Uchaguzi 2020 Wakazi wa Dar es Salaam kweli na nyie mtamnyima Magufuli kura?

Uchaguzi 2020 Wakazi wa Dar es Salaam kweli na nyie mtamnyima Magufuli kura?

Hakuna watu washamba nchi hii kama wakazi wa dar es salaam. HUwa wanajifanya wajuaji lakini ki uhalisia ni washamba kiwango kikubwa sana.
Unafiki wa kiwango cha Lami.
 
Hongera sana Mama D kwa kufikisha mwaka mwingine
Tarehe 29 muda kama huu nitakua namalizia kuandaa tafrija ndogo ya kusherekea siku kuzaliwa mimi na my President huku tukiendelea kupokea matokeo ya ushindi toka sehemu tofauti za nchi
 
Lisu kasema dar es salaam barabara zinajengwa kupitia baharini badala ya kujengwa huko vijijini hapohapo anaponda ujenzi wa uwanja wa ndege chato.That is full contradiction.

Maendeleo ya vitu ndo yanaleta maendeleo ya watu,wewe kama huhitaji kitu kunawatu wanakihitaji

Magufuli yupo sawa
Uwanja wa ndege ni barabara ?
 
Wana JF habari. Mi sio mwanasiasa Ila Uchaguzi tunaoshiriki ni wengi japokuwa wengine huwa hawapigi kura Ila maneno wanayo mengi kwenye vijiwe.

Kuelekea tarehe 28.10.2020 siku ya jambo la watu Fulani.
Bado najiuliza Kama wana Dar es Salaam nao watashindwa kumpa kura JPM..

Tunatambua wale jamaa wa Buhaya wao hawana masihara kabisa hapati kitu pale mheshimiwa .

Ila sasa kwa wana Dar es Salaam habari katika television zetu zilipambwa kwa kiasi kikubwa na maendeleo ya mkoa huo.

1. SGR(Railway)
2. Mbezi Stand
3. Ubungo FlyOver
4. Kinyerezi
5. The Port
6. Airport

Na mengine mengi ni heri wana Kaskazini wamnyime Ila sio wana Dar..

Ila ngoja tuone wana DSM wanalichukuliaje hili?
Makaburu wamefanya maendeleo makubwa South Africa lakini unajuwa ni kwa nini kwenye sanduku la kura wanakataliwa?
 
Hata Buhaya watampa kura nyingi tu. Pesa za tetemeko zimeboresha shule ya sekondari imekuwa ya kisasa na kuna meli zipo ziwa Victoria zinafanya kazi nzuri.

Watu wa Dar hatuna sababu ya msingi ya kumkataa Magufuli, tuna sababu ya kuwakataa wabunge wanaokwenda bungeni kuvaa vitambaa midomoni na kutoka nje ya ukumbi wakiwa wameshachukua posho ya siku.
Pamoja na kupitisha sheria kandamizi ( Fao la kujitoa )
 
Zilitumiwa kwa ajili ya wahanga wa tetemeko tatizo nchi yetu siku hizi inakubaliana na siasa za kipuuzi za kutunga uongo wa mitandaoni na watu wakaja kuuamini kama ndio ukweli.

Tuna aina ya media zenye watu wepesi sana.
Acha uongo, unadhani wewe ndiyo unapajua Rwamishenye,Itahwa,Hamugembe,Kahororo,Migera,Kashai,Busimbe peke yako.Leka ebishuba
 
Back
Top Bottom