stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,446
- 3,616
GEN Z anawaamsha wakazi wa DAR.Wewe hujamwelewa. Soma vizuri utamwelewa
GEN Z anawaamsha wakazi wa DAR.Wewe hujamwelewa. Soma vizuri utamwelewa
kitu kimoja tuuu serikali imeshindwa kushulikia matatizo ya wananchi..kwa kuhadaa suala la amani lakini uwajibikaji serikalini haupo kabisa ...GEN Z anawaamsha wakazi wa DAR.
Kuanzia tarehe 29 hadi tarehe 3 mwezi wa 11 huwezi amini hata lita 2 sikufikisha maji yalikuwa hayanyweki aiseeNdio , bila Amani hata maji hauyanywi
Sasa unaendaje kudai uwajibikaji kwa viongozi hali ya kuwa ww sio muwajibikaji ?sawa Nashukuru kwa maoni yako mkuu sikupingi kabisa ..
ila mimi nakumbusha kuwa watu wakidai haki na uwajibikaji serikalini mnawaita wanavunja amani ..lakini wao lengo lao ni kudai mifumo ya serikali kuanza kuwa accountable kwa wananchi .. hivi sasa dar es laam inapitia kadhaa ya ukosefu wa maji kipi serikali imefanya kuwasaidia wananchi wake ..hakuna anaye jali wala kuumia kadhia na dhoruba wanazo kutana nazo wananchi masikini.......Nauliza umesikia majibu alyokuja kutoa kiongozi wa DAWASA ..kipi amesema cha maana kuwasaidia wananchi wa Dar es laam ..take action na fikiaria kwa umakini utaelewa nacho maanisha mkuu..
wananchi wa Dar es laam kama wakiendelea kukosa akili na maarifa wataendelea kutumika sana kisiasa ..nakumbusha ukifika mda wa kampeni zinaanza promotion MAMA anawatua maji wananchi wa Dar es laam ..sasa hivi wanakutana na CHAMOTO
Wewe unalalamika hivyo na Mbeya watasemaje? Mkoa wa Mbeya una mapato makubwa mno, serikali inakusanya inaenda kujenga mikoa mingineKama MAPATO makubwa hukusanywa hapo DSM je ni sahihi wao kukosa huduma ya maji.
Ni sawa na baba anunue Kuku Ila wakati wa kula wampakulie Miguu na shingo.
DSM Kama tungekuwa serious ilibidi iwe na kila kitu kizuri kwakuwa haiwezekani KODI itoke dar iende mikoa mingine na dar ibaki bila MAJI n.k
sahihi MdauMjuba umeandika ki code, hutaeleweka
Wewe hujaelewa lugha ya picha? Mdau yupo sahihi, kwa sasa wananchi hawapaswi kulalamika kwa chochote, yaani hata nchi ikikumbwa na majanga, tunatakiwa kuhubiri amani, maana tukilalamika tutaambiwa tumelipwa na mabeberu kuharibu amaniItoshe kusema wewe ni mjinga kupitiliza!
Ndio!Kwa sasa, Jiji la Dar es Salaam linakumbwa na adha ya Maji, nawashauri Amani ni muhimu zaidi kuliko Maji, lindeni sana Amani kuliko Maji
Nawasilisha
Ukiniambia Mimi Nichague nini kati ya Amani na Maji. Nachagua AmaniKwa sasa, Jiji la Dar es Salaam linakumbwa na adha ya Maji, nawashauri Amani ni muhimu zaidi kuliko Maji, lindeni sana Amani kuliko Maji
Nawasilisha
Maji ni uhai.Ndio , bila Amani hata maji hauyanywi
Hata baharini yapoNdio , bila Amani hata maji hauyanywi
Ahadi za siku 100 za neema zimeshayayuka; uongozi umeanza na kutupa bughudha za kila aina.
Na hivi misaada imekata, mbele giza.