Wakazi: Diamond Platnumz ni maarufu ila hajui kuimba, "ukweli unauma mpaka mnanipigia simu za vitisho"

Ndo maana hata yeye amesema kuna utofauti kati ya umaarufu na kuwa muimbaji bora

Wakazi ambaye wewe unaishia kumsikia humu JF ni maarufu zaidi kuliko Dizasta vina lakini when it comes to lyrical na story telling, Wakazi mwenyewe ana salute

Professa jay alikuwa anamtaja rapcha kama ni best story teller ila hakuwahi kumjua dizasta, na siku alipokuja kumskia alikiri kuwa jamaa ni gwiji ila hafahamiki na hakuwahi kumjua before

Kwa hiyo point sio umaarufu, point hapa ni ubora wa mashairi
 
Aisee wakazi ana album na mixtape lukuki🤣

 
Hapa sasa ndio nimekuelewa
 
We ndo hujanielewa, mi sizungumzii hit song ambazo zinakuja kwa misimu

Kama ni hivyo basi wakwanza kumtaja angekuwa darasa kwenye maisha na muziki
Kwani darasa alianza na maisha na muziki pekee??

Darasa ni wa kitambo mkuu hiyo ni moja ya hit songs zake lakini mchiz kitambo anafahamika.

Mi nachokataa ni hiyo mentality ya kubaniwa, haija ukweli wowote.
Mfano ni huyu Marioo, kuna kipindi xxl ya clouds walimshangaa coz kuna presenter wa xxl alienda kenya na akaona vile kenyans wanamkubali dogo japo yeye hakuwahi kwenda huko kenya.
Ndo wakaja kumsanua kua ebana wew funguka mzee mziki sio tz peke yake.
 
Huyu jamaa nitam underrate uimbaji wake ila linapokuja swala la live performance huyu mchizi ni nyoko
Jamaa kuna muda akirekodi kuna nyimbo flow kama inakuja na kukataa ila live yupo vizuri
 
Na ndio maana nimesema siongelei trend ya msimu, hata kabla ya maisha na muziki hakuwahi kufanya ngoma ililiyo trend kama hiyo

Ila pia kuna ngoma kali (kwa maana ya lyrical) zaidi ya maisha na muziki alizowahi kuzifanya lakini hazijawa trend

Huyo marioo nimemjua juzi kwenye nyimbo ya utopolo
 
Jamaa kuna muda akirekodi kuna nyimbo flow kama inakuja na kukataa ila live yupo vizuri
Ebu mcheki hapa

Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.
 
Duuh mkuu au umri umeenda hufatilii hizi mambo!??
Marioo umemjua kwenye yanga tamu??

Dogo ni wa kitambo kidogo na ana fans wengi tu tz, na pia anaimba vizuri kama management yake na yeye mwenyewe atakua poa si ajabu akafikia alipofika domo mwenzie( wote ni madomo makubwa).
 
Sio sifatirii kwa kigezo cha umri

Sifatilii kwasababu sio interest yangu

Huyo nimekuja kumjua kwasababu amehusika kwenye interest yangu ya soccer

Bado mmoja namskiaga humu wanamuita zuchu
 
Sio sifatirii kwa kigezo cha umri

Sifatilii kwasababu sio interest yangu

Huyo nimekuja kumjua kwasababu amehusika kwenye interest yangu ya soccer

Bado mmoja namskiaga humu wanamuita zuchu
Aisee kweli basi sio interest yako.
 
Ila nyimbo za diamond ni matusi mwanzo mwisho ndo hivyo ndo ambazo zinambeba
 
Wa kazi huwa namuelewa sana , mshikaj mziki hajui Ila mawazo yake (thinking capacity ) anawakalisha mpak TISS...!! Kuna tofauti kubwa Kati ya umaarufu na ubora , kuna shortcut nyingi za kufikia umaarufu Ila ubora ni scientific term
Umeongea bonge ya point ni kama utajiri Kuna watu wametumia ujanja ujanja wamekua matajiri wengine wachache wametumia njia halali kufikia utajiri

Same kwa diamond ukisikiliza nyimbo zake ni ngumu sana kuelewa exactly anachoimba Mara zigo la kuvunja Chaga, Mara kujigiji n.k kwa hiyo nyimbo zinakua maarufu Ila hazina ubora
 
Diamond anachowazid wasanii wengine ni uthubutu, kuimba sio bora sana jamaa ana uthubutu ambao watanzania wengi hawana
 
Inawezekana yupo sahihi lakini sababu ya kuongea hayo yote ni ipi?

Nick mbishi aliwahi kusema ukitaka kutrend basi muongelee diamond
Sababu ya kuongea ni baada ya Diamond kutangazwa namba tatu kwa umaarufu.
 
Diamond mashabiki aliojitengenezea hapana
Hata akijamba watasema bosi hajajamba mbona hatusikii harufu?
 
Aisee wakazi ana album na mixtape lukuki🤣

View attachment 2153958
Ndiyo maana wamem-brand 'The legend underground', sijawahi kusikia wimbo wake hata mmoja.
Let's hope hii technic aliyokuja nayo itamsaidia kusikika, si unaona hapa tayari anafanyiwa promo kiaina the reason behind this ni ile tweet yake kuhusu Diamond.
 
Ubora unategemea na 'taste' ya msikilizaji, we can't have the same 'taste'.
Hivyo basi an artist hawezi kuwa bora kisa wewe unamuona ni bora, ila yule anayeonekana bora kwa wengi(majority) ndiyo whether tunamkubali au la inapaswa kukubali kuwa wengi wanamuona kuwa ndiyo bora.
Mfano kama wakati wa kupiga kura kuchagua kiongozi, wengine tunaweza kuona hana qualities lakini msemo wa wahenga wa 'wengi wape' ndiyo una-apply.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…