Hakuna anayeshusha brand ya mwenzake kwa kumkosoa, ukisema hivyo basi utakuwa mnafiki kwasababu huyo unayemtetea kashusha brand za wasanii wenzake kwa madai kuwa hawana uwezo wa ku competee nayeNi wivu tu. huyo Wakazi apambane kutengeneza brand yake sio kuishusha ya mwenzie. hapa mtaani ukiuliza watu watatu kwa ghafla kuhusu Wakazi watakujibu hawamjui.
Nani kakudanganya maprofesa wanaupeo mkubwa, watu wanatakiwa wawe wanasoma/wanasikiliza wanadigest wanauliza wanapinga kwa hoja au wanaunga mkono kwa hoja piaMkuu unamaanisha vile tunaona ma professor wetu akili hawana vile wanafanya maamuzi ya kiwaki kumbe sisi ndo hatuna akili?
Wakazi amesema ana mafanikio mengi tu kama : "7 mixtapes, 3 Albums, 20 singles, Multiple Shows, Multiple Endorsements" na bado ana exposure kubwa na uelewa wa masuala ya utengenezaji wa muziki 😆Unajua ni sawa wewe uende kumshauri Bakhresa kuhusu biashara wakati biashara unayofanya haijafanikiwa kama yake. Utaonekana snitch tu ukianza oh, unajua bwana Bakhresa unafanya biashara kienyeji sana japo umefanikiwa 🤣
Kingereza bila ela ni sawa na kupiga kelele 😄😄 hata uongee point hakuna atakaekuelewa.Wakazi amesema ana mafanikio mengi tu kama : "7 mixtapes, 3 Albums, 20 singles, Multiple Shows, Multiple Endorsements" na bado ana exposure kubwa na uelewa wa masuala ya utengenezaji wa muziki 😆
Mziki umemshinda kageuka kuwa mchambuziWakazi pambana game tafu Acha majungu.
Mwisho wa siku ile ni kazi na lengo ni kutengeneza ela.Alichosema Wakaazi ni ukweli mtupu ila watampinga sana na maneno kibao lakini hana cha kutisha Diamond.
Unaweza kuwa wa kwanza ktk darasa lenu shule ya msingi MSAMBWANDA SEC SCHOOL lakini ukipelekwa ktk mashindano ktk shule ELIMU NI UFUNGUO SEC SCHOOL ukajipata wa mwisho kila mtihani.
Tuchukulie mfano Christian Bella angeibuka na kujutana na kina Alli Choki, Mwijuma Muumini huku Banza stone angeonekania wapi?
Huu ni uongo wa kiwango cha juu mkuu.Wakazi yuko sahihi Diamond hata atoe ngoma ya dakika mbili halafu humo ndani awe anacheka mwanzo mwisho utaona ngoma hiyo itavyokuwa trend na usikute ikapewa na tuzo
Hayo yote yamerahisishwa kutokana na jina (umaarufu) na ndio maana hata hawa ma underground wana amini wakipata nafasi ya kufanya kazi kwenye lebel yao watatoka tu, kwasababu kitachowafanya wajulikane sio ubora wa kile wanachokiimba
Means hata kwa level zao za huku chini wanaamini hata wakaze msuli namna gani bado ubora wa nyimbo hautakuwa kigezo wao kutoka
Nakubaliana na Wakazi
Mkuu linapokuja swala la kujulikana, Wakazi hafiki hata kwa Bestnasso licha ya kwamba wanafanya mziki tofauti.Yes inategemeana na huyo mtu yuko interested na aina gani ya mziki
Mi mwenyewe naskiaga zuchu zuchu lakini sijawahi muona kumjua, na pobably nilimuona ila sikujua kuwa ndio yeye
Hayo yote yanawezekana kama huna interest na type hiyo ya burudani
Ndo tabia zake kutafuta attention kwa kuongelea kila kitu, aliwahi kusema FID Q ni wa kawaida sana akilinganishwa na yeye.Kuna kipindi Wakazi aliwahi kusema Afande Sele hayuko technical kwenye uandishi...Afande akaulizwa kuhusu hilo jambo akasema hamjui Wakazi😆
We ndo hujanielewa, mi sizungumzii hit song ambazo zinakuja kwa misimuHuu ni uongo wa kiwango cha juu mkuu.
Wewe hufatilii ama hupend muziki, nyie ndo mziki mnaufatilia kwa kiki za insta tu na trending stories za udaku.
Mkuu mbna kuna madogo wanaimba poa na wametoka kupitia mziki wao wala sio record lebel wala nguvu ya msanii mkubwa.
Kina lod music, hastone , jay melody, marioo nk.
Ila ndo ivo tu hao wcb wanaongelewa mno kwahiyo wasiofatilia mziki huona kama wasanii bongo ni hao tu na huwez fanikiwa bila kupitia wao wakati si kweli na ni uongo mkubwa.
Unaona sasa yani kuna mambo ambayo kwenye hip hop yanafanywa kama utamaduni na hayawi personally, kwa mtu ambaye yuko familiar na hip hop hawezi kustukaMkuu linapokuja swala la kujulikana, Wakazi hafiki hata kwa Bestnasso licha ya kwamba wanafanya mziki tofauti.
Kinachonishangaza huwa ana tabia ya kujifanya anajua kila kitu, huyohuyo aliwahi kusema FID Q ni wa kawaida sana akilinganishwa na yeye.
Sasa na wewe utashindwaje kuwa na wivu na unashinda JF muda woote wenzio accounts zao kuna watu wamewaajiri wewe unakomaa mwenyeweHuu ndo ujinga wa watu wengi sana kufikiria mtu akisemwa negative itatokana na watu kuwa na wivu na mali zake, ni UJINGA
Mimi sijaajiriwa na muhindi kama ilivyo wewe, naweza nikawa hapa masaa 24 na nikawa na make chedah vile vileSasa na wewe utashindwaje kuwa na wivu na unashinda JF muda woote wenzio accounts zao kuna watu wamewaajiri wewe unakomaa mwenyewe