuhalalisha ushoga. Slow but sure. Leo watabaliki vitu vyao kesho na ndoa wataanza kuruhusu zifungwe. Hakutakua na sababu ya kukataza wakati kitu unakitambua.

Huwez kulinganisha dhambi ya ushoga na dhambi ya uasherati. Katoliki tunadefine dhambi kama kitu ambachi ukifanya mwenzio hapendi au jamii haipendi. Kuna special dhambi ambazo Mungu mwenyewe anahusika nazo kama hiyo ya ushoga na ya kuua binadamu mwenzio makusudi.
 
Wewe ndie unasema hakuna wa kupinga, hebu tuoneshe hapa ushahidi wapi Kanisa Katoliki limewahi kuukubali ushoga?

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
It's a slow process mkuu, hawawezi kuhalalisha onspot, hii ni process ya kufanya kanisa lijiingize kwenye mahusiano ya jinsia moja taratibu, na tunapoelekea RC wataruhusu ushoga ndani ya kanisa, ni swala la muda tu.

Papa ameunajisi ukristo, kubali kataa, dhambi inakemewa, haibarikiwi!
 
Sasa km akili hana unadhani anajua nn? Hapo akili yake inawaza kupinga ushoga, anafikia hatua kuropoka visivyo kuwepo, anaishia kudharirika. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Katika masuala sensitive katika jamii kama sexuality, siasa, dini au kabila ambayo yanaendeshwa kiimani zaidi ni kawaida kuona watu wakiongea kihisia kuliko kwa facts. Ni kawaida kabisa
 
Mwaka huu huenda ndio mwaka mbaya zaidi kwa waumini wa kikatoliki katika kujivunia imani yao. Upepo bado unavuma, mawimbi bado yanaibuka na chombo kimeanza kuyumba huku safari ikiwa imeshika kasi.
Wao ndio wamekiri hili au umeamua kuwa msemaji wao ?
 
Km unajua kila mtu atahukimiwa pekee yake, kwann uanze kuona mashoga hawafai? Huoni wee unahukumu hapo?

Unajua unacho kiandika lakini?? Mwakaa huu had mkimbie Pope anakataa UNAFIKI.
PAPA kawaambia waache ushamba, waendane na dunia ya sasa
 
Hata mimi ambaye siyo mpinga kristu nimepata point.
Kwani Kristu ni nani? Najua Kristo ni mwana wa Mungu, Yesu.
Kuna madhehebu hususani usabatho wanauona ukatholiki ni alama ya 666 duniani. Hivyo, kwa hii move ya kanisa ni lazma kelele zitapigwa zaidi
 
Mimi mkatoliki, nimebatiza, komunio na kipaimara. Ila Kwa Hilo la Kubaliki vitu vya mashoga maana yake ni kuhalalisha ushoga. Slow but sure. Leo watabaliki vitu vyao kesho na ndoa wataanza kuruhusu zifungwe. Hakutakua na sababu ya kukataza wakati kitu unakitambua.

Huwez kulinganisha dhambi ya ushoga na dhambi ya uasherati. Katoliki tunadefine dhambi kama kitu ambachi ukifanya mwenzio hapendi au jamii haipendi. Kuna special dhambi ambazo Mungu mwenyewe anahusika nazo kama hiyo ya ushoga na ya kuua binadamu mwenzio makusudi.
Wee ni liongo na linafiki, dhambi zote ni sawa mbele ya kiti cha hukumuu. Tenaa uzinzi, wizi, uuaji, umekatazwa kwenye amri 10 za Mungu, vipi ushoga je? Iko kwenye amri ya ngapiii??

Poleeee mnafikii wee, safarii hii Pope anawanyoosha vilivyo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwamba Imani yako ni Fashion ? What People Perceive you to be ? Kufuata Mkumbo ? Going with what is Hot ?; Kama vile Mababu zako walivyoambiwa Imani zao ni za Kipumbavu ?

Binafsi nasema to each his/her own..... : Ingawa Wasabato wamepewa Rungu la Propaganda
 
Kwani wewe ndiye msemaji wao? Huwezi kuelewa hiyo document kama huna akili timamu ndugu. I have read it and I have understood what it says and I stand by it na sifedheheshwi na chochote. Mnaleta mawazo yenu halafu mnadhani ndiyo mawazo yetu. Pigine uwongo as much as you want and as much as you are able to do it kuwadanganya mnaoweza kuwadanganya, lakini Kanisa Katoliki litabaki kama lilivyo bila kuyumbishwa miaka nenda rudi. By the way, kama huna akili timamu huwezi kuelewa Declaration (Fiducia Supplicans) inazungumuzia kitu gani. Hivyo, you are likely to miss the point.
Wanapotosha makusudi ili kujiliwaza, furaha yao ni kulisema vibaya kanisa bila sababu ya msingi wakidhani tutatishika, hawajui Kanisa Katoliki sio chama cha siasa kutafuta wanachama, wanajidanganya sana.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Madhehebu flani wanaoona ukatholiki kama upinga kristu wamepata point [emoji16][emoji16]
Jiokoe kiakili kitu chochote kikishakuwa ni dhehebu tu wewe jua kua ni upumbavu
 
Kuna madhehebu hususani usabatho wanauona ukatholiki ni alama ya 666 duniani. Hivyo, kwa hii move ya kanisa ni lazma kelele zitapigwa zaidi
Na Wasabato huwa hawatusumbui hata kidogo.Wapige kelele zao tu mpaka watachoka,lakini hawatoweza kulitikisa Kanisa Katoliki hata siku moja
 
Umepotosha kwa kiasi kikubwa, unaonekana hujasoma hata ule waraka wa Vatican, ulichofanya ni kuokoteza maneno kwa wengine na kuja kuanzisha huu uzi wako hapa, hujafanya uchunguzi wowote, sasa hiyo aibu aione nani?

- Kama hutaki mashoga wavumiliwe na kutambuliwa ndani ya Kanisa Katoliki, unataka wezi, waongo kama wewe, na wazinzi, wao pekee ndio waendelee kuvumiliwa? Kanisa Katoliki haliishi kwenye misingi ya kinafiki.

- Kwanini hutaki mashoga wapewe sakramenti kama waumini wengine? au wale wanaopewa ni watakatifu? hayupo yeyote miongoni mwao mwenye dhambi? Hapa unaonesha ulivyojaa ubinafsi, Papa yuko above your thinking capacity.

- Wapi umeona kwenye ule waraka wa Vatican pameandikwa Kanisa Katoliki litabariki mashoga? tuwekee hapa tupaone, kisha nami nitakuwekea pale palipoandikwa Kanisa Katoliki litabariki mali za mashoga, sio mashoga kama ulivyopotosha hapa.

Hii ni sawa na kubariki mali za wengine wasiojulikana tabia na matendo yao, hakuna yeyote anayejulikana kama ni mzinzi sababu hufanyia sirini, mwizi hufanyia sirini, kujaribu kuwatenga mashoga kama vile wao pekee ndio wenye dhambi ni unafiki na ubinafsi, Papa hataki huu unafiki.

Papa anajua miongoni mwetu hayupo aliyekamilika, Kanisa Katoliki pia linajua hivyo, tukianza kutazamana usoni na kutengana mwisho wa siku huko kanisani atabaki nani? injili atahubiriwa nani? hujui hata Yesu Kristu alikuja duniani ili kuwahubiria wenye dhambi wapate kuokoka?

Mna upeo mdogo sana kifikra, na thinking yenu ni ya kijima sana wakati Kanisa Katoliki lilishatoka huko.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mkuu mi nakiri kweli sijauona waraka husika zaidi ya kusoma taarifa zake kwenye vyombo vya habari ninavyoviamini, ila nachotaka kujua kama ushoga nao ni dhambi tu kama zilivo dhambi zingine za wizi, uongo, uzinifu nk kwanini ushoga upewe uspesho namna hiyo hadi upewe nafasi ya waraka maalum? Kwanini hatujawahi kuona ama kusikia waraka unaowataka makasisi kuwabariki wezi, wazinifu na nk. Kwanini mashoga wawe singled out
 
Back
Top Bottom