Uchaguzi 2020 Wakazi wa Dar es Salaam kweli na nyie mtamnyima Magufuli kura?

Alisikika mtu anasema wamchague yeye kaleta flyover
 
Tunachagua Rais wa Tanzania nzima mpaka Kule Pemba ,Mafia na Ukerewe.

Hatuchagui Mkuu wa Mkoa wa Dsm. Wala hatuchagui waziri wa Ujenzi.

Miundo Mbinu na ujenzi wa Taifa ni mipango Endelevu. Ndio maana kuna Waziri wa ujenzi na miundo Mbinu tangu Ukoloni.
Ndio maana kuna najeti inayopelekwa Bungeni kwa ajili ya kujenga miundo mbinu.
Hakuna Rais anayeweza kuja akafuta wizara na bajeti ya miundo mbinu .
Kwa hiyo suala la kujenga barabara ni suala mtambuka sio suala la mtu mmoja kutumia mshahara wake kujenga barabara . Tena yeye halipi hata kodi kwenye mshahara wake.
 
Rais ni John Pombe Joseph Magufuli. Huyu ni Mzalendo namba moja, mzaliwa wa Chato. Yule mwingine wakala wa beberu, mwenyeji wa Ubelgiji.
The NUMBER ONE priority is to get Meko fool out of office. HE HAS TO GO. We can't allow this man to continue to try and DIVIDE US. The people that have the most responsibility and should be SCARED TO DEATH of this man are wise people. WE ARE ON THE VERGE OF A NATIONALIST WAR.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa subili trh 28.
 
Mkuu uanweza and ikawa hata kifaransa ila JPM hamna uwezo wa kumtoa offisini. Jipangeni kwa mengine tu.
 
Dar ni mji ambao hata kama una roho mbaya kama ya shetani utaujenga tu "upende usipende!"

Daraja la Kigamboni, flyover, terminal three na Salendar hatukuwahi kuyaomba bali walileta wao.

Na wala si kigezo cha sisi kuwachagua! Tunaangalia uhuru na haki maana bila hivyo ugaidi utakuja na tutakufa zaidi tulio Dar!

Lissu2020
 
Kura ni mali ya nani kama ni private owned property tuachie kila mtu aamue.... yaaani nicole kwangu mipango poleni halafu unishawishi nimpigie Kura nani Unaleta mambo ya mpiga debe abiria
 
Kura ni mali ya nani kama ni private owned property tuachie kila mtu aamue.... yaaani nicole kwangu mipango poleni halafu unishawishi nimpigie Kura nani Unaleta mambo ya mpiga debe abiria
Abiria mwenye akili akiwa na haraka zake, aweza piga debe ili gari lijae haraka awahi shughuli zake.
 
Ungeona barabara za jimbo la ukonga, ungeshawishi hasipewe hata kura moja
 

Je sisi tulioko huku Likuyufusi ambako hivyo vyote ulivyovitaja havipo tumpigie nani?
 
Alikosea kupandisha bei ya sukari
 
Tunataka watuonyeshe mfano wa kujiajiri
 
Hivi nyie watu ujinga utawaisha lini? hiyo miundombinu pesa alizotoa zake mfukoni? si kodi ya wananchi waote wa Tanzania? haya mambo yalitakiwa yafanywe na serikali ya CCM toka mwaka 1961Tanzania haijawahi kuongozwa na CHAUMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…