Uchaguzi 2020 Wakazi wa Dar es Salaam kweli na nyie mtamnyima Magufuli kura?

Haupo sawasawa wewe kwahiyo bila tetemeko shule hazikalabitiwi na meli hazitengenezwi.Basi nanyinyi DSM litokee tetemeko magorofa yapolomoke ndo mtatengenezewa mifeleji ili msimezwe na maji
 
Ungejua kuwa mpaka Leo 2020 watu wanaishi kwenye mahema husingepanua mdomo wako hapa.
 
Delete ccm Oct 28
 
Haupo sawasawa wewe kwahiyo bila tetemeko shule hazikalabitiwi na meli hazitengenezwi.Basi nanyinyi DSM litokee tetemeko magorofa yapolomoke ndo mtatengenezewa mifeleji ili msimezwe na maji
Wewe ndio haupo sawa sawa unayedandia treni kwa mbele.

Meli zilipangwa kujengwa kabla ya tetemeko. Shule iliharibiwa na tetemeko hivyo ilihitaji ukarabati mkubwa ambao umefanyika.

Kazi kubwa zinafanyika wenye kutazama na kuupima uhalisia wanaiona.

Wale jamaa wa pinga pinga wanaiona pia japo wanaikubali kimoyomoyo tu, hawawezi kuikubali kwa matamshi.
 
Dar nzima ni kijani,

Ushindi ni dhahiri.
 
Umesahau kuweka na mafuriko pia
 
Kodi zetu wenyewe halafu tuzishobokee?
Kodi zetu wenyewe ndo unaombea kura?
 
Wacha kugombanisha wanna Kaskazini na serekali we Nyoko. Kaskazini tuna kila huduma ambayo ni ndoto ya Usukumani, kwahiyo wanaopaswa kutokuichagua CCM ni Kanda ya ziwa na Kusini
 
Labda atapata kura za jawara zake Kama wewe.
 
Wacha kugombanisha wanna Kaskazini na serekali we Nyoko. Kaskazini tuna kila huduma ambayo ni ndoto ya Usukumani, kwahiyo wanaopaswa kutokuichagua CCM ni Kanda ya ziwa na Kusini
Mjinga mwingine ni huyu hapa, Nani kaongelea kaskazini?.
 
Kwahiyo umekubali kabisa kuwa mtandaoni Jiwe kaisha pigwa ko?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…