Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Hakuna anayeshusha brand ya mwenzake kwa kumkosoa, ukisema hivyo basi utakuwa mnafiki kwasababu huyo unayemtetea kashusha brand za wasanii wenzake kwa madai kuwa hawana uwezo wa ku competee nayeNi wivu tu. huyo Wakazi apambane kutengeneza brand yake sio kuishusha ya mwenzie. hapa mtaani ukiuliza watu watatu kwa ghafla kuhusu Wakazi watakujibu hawamjui.