Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Dhehebu la wala vinyesi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabandiko kama hili la kwako ni muhimu sana ili sisi wakatoliki tuendelee kumuonesha Mungu ambaye si mwepesi wa hasira bali mwingi wa huruma na mpango wake ni kwa wadhambi ili watubu na kumrudia.Sio siri tena tangu Papa na Vatican kutoa miongozo ya kuukumbatia ushoga, kwa sasa wakatoliki wengi wameanza kupoteza furaha, amani, ujasiri na ufahari wa kujivunia ukatoliki.
Papa na Vatican walianza kutoa kauli tata za kuona ushoga (kubadili jinsia nk) sio dhambi ya kukemewa na kanisa (yaani mashoga wavumiliwe na kutambuliwa kama sehemu ya waumini ndani ya kanisa katoliki), baadaye wakaja kutoa ruhusa mashoga kuwa wadhamini wa sacramenti za kikatoliki (Ubatizo, Komunio, ndoa) na sasa ruhusa kwa mashoga kubarikiwa! Mwelekeo unaotabiriwa kufuata ni kanisa katoliki kuanza kufungisha ndoa za mashoga na hitimisho ni kanisa katoliki kuja kuruhusu kuwa na makasisi mashoga.
Wengine walijaribu kutetea Kanisa Katoliki kwa kusema Papa na Vatican wamenukuliwa vibaya, lakini kadri muda ulivyokwenda hali imezidi kuwa wazi na mbaya kiasi cha watetezi wa Katoliki kuanza kusalimu amri.
Kwa sasa ukatoliki umewekwa kapu moja na harakati za kuukuza na kuulinda ushoga duniani.
Mwaka huu huenda ndio mwaka mbaya zaidi kwa waumini wa kikatoliki katika kujivunia imani yao. Upepo bado unavuma, mawimbi bado yanaibuka na chombo kimeanza kuyumba huku safari ikiwa imeshika kasi.
Naona upo na mwamba bega kwa bega, nacheka kumoyo hapa, angekuwa anakujuaaa!?!, ngachoka kabsaaaOngezaaa dosagee baba, unajuagaa kuninyooshea wanafiki uchwaraa wa Jf, yaan unajuaa kuwafurushaa hasaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi wanapoteanaaa.
Aisee..!!Wazinzi mbna wanabarikiwa kila siku? Tena wengine wanabarikiwa na mimba iko tumboni, wee hujui au??
Chuki zenu dhidi ya Ukatoliki haziwezi kumtikisa Papa wala Kanisa. Vyombo vya habari vya nchi za Magharibi vinavyounga mkono ushoga, wahafidhina wa Kiislamu na madhehebu ya kikiristo yenye upinzani na katoliki ndiyo yaliyoko busy kugeuza maana na msimamo wa Vatican kuhusu ushoga.Sio siri tena tangu Papa na Vatican kutoa miongozo ya kuukumbatia ushoga, kwa sasa wakatoliki wengi wameanza kupoteza furaha, amani, ujasiri na ufahari wa kujivunia ukatoliki.
Papa na Vatican walianza kutoa kauli tata za kuona ushoga (kubadili jinsia nk) sio dhambi ya kukemewa na kanisa (yaani mashoga wavumiliwe na kutambuliwa kama sehemu ya waumini ndani ya kanisa katoliki), baadaye wakaja kutoa ruhusa mashoga kuwa wadhamini wa sacramenti za kikatoliki (Ubatizo, Komunio, ndoa) na sasa ruhusa kwa mashoga kubarikiwa! Mwelekeo unaotabiriwa kufuata ni kanisa katoliki kuanza kufungisha ndoa za mashoga na hitimisho ni kanisa katoliki kuja kuruhusu kuwa na makasisi mashoga.
Wengine walijaribu kutetea Kanisa Katoliki kwa kusema Papa na Vatican wamenukuliwa vibaya, lakini kadri muda ulivyokwenda hali imezidi kuwa wazi na mbaya kiasi cha watetezi wa Katoliki kuanza kusalimu amri.
Kwa sasa ukatoliki umewekwa kapu moja na harakati za kuukuza na kuulinda ushoga duniani.
Mwaka huu huenda ndio mwaka mbaya zaidi kwa waumini wa kikatoliki katika kujivunia imani yao. Upepo bado unavuma, mawimbi bado yanaibuka na chombo kimeanza kuyumba huku safari ikiwa imeshika kasi.
Hali Si Shwari...!! Bwana Awe Nanyiiii....!!! Awe nawe Pia.....Ameeeni. Jambo baya huanza taratibu....Tusiwacheke RC bali ni wakati wa kutafakari kwa kina huko mbeleni kuna nn kitakuja kutokea?Sio siri tena tangu Papa na Vatican kutoa miongozo ya kuukumbatia ushoga, kwa sasa wakatoliki wengi wameanza kupoteza furaha, amani, ujasiri na ufahari wa kujivunia ukatoliki.
Papa na Vatican walianza kutoa kauli tata za kuona ushoga (kubadili jinsia nk) sio dhambi ya kukemewa na kanisa (yaani mashoga wavumiliwe na kutambuliwa kama sehemu ya waumini ndani ya kanisa katoliki), baadaye wakaja kutoa ruhusa mashoga kuwa wadhamini wa sacramenti za kikatoliki (Ubatizo, Komunio, ndoa) na sasa ruhusa kwa mashoga kubarikiwa! Mwelekeo unaotabiriwa kufuata ni kanisa katoliki kuanza kufungisha ndoa za mashoga na hitimisho ni kanisa katoliki kuja kuruhusu kuwa na makasisi mashoga.
Wengine walijaribu kutetea Kanisa Katoliki kwa kusema Papa na Vatican wamenukuliwa vibaya, lakini kadri muda ulivyokwenda hali imezidi kuwa wazi na mbaya kiasi cha watetezi wa Katoliki kuanza kusalimu amri.
Kwa sasa ukatoliki umewekwa kapu moja na harakati za kuukuza na kuulinda ushoga duniani.
Mwaka huu huenda ndio mwaka mbaya zaidi kwa waumini wa kikatoliki katika kujivunia imani yao. Upepo bado unavuma, mawimbi bado yanaibuka na chombo kimeanza kuyumba huku safari ikiwa imeshika kasi.
hakuna lolote,papa wanamsingizia kabisa,wakatoliki wanaelewaSio siri tena tangu Papa na Vatican kutoa miongozo ya kuukumbatia ushoga, kwa sasa wakatoliki wengi wameanza kupoteza furaha, amani, ujasiri na ufahari wa kujivunia ukatoliki.
Papa na Vatican walianza kutoa kauli tata za kuona ushoga (kubadili jinsia nk) sio dhambi ya kukemewa na kanisa (yaani mashoga wavumiliwe na kutambuliwa kama sehemu ya waumini ndani ya kanisa katoliki), baadaye wakaja kutoa ruhusa mashoga kuwa wadhamini wa sacramenti za kikatoliki (Ubatizo, Komunio, ndoa) na sasa ruhusa kwa mashoga kubarikiwa! Mwelekeo unaotabiriwa kufuata ni kanisa katoliki kuanza kufungisha ndoa za mashoga na hitimisho ni kanisa katoliki kuja kuruhusu kuwa na makasisi mashoga.
Wengine walijaribu kutetea Kanisa Katoliki kwa kusema Papa na Vatican wamenukuliwa vibaya, lakini kadri muda ulivyokwenda hali imezidi kuwa wazi na mbaya kiasi cha watetezi wa Katoliki kuanza kusalimu amri.
Kwa sasa ukatoliki umewekwa kapu moja na harakati za kuukuza na kuulinda ushoga duniani.
Mwaka huu huenda ndio mwaka mbaya zaidi kwa waumini wa kikatoliki katika kujivunia imani yao. Upepo bado unavuma, mawimbi bado yanaibuka na chombo kimeanza kuyumba huku safari ikiwa imeshika kasi.
Mkuu kuna jambo halipo sawa kwa viongozi wa katoliki huko juu hata kama hutaki. Ukumbuke wale ni binadamu.Umepotosha kwa kiasi kikubwa, unaonekana hujasoma hata ule waraka wa Vatican, ulichofanya ni kuokoteza maneno kwa wengine na kuja kuanzisha huu uzi wako hapa, hujafanya uchunguzi wowote, sasa hiyo aibu aione nani?
Hapa unachosema ni mashoga wakubalike kama wanavyokubalika wezi na wenye dhambi wengine. Unasahau historia ya imani ya kikristo linapokuja suala la ushoga. Nakwambia kuna kitu hakipo sawa na ikiendelea hivi bila kupingwa watetezi watajikuta wameingia kwenye mfumo.- Kama hutaki mashoga wavumiliwe na kutambuliwa ndani ya Kanisa Katoliki, unataka wezi, waongo kama wewe, na wazinzi, wao pekee ndio waendelee kuvumiliwa? Kanisa Katoliki haliishi kwenye misingi ya kinafiki.
PAPA IS WRONG LINAPOKUJA SUALA LA KUBARIKI MASHOGA. HATA HIVYO MIBARAKA INAPASWA KUTOLEWA BAADA YA KUTUBU DHAMBI.- Kwanini hutaki mashoga wapewe sakramenti kama waumini wengine? au wale wanaopewa ni watakatifu? hayupo yeyote miongoni mwao mwenye dhambi? Hapa unaonesha ulivyojaa ubinafsi, Papa yuko above your thinking capacity.
Kama suala ni kubariki mali bila kujali aina ya dhambi kwanini ushoga uwekewe upekee wa kutolewa waraka? Huoni kuna attention inayotafutwa kuhusu ushoga?- Wapi umeona kwenye ule waraka wa Vatican pameandikwa Kanisa Katoliki litabariki mashoga? tuwekee hapa tupaone, kisha nami nitakuwekea pale palipoandikwa Kanisa Katoliki litabariki mali za mashoga, sio mashoga kama ulivyopotosha hapa.
Kama wasiojulikana tabia na matendo yao na mashoga wapo ndani upekee ni wa nini wa kuutambua ushoga? Si haijulikani? Kwani kabla mashoga, wezi, hawakuwa wakibarikiwa? Special attention ya nini kwa mashoga? Kuna kitu hakipo sawa.Hii ni sawa na kubariki mali za wengine wasiojulikana tabia na matendo yao, hakuna yeyote anayejulikana kama ni mzinzi sababu hufanyia sirini, mwizi hufanyia sirini, kujaribu kuwatenga mashoga kama vile wao pekee ndio wenye dhambi ni unafiki na ubinafsi, Papa hataki huu unafiki.
Hili ni suala simple sana, kuhubiria mashoga waache ushoga au jambazi aache ujambazi si hichi kinachofanyika. Hichi kinachofanyika ni kuuandaa ubongo kuukubali ushoga. Ni suala la muda huyu papa asipodhibitiwa basi ushoga utakuwa jambo la wazi na la kawaida.Papa anajua miongoni mwetu hayupo aliyekamilika, Kanisa Katoliki pia linajua hivyo, tukianza kutazamana usoni na kutengana mwisho wa siku huko kanisani atabaki nani? injili atahubiriwa nani? hujui hata Yesu Kristu alikuja duniani ili kuwahubiria wenye dhambi wapate kuokoka?
Biblia yenyewe ni ya kijima, misingi yake ni ya kijima tangu uumbaji. Watu waachane na hayo mawazo watoke waende wapi? Mambo ya upo nyuma ya muda, acha ushamba, una mawazo ya kijima ni misemo ya mashoga wakitaka kuhalalisha hiyo tabia. Kuna jambo halipo sawa, Isipobadilika muda utasema.Mna upeo mdogo sana kifikra, na thinking yenu ni ya kijima sana wakati Kanisa Katoliki lilishatoka huko.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
haufi konoUkatoliki unaenda kufa kifo Cha mende!! Safi sana!!dhambi ya kuwaua mitume wa kristo inawatafuna .haiji Akilini makao makuu ya katoliki kuwa Roma nchi ya kishenzi iliyomuua Petro mtume mkuu wa ukristo
Wapi kwenye ule waraka wamesema watabariki mashoga?
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Tupo hapo tunasubiri.Kwa hiyo uislamu inaenda kukua eeeeeehUkatoliki unaenda kufa kifo Cha mende!! Safi sana!!dhambi ya kuwaua mitume wa kristo inawatafuna .haiji Akilini makao makuu ya katoliki kuwa Roma nchi ya kishenzi iliyomuua Petro mtume mkuu wa ukristo
Hawa Wakatekumeni inabidi kwanza wajifunze 'Katekisimu yetu' waielewe vizuri kabla hawajarukia kuongelea maswala ya Kanisa Katoliki bila ufahamu.kuna moja hapo juu anasema eti amemuelewa sana Askofu Ruwaichi, anadai Papa kazingua [emoji1787]
Akati Askofu Ruwaichi ameelezea kwa laugha rahisi sana kilikile alichoelezea na kumaanisha Papa...
wakatukumeni sana zingine bana inabidi kwanza ucheke [emoji1787]
Elimu yao bado na kukomaa kwa imani bado kabisa.Kwa hiyo wanavyobariki vitu vya wezi, waongo na wazinzi huwa linabariki uzinzi na wizi?
Nyie bado sana.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hapa ndio unanionesha mlivyo na tatizo la kushikiwa akili.
#smallmind
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Wewe unaungana na Papa mashoga wasitengwe??Hao mashoga wanaonekana kabisa kutengwa kwenye jamii nyingi, ndio maana Papa kwa kutambua hilo ameamua kuwasogeza karibu, mwenye dhambi hatengwi hata Kristo alikuja ulimwenguni ili kuwaokoa, suala suala la uspesho ni mawazo yenu yenye vimelea vya kuwatenga mashoga, nothing else.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja lakini si Kwa kuondolewa bali yeye mwenyewe kujiuzulu. Hatakuwa Papa wa Kwanza kuachia madaraka. Alinde heshima ya Kanisa ili ionekane yalikuwa maoni yake binafsi. Tamko la Papa ni sheria ndogo Kwa Kanisa, Sasa hii sheria ndogo inayopingwa na Watekelezaji inamuondolea heshima yeye kama kichwa cha Kanisa.Huyo Papa anatakiwa kuondolewa madarakani haraka maana kuezi kutetea kitu ambacho hukifanyi!!
One love.Mabandiko kama hili la kwako ni muhimu sana ili sisi wakatoliki tuendelee kumuonesha Mungu ambaye si mwepesi wa hasira bali mwingi wa huruma na mpango wake ni kwa wadhambi ili watubu na kumrudia.
Kama ilivyo kwa wezi na wauaji mashoga nao ni wadhambi.Je utawatenga wadhambi na kuwacondemn kwa wewe kujihesabia haki kwa Mungu huyu wa huruma?
POPE FRANCIS SAID :
"Imagine a single mother who goes to church or parish, and says to the secretary: I WANT TO BAPTIZE MY SON, and the attendant says: 'No, you can't, because she's not married... "
Let us keep in mind that... This mother had the courage to continue a pregnancy — and what did she find? With a locked door!
So, if we follow this path and attitude, we are not doing God’s people, good.
Jesus created the seven sacraments and with this kind of attitude we create an eighth: the sacrament of pastoral customs!
"WHOEVER APPROACHES THE CHURCH MUST FIND OPEN DOORS AND NOT FAIRS OF FAITH".
“We need saints without veil, without toner. We need saints in jeans and sneakers.
We need saints who will go to the movies, listen to music, and stroll with their friends.
We need saints who put God first and excel in University.
We need saints who find time to pray every day and know how to fall in love with purity and chastity, or consecrate their chastity.
We need modern saints, twenty-first century saints with a spirituality embedded in our time.
We need saints committed to the poor and necessary social change.
We need saints who live in the world, who get holy in the world, and who are not afraid to live in the world.
We need saints who drink coke and eat hot dogs, who are netizens, who listen to iPod.
We need saints who love the Eucharist and are not ashamed to drink a beer or eat pizza on the weekend with friends.
We need saints who like cinema, theatre, music, dance, sports.
We need social saints, open, normal, friends, cheerful, companions.
We need saints who are in the world and who can taste the pure and good things of the world, but without being worldly."
This is supposed to be us!!!
Lakini aibu ya kwanza ingekuwa kwa Mtume Muhammad ambaye anamsingizia Mungu kuwa alimruhusu kutoa mke wa mtu Zainabu, rejea Quran 33:37, pia Mtume Muhammad akaendelea kumsingizia Mungu kuwa anaweza akazini na wanawake wote wa Kiislamu wanaojitoa Bure kwake, rejea Quran 33:50. Haya ya Papa Paulo ni yake kwa kuwa Biblia haina Aya hata moja inayotetea ushoga, hivyo hatuwezi kusema ni maagizo ya Mwenyezi Mungu, lakini Mtume Muhammad yeye ameleta mpaka Aya za kuhalalisha ulawiti, mfano Quran 2:223 wanawake ni konde zenu zieendeeni konde zenu kama mpendavyo, tafsiri ya Kitabu Sabulus-Salam juzuu 3 ambapo Mtume alisema Aya hii imeteremshwa kwa ajili ya wanaume kuwaingilia wake zao tupu zao za nyuma. Lawama kwanza ziende kwa Mtume Muhammad.Sio siri tena tangu Papa na Vatican kutoa miongozo ya kuukumbatia ushoga, kwa sasa wakatoliki wengi wameanza kupoteza furaha, amani, ujasiri na ufahari wa kujivunia ukatoliki.
Papa na Vatican walianza kutoa kauli tata za kuona ushoga (kubadili jinsia nk) sio dhambi ya kukemewa na kanisa (yaani mashoga wavumiliwe na kutambuliwa kama sehemu ya waumini ndani ya kanisa katoliki), baadaye wakaja kutoa ruhusa mashoga kuwa wadhamini wa sacramenti za kikatoliki (Ubatizo, Komunio, ndoa) na sasa ruhusa kwa mashoga kubarikiwa! Mwelekeo unaotabiriwa kufuata ni kanisa katoliki kuanza kufungisha ndoa za mashoga na hitimisho ni kanisa katoliki kuja kuruhusu kuwa na makasisi mashoga.
Wengine walijaribu kutetea Kanisa Katoliki kwa kusema Papa na Vatican wamenukuliwa vibaya, lakini kadri muda ulivyokwenda hali imezidi kuwa wazi na mbaya kiasi cha watetezi wa Katoliki kuanza kusalimu amri.
Kwa sasa ukatoliki umewekwa kapu moja na harakati za kuukuza na kuulinda ushoga duniani.
Mwaka huu huenda ndio mwaka mbaya zaidi kwa waumini wa kikatoliki katika kujivunia imani yao. Upepo bado unavuma, mawimbi bado yanaibuka na chombo kimeanza kuyumba huku safari ikiwa imeshika kasi.
Kaona watu wanavyompa facts imekuwa ngumu kwake kuendelea kutetea mada yake na akaamua kuitelekezaNaona mleta mada mwenyewe amejaza ujinga wake hapa amekimbia, katuachia hii mikia yake.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app