Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Zimekuwapo tabia mbovu mbovu za wakaazi wa Dar kuwaita wakaazi wa sehemu tofauti na Dar eti wanatoka Mikoani.
Arusha huwezi kuifananisha na Mikoa kama Njombe,Pwani,Mtwara au Songea.
Arusha ni Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Arusha ni center ya Utalii Tanzania.
Arusha ulikuwa Mji wa Mikutano ya Kimataifa.
Ahsante Makonda kuwafahamisha wana Mzizima, wapunguze kiherehere na kimwehumwehu.