Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not the first time, na nashangaa unadai wakatoliki? ni mara ya kwanza?Kama Ulaya ndiko kuna Kila Kitu cha Kumzuia Israeli asikibonyeze Kitufe, ila wameshindwa je, kuna sababu ya Kufichana?
Si ilisemekana huyu ndo atakuwa wa mwishoSafari hii moshi mweupe utokee kwa yule muafrika mweusi wa nigeria
Ana kila kitu lakini Figo zinafeli,lakini wazee wa mlo mmoja kwa siku wanadunda tu kama mzee wa samakiWatanzania tunapenda sana Unafiki na ndiyo maana Mimi huwa Nagombana nanyi na mnaanza Kunichukia. Hivi umeshaambiwa kuwa tena na Madaktari Bingwa kabisa tena Hospitali za huko Ulaya kwa Walikoendelea na siyo Amana, Temeke au Mwananyamala tulikokuzoea kutokana na Umasikini wetu na Shida zetu kuwa tayari Figo zake zimeshafeli na kuanza kutokufanya Kazi hapo kuna cha Kungojea?
Na hata Wataalam wa Afya wanasema kuwa Figo ikifeli jua muda wowote na Ini nalo litafeli je, mpaka hapo kuna Jipya? GENTAMYCINE napenda sana Scientific Facts (japo Kiimani Mimi ni Mkristo na tena Mkatoliki kabisa) ila kwa jinsi nionavyo Wachambuzi wa Masuala ya Kiafya huko Ulaya, Marekani na Middle East wanavyoichambua hii Hali ya Papa (Pontiff) Wetu tusidanganyane wala kufarijiana uwezo wake wa kuendelea Kuishi ni 5% tu.
Wazee wa mlo mmoja wataishi milele???Ana kila kitu lakini Figo zinafeli,lakini wazee wa mlo mmoja kwa siku wanadunda tu kama mzee wa samaki
Yaani Mungu muache aitwe mungu,kuna wale wazee wahazabe wanakula mpaka utumbo mbichi lakini wanadunda tuWazee wa mlo mmoja wataishi milele???
Hawafi?Yaani Mungu muache aitwe mungu,kuna wale wazee wahazabe wanakula mpaka utumbo mbichi lakini wanadunda tu
Yaani ukiwalinganisha na hao wanaomiliki dunia,ilibidi wafe kitambo,imagine Michael Jackson alikuwa mpaka na hewa yake ya Oxygen lakini wanywa viroba mpaka leo wanadundaHawafi?
Na huko siyo ajabu kusikia mzee amefariki na 100+ lakini njoo kwa sisi tunaojifanya kupika nyama mpaka inanyumbulika ukitoboa 60 shukuru hiyo 70+ tunakoelekea tutakuwa tunaisikia kwenye bomba.Yaani Mungu muache aitwe mungu,kuna wale wazee wahazabe wanakula mpaka utumbo mbichi lakini wanadunda tu
Labda yakoHivi figo hawezi kubadilishiwa?
hiyo 5% ni baada ya siku gani? Maana akitoka salama utasema muda uliomaanisha haujafika... uwezo wake wa kuendelea Kuishi ni 5% tu.
MUNGU ni wa ajabu sana.Ana kila kitu lakini Figo zinafeli,lakini wazee wa mlo mmoja kwa siku wanadunda tu kama mzee wa samaki
Na Mwamnyeto???Na Zidane?
Roho za kimasikini ni mbaya sana, utapataje furaha kwenye huzuni ya mwenzio 😯😯😯Yaani ukiwalinganisha na hao wanaomiliki dunia,ilibidi wafe kitambo,imagine Michael Jackson alikuwa mpaka na hewa yake ya Oxygen lakini wanywa viroba mpaka leo wanadunda