Wakazi wa Dar es Salaam Amani ni muhimu kuliko Maji

Wakazi wa Dar es Salaam Amani ni muhimu kuliko Maji

Ukanda wa gaza
20251212_164857.jpg
 
Kama MAPATO makubwa hukusanywa hapo DSM je ni sahihi wao kukosa huduma ya maji.

Ni sawa na baba anunue Kuku Ila wakati wa kula wampakulie Miguu na shingo.

DSM Kama tungekuwa serious ilibidi iwe na kila kitu kizuri kwakuwa haiwezekani KODI itoke dar iende mikoa mingine na dar ibaki bila MAJI n.k
 
Itoshe kusema wewe ni mjinga kupitiliza!
sawa Nashukuru kwa maoni yako mkuu sikupingi kabisa ..
ila mimi nakumbusha kuwa watu wakidai haki na uwajibikaji serikalini mnawaita wanavunja amani ..lakini wao lengo lao ni kudai mifumo ya serikali kuanza kuwa accountable kwa wananchi .. hivi sasa dar es laam inapitia kadhaa ya ukosefu wa maji kipi serikali imefanya kuwasaidia wananchi wake ..hakuna anaye jali wala kuumia kadhia na dhoruba wanazo kutana nazo wananchi masikini.......Nauliza umesikia majibu alyokuja kutoa kiongozi wa DAWASA ..kipi amesema cha maana kuwasaidia wananchi wa Dar es laam ..take action na fikiaria kwa umakini utaelewa nacho maanisha mkuu..
wananchi wa Dar es laam kama wakiendelea kukosa akili na maarifa wataendelea kutumika sana kisiasa ..nakumbusha ukifika mda wa kampeni zinaanza promotion MAMA anawatua maji wananchi wa Dar es laam ..sasa hivi wanakutana na CHAMOTO
 
Kwa Sasa jiji La Dar es Laam Linakumbwa Na Kadhaa ya Maji Nawashauri Amani Ni mhimu Zaidi kuliko Maji..lindeni sana Amani Kuliko Maji..
Nawasilisha
Sawa tutakunywa amani..

Jana nime nyimwa mzigo kisa maji hakuna
 
Kwa Sasa jiji La Dar es Laam Linakumbwa Na Kadhaa ya Maji Nawashauri Amani Ni mhimu Zaidi kuliko Maji..lindeni sana Amani Kuliko Maji..
Nawasilisha
huu ni unafkiwewe mwenyewe haukutoka alafu unawanyooshea vidole wengine
 
Back
Top Bottom