Jamesdominic
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 549
- 732
Njaa ipi tena? Dar ipi inayo lisha tz?.Dar ikianguka tanzania yote mtakufa na njaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa ipi tena? Dar ipi inayo lisha tz?.Dar ikianguka tanzania yote mtakufa na njaa
Nakupinga.Arusha ni mkoani kama ilivyo Songwe na Katavi.
Hata ninyi mnapotaja sehemu nyingine huwa mnapaita mikoani, lakini Dar mnapaita Dar kama palivyo.
Kwanza serikali inapata kipato kikubwa kutoka dar na pili viwanda vya bakhresa vilivyoko huku vikiungua hamtakula maandazi wala chapatiNjaa ipi tena? Dar ipi inayo lisha tz?.
Kwa kipi haswa? Hizo dagaa mchele au?Dar ikianguka tanzania yote mtakufa na njaa
Shida siyo kulima shida ni hayo mazao yanaprocessiwa wapiKwa kipi haswa? Hizo dagaa mchele au?
Mnajua kulima nyie mazao ya chakula na biashara?
Wanajisahaulisha sana hao waliotoka mikoa ya mbali wakazamia Dar.Hivi dar siyo mkoa?
Kwahiyo Moro/ Mbeya hamna mashine za kuprocess mpunga uwe mchele?Shida siyo kulima shida ni hayo mazao yanaprocessiwa wapi
Tz kuna mikoa mingapi?Arusha ni mkoani kama ilivyo Songwe na Katavi.
Hata ninyi mnapotaja sehemu nyingine huwa mnapaita mikoani, lakini Dar mnapaita Dar kama palivyo.
Shida mashine nyingi zipo dar piga hesabu viwanda vya bakhresa,mo na pia mashine za kuprocess tumbaku na mazao mengineKwahiyo Moro/ Mbeya hamna mashine za kuprocess mpunga uwe mchele?
Acha UONGO ukisema UPO mkoani anajua UPO hapo HAPO Arusha, kwa hio usitupange HII tumishtukiaNakupinga.
Dec nilienda Dar
Mtu wa Arusha ananiuliza upo wapi, nikamwambia nipo mkoani one time. Means sipo Arusha
Tofauti ya Dar na Arusha ni Bahari upande mmoja, Upande mwingine ni National park.Zimekuwapo tabia mbovu mbovu za wakaazi wa Dar kuwaita wakaazi wa sehemu tofauti na Dar eti wanatoka Mikoani.
Arusha huwezi kuifananisha na Mikoa kama Njombe,Pwani,Mtwara au Songea.
Arusha ni Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Arusha ni center ya Utalii Tanzania.
Arusha ulikuwa Mji wa Mikutano ya Kimataifa.
Ahsante Makonda kuwafahamisha wana Mzizima, wapunguze kiherehere na kimwehumwehu.
Ni Mkoa,ila Raia wa hapa wanajifanya kujiwekea kau special ambao hawanaHivi dar siyo mkoa?
Mlima Kilimanjaro upo Mkoa UPI MOSHI au Arusha?Tofauti ya Dar na Arusha ni Bahati upande mmoja, Upande mwingine ni National park.
Ukitoka Katavi kuja Dar unasema naenda Dar hausemi naenda Mkoani, Ila ukitoka Dar kwenda Katavi lazima useme naenda Mkoani KataviNi Mkoa,ila Raia wa hapa wanajifanya kujiwekea kau special ambao hawana
Ni mkoa kama mikoa mingine Tz hakuna Tofauti
Argue with ur keyboard.Acha UONGO ukisema UPO mkoani anajua UPO hapo HAPO Arusha, kwa hio usitupange HII tumishtukia
AsanteNI mkoa
Dar ni mojawapo ya mikoa iliyopo TanzaniaUkitaka Katavi kuja Dar unasema naenda Dar hausemi naenda Mkoani, Ila ukitoka Dar kwenda Katavi lazima useme naenda Mkoani Katavi
Hamna mkoa unaitwa Moshi we naeMlima Kilimanjaro upo Mkoa UPI MOSHI au Arusha?
Hivi kwann vijana kutoka mikoa mingine huja dar kutafuta ajiraArgue with ur keyboard.
Dar is not everything for everyone.. pole wa kuja 😝