Wakazi: Niliwahi kulala kwenye gari miezi miwili baada ya kufukuzwa home

Unashangaa laki 9 ? Jamaa yetu alipewa million 15 akatimkia zake Mwanza kala bata zikaisha, akarudi kulia lia tena home akapewa nyumba na mtaji asepe, kuwa hawamuhitaji home
 

Ndio maana mnaambiwa watoto wenu wa kiume wapelekeni kayumba English Mediums wasome wa kike tu kwa sababu zina walemaza sana watoto wa kiume
 
Ndio maana mnaambiwa watoto wenu wa kiume wapelekeni kayumba English Mediums wasome wa kike tu kwa sababu zina walemaza sana watoto wa kiume
Acha UONGO wewe umekaririshwa vibaya na hizo story zenu za hapo kijiweni mnapokunywa kahawa na karanga mbichi
 
Mwenzako ame 'hustle' kwa 'kuteseka sana'.
Ka hustle wapi huyo walichofanya wazazi kataka kwenda America wakamwezesha.
Mradi wasimwone tu.
Kule kapona pona karudi analaumu tena wazazi!
Sasa wampe nini tena?
Hilo jitu zima wazee watakua wamechoka sana mda huu km wako hai.
We unarudi na matako tu eti baba yangu tajiri.
 
Watu tunaishi Kwa mshahara WA 150K, Kwa mwezi afu yeye ana gari na amepewa laki 9 for just two month
Afu analalamika
Duuh ni sawa Kwa level yake lakini
 
Sasa hapo ndo amefukuzwq?? Yaani unapewa gari na laki 9??[emoji1787][emoji1787],kichwa chake box kabisa,
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Na gari πŸ˜€
Huyo kabla hajaondoka kwenda Us uber hazikuwepo wala Bolt wala boda,wala bajaj.
Yani gari ile ye angekua anakaa tu kiti kirefu dereva analeta maokoto.
Kaenda huko analeta sinema eti nililala kwenye gari miezi 2 na laki tisa.
We jamaa bahati yako sikujua.
Ningekupa ambush moja na sisi tukale kuku kienyeji na wanangu.
Pumbavu sana
 
Duh pumbavu watu tumelala kwenye pipa miaka miwili huku unauza karanga ukitoa buku kula umeua mtaji kuoga mpaka mvua inyeshe unatembea na sabun kudadadadeki
 
Aiseee
Yaani unaondoka kwenu una gari na 900k miaka ya hiyo we si tajiri kabisa?

Watu wametoka mikoani waka tinga dar na hadi anasuka ubungo senti tano hana mfukoni na sahii wako mbali sanaaaa
 
Reactions: EEX
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…