Wakatoliki wenzagu tumeshaanza kuyaandaa Machozi, kwani Mimi sipendi Unafiki na Kufichaficha nadhani Israeli hatomuacha Mtu huko Vatican

Ana kila kitu lakini Figo zinafeli,lakini wazee wa mlo mmoja kwa siku wanadunda tu kama mzee wa samaki
 
Aondoke tu (Mungu anisamehe sana kwa maandishi haya) maana huyu mzee majuzi hapa amezingua big time,sana yani sanaa ilikuwa ukisikia ametoa tamko tu basi lazima apige boko.

Nadhani akili yake nayo ilishachoka maana alikuwa anapuyanga tu kila anachoulizwa kwa mitego na walioilalia dunia alikuwa anajibu asijitafakarishe pengine ni mtego kwa Kanisa.
 
Yaani Mungu muache aitwe mungu,kuna wale wazee wahazabe wanakula mpaka utumbo mbichi lakini wanadunda tu
Na huko siyo ajabu kusikia mzee amefariki na 100+ lakini njoo kwa sisi tunaojifanya kupika nyama mpaka inanyumbulika ukitoboa 60 shukuru hiyo 70+ tunakoelekea tutakuwa tunaisikia kwenye bomba.
 
Huyu Papa Mungu tu amsamehe maana kuna nyakati alikuwa mtetezi wa ushoga 🐷🐷🐷🐢🐢🐢 na aliliingiza kanisa katika dilemma
 
Kashalal usingizi mzuri wanasubir siku 3 zipite ndo watangaze
 
Yaani ukiwalinganisha na hao wanaomiliki dunia,ilibidi wafe kitambo,imagine Michael Jackson alikuwa mpaka na hewa yake ya Oxygen lakini wanywa viroba mpaka leo wanadunda
Roho za kimasikini ni mbaya sana, utapataje furaha kwenye huzuni ya mwenzio 😯😯😯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…