Wakazi: Diamond Platnumz ni maarufu ila hajui kuimba, "ukweli unauma mpaka mnanipigia simu za vitisho"

Kuna tofauti kati ya ukweli na mahaba.....mbona Wakazi kaongea ukweli mtupu tu. Cha kushangaza hata Diamond mwenyewe anajuwa kuwa hajuwi kuimba lakini anabangaiza tu ila mashabiki wake ndiyo wanataka kuvaa mabomu mwilini kumlipua Wakazi.

Ukweli utabaki kuwa ukweli tu no matter what.
 
Umenikumbusha Fid Q aliwahi kuulizwa kwenye moja ya interview yake kuwa ni msanii gani anayemkubali wa rap

Unajuwa alijibu vipi?

Alisema msanii anayemkubali ni Fid Q

Kwa hiyo kama swala la kusema msanii fulani ni mkali kuliko mwingine linampotezea mtu credit basi bila shaka utamshusha vyeo Fid Q huyo huyo ambaye mwanzo umesema unamkubali
 
Kijana akisha kuwa act akilizake huwa kama watu waliosomea russia
 

Credit hazipotei kwasababu ya kumkubali au kutomkubali mtu,zinapotea ukianza kulazimisha unaemuona wewe mkali ndio mkali wa kila mtu..kubishana Mambo ambayo hayawezi kukupatia majibu..

kila mtu ana maoni yake,rahisi kubishana timu gani nzuri kwa msimu husika ,tunaangalia mataji,mziki watu wanapiga kura,ndio maana tuzo Hadi za Grammy Zina walakini, Tupac na Big hawana Grammy
 
Wa kazi huwa namuelewa sana , mshikaj mziki hajui Ila mawazo yake (thinking capacity ) anawakalisha mpak TISS...!! Kuna tofauti kubwa Kati ya umaarufu na ubora , kuna shortcut nyingi za kufikia umaarufu Ila ubora ni scientific term
Bora hata wee unajua hilo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
You got it wrong

Hakuna nilipolazimisha watu wote wakubaliane na perspective yangu

Na sisemi kwamba mwana hajui kuimba na kuishia hapo bila kuonesha sababu kwanini nasema hivyo maana hapo nitakuwa situmii vizuri ubongo wangu.

Sasa napojaribu kuelezea kwanini namuita hajui ndio kwako ina tafsirika kama nalazimisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi ni full burudaaani yaan, nasoma comments tyuuh mie. Lol

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
BRO KUWASEMA FREEMASON NI UWE NA NGUVU, KINYUME NA HAPO KAA KIMYA
 
Kama anataka aishie kuwa local arudie ule u-local wa nyimbo hizo za 'unanipenda' lakini kama target ni international market yuko kwenye njia sahihi kabisa.
Hauwezi kuimba Mbagala au Nenda kamwambie then utegemee ku-compete kimataifa, hicho ni kichekesho.
 
Sasa mkuu wewe unamuonaje Wakazi??

Haina ubishi kuwa ni Legend kwenye group la ma-underground, kuna watu mpaka leo ukisema Wakazi hawamjui.
Kama mimi hapa sijui wimbo wake hata mmoja, namjulia humu kwenye mijadala.
 
Yes inategemeana na huyo mtu yuko interested na aina gani ya mziki

Mi mwenyewe naskiaga zuchu zuchu lakini sijawahi muona kumjua, na probably nilimuona ila sikujua kuwa ndio yeye

Hayo yote yanawezekana kama huna interest na type hiyo ya burudani
Mimi nasikiziliza sana Hip Hop za Kibongo, tokea the so called MUZIKI WA KIZAZI KIPYA unaanza lakini siujui hata wimbo mmoja wa Wakazi. Labda nimewahi kuusikia bila ya kufahamu kuwa huyo ndiyo Wakazi, lakini ukweli utabaki kuwa umaarufu wake uko zaidi kwenye kuchamba wasanii wenzake mitandaoni kuliko kazi zake.
View attachment 2153951
 

huo umaarufu kaupata kwa kucheza mpira??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…