Wakazi: Diamond Platnumz ni maarufu ila hajui kuimba, "ukweli unauma mpaka mnanipigia simu za vitisho"

Wakazi: Diamond Platnumz ni maarufu ila hajui kuimba, "ukweli unauma mpaka mnanipigia simu za vitisho"

Kuna tofauti kati ya ukweli na mahaba.....mbona Wakazi kaongea ukweli mtupu tu. Cha kushangaza hata Diamond mwenyewe anajuwa kuwa hajuwi kuimba lakini anabangaiza tu ila mashabiki wake ndiyo wanataka kuvaa mabomu mwilini kumlipua Wakazi.

Ukweli utabaki kuwa ukweli tu no matter what.
 
Bro wewe mdau wa rap,nikikwambia unitajie rappers wako kumi Bora list yako itakua tofauti na Jay z, Mimi,Fid Q,ubishi wa kitoto kama huu ndio unakupunguzia points,Kusema fulani ni mwanamuziki mzuri kuliko fulani ni kitu "subjective"kila mtu ana maoni yake,na mkali wake ,usifanye mtazamo wako binafsi ndio FACT...I respect your opinions tho,hata Mimi sijawahi kuona kama diamond muimbaji mzuri but sio suala la kushindana coz mziki ni suala la hisia na Mapenzi hiyo kujua au hajui kila mtu na maoni yake...mimi nampenda saaaaana Belle 9,sijui I'm lil biased coz natokea Moro,I don't know....mkali Nani??tutakesha Hakuna jibu
Umenikumbusha Fid Q aliwahi kuulizwa kwenye moja ya interview yake kuwa ni msanii gani anayemkubali wa rap

Unajuwa alijibu vipi?

Alisema msanii anayemkubali ni Fid Q

Kwa hiyo kama swala la kusema msanii fulani ni mkali kuliko mwingine linampotezea mtu credit basi bila shaka utamshusha vyeo Fid Q huyo huyo ambaye mwanzo umesema unamkubali
 
Kijana akisha kuwa act akilizake huwa kama watu waliosomea russia
 
TUmenikumbusha Fid Q aliwahi kuulizwa kwenye moja ya interview yake kuwa ni msanii gani anayemkubali wa rap

Unajuwa alijibu vipi?

Alisema msanii anayemkubali ni Fid Q

Kwa hiyo kama swala la kusema msanii fulani ni mkali kuliko mwingine linampotezea mtu credit basi bila shaka utamshusha vyeo Fid Q huyo huyo ambaye mwanzo umesema unamkubali

Umenikumbusha Fid Q aliwahi kuulizwa kwenye moja ya interview yake kuwa ni msanii gani anayemkubali wa rap

Unajuwa alijibu vipi?

Alisema msanii anayemkubali ni Fid Q

Kwa hiyo kama swala la kusema msanii fulani ni mkali kuliko mwingine linampotezea mtu credit basi bila shaka utamshusha vyeo Fid Q huyo huyo ambaye mwanzo umesema unamkubali
Credit hazipotei kwasababu ya kumkubali au kutomkubali mtu,zinapotea ukianza kulazimisha unaemuona wewe mkali ndio mkali wa kila mtu..kubishana Mambo ambayo hayawezi kukupatia majibu..

kila mtu ana maoni yake,rahisi kubishana timu gani nzuri kwa msimu husika ,tunaangalia mataji,mziki watu wanapiga kura,ndio maana tuzo Hadi za Grammy Zina walakini, Tupac na Big hawana Grammy
 
Wa kazi huwa namuelewa sana , mshikaj mziki hajui Ila mawazo yake (thinking capacity ) anawakalisha mpak TISS...!! Kuna tofauti kubwa Kati ya umaarufu na ubora , kuna shortcut nyingi za kufikia umaarufu Ila ubora ni scientific term
Bora hata wee unajua hilo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Credit hazipotei kwasababu ya kumkubali au kutomkubali mtu,zinapotea ukianza kulazimisha unaemuona wewe mkali ndio mkali wa kila mtu..kubishana Mambo ambayo hayawezi kukupatia majibu..kila mtu ana maoni yake,rahisi kubishana timu gani nzuri kwa msimu husika ,tunaangalia mataji,mziki watu wanapiga kura,ndio maana tuzo Hadi za Grammy Zina walakini, Tupac na Big hawana Grammy
You got it wrong

Hakuna nilipolazimisha watu wote wakubaliane na perspective yangu

Na sisemi kwamba mwana hajui kuimba na kuishia hapo bila kuonesha sababu kwanini nasema hivyo maana hapo nitakuwa situmii vizuri ubongo wangu.

Sasa napojaribu kuelezea kwanini namuita hajui ndio kwako ina tafsirika kama nalazimisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi ni full burudaaani yaan, nasoma comments tyuuh mie. Lol

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
BRO KUWASEMA FREEMASON NI UWE NA NGUVU, KINYUME NA HAPO KAA KIMYA
 
Wakazi huwezi kumfananisha na nikki wa pili

Niki wapili alikiwa ni chawa, mlamba miguu, asskisser aliyepitiliza mpaka akapewa huo u DC

Tena umenikumbusha kati ya wasanii ambao nimekuwa nawaongelea negative basi hapa mtaiona nafuu ya diamond katika kuwakosoa wasanii

Kipindi cha magufuli ambapo tweeter ilipigwa ban, na kufanya access iwezekane kwa vpn tu, huyu jamaa alijitokeza na ku tweet kuwa watu wanaizushia serikali uwongo kwani yeye ameweza kuingia tweeter bila vpn na kwenda mbali kuwa watu wanafanya hivyo kumchafua magufuli tu

Baada ya hapo zikaja gharama kubwa za mabando, jamaa akasimamia ukucha kuwa wananchi wasilie lie kuhusu bando kwanj sio kitu necessary kama kula, ni jambo linaweza kuepukika tu kuliko kuisumbua serikali kuhusu kupunguziwa gharama za bando

Haya akaja tena kwenye tozo akaongea ujinga kibao just kuwa upande wa serikali

Sio huyo tu, hadi masanja naye ni wa type hiyo hiyo na anasemwa sana.

Lakini utofauti unavyokuja tukiwasema hawa hatutajwi kama watu wenye wivu wa mafanikio ya hao watu au haters kwasababu nikki wapili hajaweza kuwa na mashabiki wengi wakumtetea kama ilivyo kwa diamond na alikiba kila platfom kuna utimu

Kwa hiyo nasisitiza kuwa diamond kwenye ywezo wa kuimba bado sana, labda kama utanifananishia yule diamond wa "utanipenda" lakini huku kwa nyegezi ni ujinga na aibu kukubaliana na hoja hiyo kuwa mwana anaimba vizuri
Kama anataka aishie kuwa local arudie ule u-local wa nyimbo hizo za 'unanipenda' lakini kama target ni international market yuko kwenye njia sahihi kabisa.
Hauwezi kuimba Mbagala au Nenda kamwambie then utegemee ku-compete kimataifa, hicho ni kichekesho.
 
Sasa mkuu wewe unamuonaje Wakazi??

Haina ubishi kuwa ni Legend kwenye group la ma-underground, kuna watu mpaka leo ukisema Wakazi hawamjui.
Kama mimi hapa sijui wimbo wake hata mmoja, namjulia humu kwenye mijadala.
 
Yes inategemeana na huyo mtu yuko interested na aina gani ya mziki

Mi mwenyewe naskiaga zuchu zuchu lakini sijawahi muona kumjua, na probably nilimuona ila sikujua kuwa ndio yeye

Hayo yote yanawezekana kama huna interest na type hiyo ya burudani
Mimi nasikiziliza sana Hip Hop za Kibongo, tokea the so called MUZIKI WA KIZAZI KIPYA unaanza lakini siujui hata wimbo mmoja wa Wakazi. Labda nimewahi kuusikia bila ya kufahamu kuwa huyo ndiyo Wakazi, lakini ukweli utabaki kuwa umaarufu wake uko zaidi kwenye kuchamba wasanii wenzake mitandaoni kuliko kazi zake.
View attachment 2153951
 
Wakazi yuko sahihi Diamond hata atoe ngoma ya dakika mbili halafu humo ndani awe anacheka mwanzo mwisho utaona ngoma hiyo itavyokuwa trend na usikute ikapewa na tuzo

Hayo yote yamerahisishwa kutokana na jina (umaarufu) na ndio maana hata hawa ma underground wana amini wakipata nafasi ya kufanya kazi kwenye lebel yao watatoka tu, kwasababu kitachowafanya wajulikane sio ubora wa kile wanachokiimba

Means hata kwa level zao za huku chini wanaamini hata wakaze msuli namna gani bado ubora wa nyimbo hautakuwa kigezo wao kutoka

Nakubaliana na Wakazi

huo umaarufu kaupata kwa kucheza mpira??
 
Back
Top Bottom