Wakatoliki wenzagu tumeshaanza kuyaandaa Machozi, kwani Mimi sipendi Unafiki na Kufichaficha nadhani Israeli hatomuacha Mtu huko Vatican

Hivi si tulikubaliana Kila mtu atakufa Kwa wakati wake. Kwa ajali, magonjwa, uchawi, n.k lakini sote tutakufa.

Hata kwenye familia zetu wazee huugua na kufa au kupona na baadae kufa.

Sasa sioni sababu ya mabishano, Profesa J alishatangaziwa kifo mara nyingi sana lakini yupo.

Lowasa alitangaziwa mara nyingi sana lakini waliomtangazia walikua kabla yake
 

Amana,Temeke na Mwananyamala siku hizi zimeboreshwa zinatoka huduma daraja la kwanza, Watanzania tutembee kifua mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…