Uchaguzi 2020 Wakazi wa Dar es Salaam kweli na nyie mtamnyima Magufuli kura?

Ni pesa za tetemeko au rambi rambi za wahanga wa tetemeko?
 
Wewe ndio unaendekeza akili mbovu. Kila siku kipindi hiki cha kampeni zinatajwa idadi ya shule zilizokarabatiwa ambazo zilishageuka magofu na ni nyingi.

Elewa hoja ya mtu kabla hujadandia treni kwa mbele.
Je kama tetemeko lisingetokea hizo shule zisingeboreshwa? Ufisadi mpaka kwenye hela za rambi rambi! CCM wanaweza kushinda tu kiharamu kama walivyozoea...wezi wakubwa!
 
Vyovyote iwavyo ila ukweli ni kuwa pesa zilikwenda kujenga miundo mbinu yenye kurahisisha maisha ya wahanga wa tetemeko.
Na pesa za wastaafu wanaokaa miaka ya kutosha hawajalipwa pesa zao sijui hua zinapelekwa wapi.

Na kiongozi mkuu anasema yeye ni kiongozi wa wanyonge sijui hua anamaanisha wanyonge wa dizaini gani?
 
Vyovyote iwavyo ila ukweli ni kuwa pesa zilikwenda kujenga miundo mbinu yenye kurahisisha maisha ya wahanga wa tetemeko.
Kwahiyo bila tetemeko Serikali isingeweza kujenga miundombinu bali kutumia rambi rambi ndiyo ikawa suluhu.Sasa kwanini ata rambi rambi za misiba zisiwe zinatozwa kodi au kupelekwa Serikali?
 
Jomba utakuwa na mtindio wa ubongo!
 
Kwahiyo bila tetemeko Serikali isingeweza kujenga miundombinu bali kutumia rambi rambi ndiyo ikawa suluhu.Sasa kwanini ata rambi rambi za misiba zisiwe zinatozwa kodi au kupelekwa Serikali?
Sio kweli kwamba serikali imesubiri tetemeko ili ijenge miundombinu.

Muulize Jaffo atakupa taarifa zote za mashule, zahanati na vituo vya afya vilivyojengwa ndani ya hii miaka mitano.
 
Na huyo kwao ni Mbinga sio Dar. Tarehe 28 wapiga kelele wengi wa humu ndani wataamka na pombe kichwani na ni vigumu kwao kupiga kura.

Wale unaowaona wamesimama juani wakati mgombea yupo kivulini ndio wapiga kura wenyewe.
Hakika wala hujakosea mkuu.
 
Msemaji wa jiji.
 
Acheni huu UPUMBAVU mnatutajia madaraja kwani watu wanakula madaraja?
 
Sio kweli kwamba serikali imesubiri tetemeko ili ijenge miundombinu.

Muulize Jaffo atakupa taarifa zote za mashule, zahanati na vituo vya afya vilivyojengwa ndani ya hii miaka mitano.
Ila pesa za rambi rambi kwa wahanga wa tetemeko zimetumika kujenga na kukarabati miundombinu....sasa unabadilisha maneno aaah...
 
Hao
Hawana tofauti na motivational speakers usihangaike nao hao watakupoteza tu.​
 
Ila pesa za rambi rambi kwa wahanga wa tetemeko zimetumika kujenga na kukarabati miundombinu....sasa unabadilisha maneno aaah...
Zilitumiwa kwa ajili ya wahanga wa tetemeko tatizo nchi yetu siku hizi inakubaliana na siasa za kipuuzi za kutunga uongo wa mitandaoni na watu wakaja kuuamini kama ndio ukweli.

Tuna aina ya media zenye watu wepesi sana.
 
Bukoba tunajitambua hatuwezi kumchagua huyo mjinga aliyemuuaa Akwilina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…