Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya Mama D utanitag28102020 tukutane hapa
Mgombea hajulikani aliko. TL Yuko Kijiji cha majengo kata ya majengo ,wilaya ya Chato ,kesho asubuhi. Hapa Chato tuko mubadhara kumsubiri Rais.Ivi mkutano wa kinyerezi upo. Kweli au
Mgombea wa ccm angefanya tathmini apande jukwaani bila wasanii ili kujua Kama anakubalika28102020 tukutane hapa
Wewe ni nani wa kutuamulia wanaDar?Miradi hiyo yote siyo yake isipokuwa SGR tu. Ni miradi ya JK. Hana chake Dar.
Dar inataka haki, uhuru na maendeleo pia.
Tarehe 29 muda kama huu nitakua namalizia kuandaa tafrija ndogo ya kusherekea siku kuzaliwa mimi na my President huku tukiendelea kupokea matokeo ya ushindi toka sehemu tofauti za nchi
Uwanja wa ndege ni barabara ?Lisu kasema dar es salaam barabara zinajengwa kupitia baharini badala ya kujengwa huko vijijini hapohapo anaponda ujenzi wa uwanja wa ndege chato.That is full contradiction.
Maendeleo ya vitu ndo yanaleta maendeleo ya watu,wewe kama huhitaji kitu kunawatu wanakihitaji
Magufuli yupo sawa
Makaburu wamefanya maendeleo makubwa South Africa lakini unajuwa ni kwa nini kwenye sanduku la kura wanakataliwa?Wana JF habari. Mi sio mwanasiasa Ila Uchaguzi tunaoshiriki ni wengi japokuwa wengine huwa hawapigi kura Ila maneno wanayo mengi kwenye vijiwe.
Kuelekea tarehe 28.10.2020 siku ya jambo la watu Fulani.
Bado najiuliza Kama wana Dar es Salaam nao watashindwa kumpa kura JPM..
Tunatambua wale jamaa wa Buhaya wao hawana masihara kabisa hapati kitu pale mheshimiwa .
Ila sasa kwa wana Dar es Salaam habari katika television zetu zilipambwa kwa kiasi kikubwa na maendeleo ya mkoa huo.
1. SGR(Railway)
2. Mbezi Stand
3. Ubungo FlyOver
4. Kinyerezi
5. The Port
6. Airport
Na mengine mengi ni heri wana Kaskazini wamnyime Ila sio wana Dar..
Ila ngoja tuone wana DSM wanalichukuliaje hili?
Pamoja na kupitisha sheria kandamizi ( Fao la kujitoa )Hata Buhaya watampa kura nyingi tu. Pesa za tetemeko zimeboresha shule ya sekondari imekuwa ya kisasa na kuna meli zipo ziwa Victoria zinafanya kazi nzuri.
Watu wa Dar hatuna sababu ya msingi ya kumkataa Magufuli, tuna sababu ya kuwakataa wabunge wanaokwenda bungeni kuvaa vitambaa midomoni na kutoka nje ya ukumbi wakiwa wameshachukua posho ya siku.
Unalinganishaje uwanja wa K/ndege na barabaraBe logical
Mbona wabunge watakuwa wawili?Sisi wananchi wa Jimbo la uchaguzi KAWE, kata ya Msasani ambayo in mitaa ya Masaki, Oyster Bay, Makangira, Bonde la Mpunga na Mikoroshoni, kura zetu tutampa Tundu Lissu kwa kiti Cha Uraisi, huyu ni CHADEMA. Ubunge tutampa Halima Mdee a.k.a Mama Lao, Mama la chuma cha pua kutoka CHADEMA. Na ubunge tutampa Luca Neghesti, mume wa Nancy Sumari, wa CCM.
Kwani oyee maana yake nini? Mimi nadhani ni sifa au pambio zuri. Kwangu oyee ya kwanza ni kwa Mwenyezi Mungu maana ndio aliyeumba binadamu tunaowaimbia hizo nyimbo za oyee.Uzalendo ni ku quote “Mungu Oyee”.
Wewe ni nani wa kutuamulia wanaDar?
Acha uongo, unadhani wewe ndiyo unapajua Rwamishenye,Itahwa,Hamugembe,Kahororo,Migera,Kashai,Busimbe peke yako.Leka ebishubaZilitumiwa kwa ajili ya wahanga wa tetemeko tatizo nchi yetu siku hizi inakubaliana na siasa za kipuuzi za kutunga uongo wa mitandaoni na watu wakaja kuuamini kama ndio ukweli.
Tuna aina ya media zenye watu wepesi sana.
Binadamu huwa hana shukrani, cha muhimu ni kumuelewa vizuri. Na maisha huendelea kama kawaida.Acha uongo, unadhani wewe ndiyo unapajua Rwamishenye,Itahwa,Hamugembe,Kahororo,Migera,Kashai,Busimbe peke yako.Leka ebishuba