Wakazi wa Dar es Salaam Amani ni muhimu kuliko Maji

GEN Z anawaamsha wakazi wa DAR.
kitu kimoja tuuu serikali imeshindwa kushulikia matatizo ya wananchi..kwa kuhadaa suala la amani lakini uwajibikaji serikalini haupo kabisa ...
Tunakubali kuwa Amani ndio msingi wa taifa..ila uwajibikai wa serikali umepungua sana
ndio maana GENZ wameamua kuandamana kushinikiza mabadiliko ndani ya serikali
 
Sasa unaendaje kudai uwajibikaji kwa viongozi hali ya kuwa ww sio muwajibikaji ?
Kwenda kuharibu miundo mbinu ya kiraia na mali za watu ni uwajibikaji?
 
Wewe unalalamika hivyo na Mbeya watasemaje? Mkoa wa Mbeya una mapato makubwa mno, serikali inakusanya inaenda kujenga mikoa mingine
Bora hata Dar mnapata walau miradi ya maana hata kama haitoshi
 
Wasituzurie taharuki zisizo na maana....wafanya kazi
 
Oyaaa ilindeni amani kwa gharama yoyote maji hata hapo baharini yapo!

Bi chura anaupiga mwingi
Mitano tenaa eeh sory kumi tenaa

Ganja nakupenda sana!
 
Itoshe kusema wewe ni mjinga kupitiliza!
Wewe hujaelewa lugha ya picha? Mdau yupo sahihi, kwa sasa wananchi hawapaswi kulalamika kwa chochote, yaani hata nchi ikikumbwa na majanga, tunatakiwa kuhubiri amani, maana tukilalamika tutaambiwa tumelipwa na mabeberu kuharibu amani
 
Kwa sasa, Jiji la Dar es Salaam linakumbwa na adha ya Maji, nawashauri Amani ni muhimu zaidi kuliko Maji, lindeni sana Amani kuliko Maji

Nawasilisha
Ndio!
Huduma BORA ya usambazaji wa maji mjini na NCHI nzima ni kwa ajili ya WAHESHIMIWA TU!
Muulize Lucas mwashamba na wale wenzake!
Toka tuangalie kwenye runinga, insta, FB hata kuhadithiwa na wale wadhalimu na makuwadi wa Diaspora kwamba huduma za MAJI, ELIMU, MIUNDO MBINU, KUANDAMANA ETI NI HAKI YETU TUMEKUWA VICHWA NGUMU!
HATUJUWI TUNAVURUGA AMANI NA UTULIVU!
TUENDELEE KUWA MAZOMBIE NA WADANGANYIKA KAMA KAWAIDA!
TUNA WAZIMA KABISA!
 
Kwa sasa, Jiji la Dar es Salaam linakumbwa na adha ya Maji, nawashauri Amani ni muhimu zaidi kuliko Maji, lindeni sana Amani kuliko Maji

Nawasilisha
Ukiniambia Mimi Nichague nini kati ya Amani na Maji. Nachagua Amani
 
Uko sahihi maji ni haki yao so walinde amani kuliko maji🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…