Wakatoliki wenye Watoto wanaopokea Komunio ya Kwanza leo mbona hatualikani Kula Pilau?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nichukue nafasi hii Kuwapongeza Watoto Wote wa Kikatoliki ambao leo wanapata Komunio yao ya Kwanza.

Tafadhali Wazazi wa hawa Watoto GENTAMYCINE nawaomba hebu nipeni basi Code ili nije Kula nanyi hiyo Mipalau yenu mlioipika ili niokoe Bajeti yangu ya Chakula kwa leo Jumapili.

Nijibuni upesi kwa kunipa Mialiko yenu ili nije na kama hamtaki semeni ili nikashinde zangu Baharini Kawe ili kupambana na hili Joto Kali la Dar es Salaam kwa sasa.
 
Karibu Chanika kwa Sumaye.
 
Back
Top Bottom