Mkuu unadhani wewe uko timamu?Kwa upande wangu siwez kua mnafiki bora nisipige kuliko kumnyima
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unadhani wewe uko timamu?Kwa upande wangu siwez kua mnafiki bora nisipige kuliko kumnyima
Alisikika mtu anasema wamchague yeye kaleta flyoverWana JF habari. Mi sio mwanasiasa Ila Uchaguzi tunaoshiriki ni wengi japokuwa wengine huwa hawapigi kura Ila maneno wanayo mengi kwenye vijiwe.
Kuelekea tarehe 28.10.2020 siku ya jambo la watu Fulani.
Bado najiuliza Kama wana Dar es Salaam nao watashindwa kumpa kura JPM..
Tunatambua wale jamaa wa Buhaya wao hawana masihara kabisa hapati kitu pale mheshimiwa .
Ila sasa kwa wana Dar es Salaam habari katika television zetu zilipambwa kwa kiasi kikubwa na maendeleo ya mkoa huo.
1. SGR(Railway)
2. Mbezi Stand
3. Ubungo FlyOver
4. Kinyerezi
5. The Port
6. Airport
Na mengine mengi ni heri wana Kaskazini wamnyime Ila sio wana Dar..
Ila ngoja tuone wana DSM wanalichukuliaje hili?
Je zilichangwa kwa sababu hiyo?Vyovyote iwavyo ila ukweli ni kuwa pesa zilikwenda kujenga miundo mbinu yenye kurahisisha maisha ya wahanga wa tetemeko.
Hatoboi kwako wewe na wenye maono kama yako.Je zilichangwa kwa sababu hiyo?
Jiwe hatoboi nakwambia
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
The NUMBER ONE priority is to get Meko fool out of office. HE HAS TO GO. We can't allow this man to continue to try and DIVIDE US. The people that have the most responsibility and should be SCARED TO DEATH of this man are wise people. WE ARE ON THE VERGE OF A NATIONALIST WAR.Rais ni John Pombe Joseph Magufuli. Huyu ni Mzalendo namba moja, mzaliwa wa Chato. Yule mwingine wakala wa beberu, mwenyeji wa Ubelgiji.
Hata SGR si yakeMiradi hiyo yote siyo yake isipokuwa SGR tu. Ni miradi ya JK. Hana chake Dar.
Sawa subili trh 28.Kuniita mzembe hakuniondolei machungu wala hakunikatazi kupaza sautiyangu nakuonyesha nimechukizwa nautawala huu namini tupowengi tulioumizwa lakini utasemea wapi angalau nitoehapa yamoyoni watutufarijiane sikukatishana tamaa wakati ninamaumivu makali
Mkuu uanweza and ikawa hata kifaransa ila JPM hamna uwezo wa kumtoa offisini. Jipangeni kwa mengine tu.The NUMBER ONE priority is to get Meko fool out of office. HE HAS TO GO. We can't allow this man to continue to try and DIVIDE US. The people that have the most responsibility and should be SCARED TO DEATH of this man are wise people. WE ARE ON THE VERGE OF A NATIONALIST WAR.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kura ni mali ya nani kama ni private owned property tuachie kila mtu aamue.... yaaani nicole kwangu mipango poleni halafu unishawishi nimpigie Kura nani Unaleta mambo ya mpiga debe abiriaWana JF habari. Mi sio mwanasiasa Ila Uchaguzi tunaoshiriki ni wengi japokuwa wengine huwa hawapigi kura Ila maneno wanayo mengi kwenye vijiwe.
Kuelekea tarehe 28.10.2020 siku ya jambo la watu Fulani.
Bado najiuliza Kama wana Dar es Salaam nao watashindwa kumpa kura JPM..
Tunatambua wale jamaa wa Buhaya wao hawana masihara kabisa hapati kitu pale mheshimiwa .
Ila sasa kwa wana Dar es Salaam habari katika television zetu zilipambwa kwa kiasi kikubwa na maendeleo ya mkoa huo.
1. SGR(Railway)
2. Mbezi Stand
3. Ubungo FlyOver
4. Kinyerezi
5. The Port
6. Airport
Na mengine mengi ni heri wana Kaskazini wamnyime Ila sio wana Dar..
Ila ngoja tuone wana DSM wanalichukuliaje hili?
Abiria mwenye akili akiwa na haraka zake, aweza piga debe ili gari lijae haraka awahi shughuli zake.Kura ni mali ya nani kama ni private owned property tuachie kila mtu aamue.... yaaani nicole kwangu mipango poleni halafu unishawishi nimpigie Kura nani Unaleta mambo ya mpiga debe abiria
Ungeona barabara za jimbo la ukonga, ungeshawishi hasipewe hata kura mojaWana JF habari. Mi sio mwanasiasa Ila Uchaguzi tunaoshiriki ni wengi japokuwa wengine huwa hawapigi kura Ila maneno wanayo mengi kwenye vijiwe.
Kuelekea tarehe 28.10.2020 siku ya jambo la watu Fulani.
Bado najiuliza Kama wana Dar es Salaam nao watashindwa kumpa kura JPM..
Tunatambua wale jamaa wa Buhaya wao hawana masihara kabisa hapati kitu pale mheshimiwa .
Ila sasa kwa wana Dar es Salaam habari katika television zetu zilipambwa kwa kiasi kikubwa na maendeleo ya mkoa huo.
1. SGR(Railway)
2. Mbezi Stand
3. Ubungo FlyOver
4. Kinyerezi
5. The Port
6. Airport
Na mengine mengi ni heri wana Kaskazini wamnyime Ila sio wana Dar..
Ila ngoja tuone wana DSM wanalichukuliaje hili?
Huwezi ukajipa utulivu wa akili halafu ukaandika kitu kinachoeleweka kwa amani ?Mkuu uanweza and ikawa hata kifaransa ila JPM hamna uwezo wa kumtoa offisini. Jipangeni kwa mengine tu.
Wana JF habari. Mi sio mwanasiasa Ila Uchaguzi tunaoshiriki ni wengi japokuwa wengine huwa hawapigi kura Ila maneno wanayo mengi kwenye vijiwe.
Kuelekea tarehe 28.10.2020 siku ya jambo la watu Fulani.
Bado najiuliza Kama wana Dar es Salaam nao watashindwa kumpa kura JPM..
Tunatambua wale jamaa wa Buhaya wao hawana masihara kabisa hapati kitu pale mheshimiwa .
Ila sasa kwa wana Dar es Salaam habari katika television zetu zilipambwa kwa kiasi kikubwa na maendeleo ya mkoa huo.
1. SGR(Railway)
2. Mbezi Stand
3. Ubungo FlyOver
4. Kinyerezi
5. The Port
6. Airport
Na mengine mengi ni heri wana Kaskazini wamnyime Ila sio wana Dar..
Ila ngoja tuone wana DSM wanalichukuliaje hili?
Alikosea kupandisha bei ya sukariWana JF habari. Mi sio mwanasiasa Ila Uchaguzi tunaoshiriki ni wengi japokuwa wengine huwa hawapigi kura Ila maneno wanayo mengi kwenye vijiwe.
Kuelekea tarehe 28.10.2020 siku ya jambo la watu Fulani.
Bado najiuliza Kama wana Dar es Salaam nao watashindwa kumpa kura JPM..
Tunatambua wale jamaa wa Buhaya wao hawana masihara kabisa hapati kitu pale mheshimiwa .
Ila sasa kwa wana Dar es Salaam habari katika television zetu zilipambwa kwa kiasi kikubwa na maendeleo ya mkoa huo.
1. SGR(Railway)
2. Mbezi Stand
3. Ubungo FlyOver
4. Kinyerezi
5. The Port
6. Airport
Na mengine mengi ni heri wana Kaskazini wamnyime Ila sio wana Dar..
Ila ngoja tuone wana DSM wanalichukuliaje hili?
Tunataka watuonyeshe mfano wa kujiajiriWagombea wa CCM huwa wanatuambia Tuache Kutegemea Kuajiriwa Na Serikali, Tujitegemee Na Tujiajiri Wenyewe!! Wakati Wao Wanatuomba Kura Ili Tuwape Ajira Waajiriwe Na wananchi.
TUSAIDIANE MAWAZO HAPA VIJANA WENZANGU, HAWA WATU ZIMO KWELI VICHWANI MWAO ?
Hivi nyie watu ujinga utawaisha lini? hiyo miundombinu pesa alizotoa zake mfukoni? si kodi ya wananchi waote wa Tanzania? haya mambo yalitakiwa yafanywe na serikali ya CCM toka mwaka 1961Tanzania haijawahi kuongozwa na CHAUMAWana JF habari. Mi sio mwanasiasa Ila Uchaguzi tunaoshiriki ni wengi japokuwa wengine huwa hawapigi kura Ila maneno wanayo mengi kwenye vijiwe.