Wakazi wa Dar na vitongoji vyake, Arusha si mkoani ni Makao Makuu ya EAC

Wakazi wa Dar na vitongoji vyake, Arusha si mkoani ni Makao Makuu ya EAC

Mimi sijaongelea usafi na mpangilio wa mji bali nimezungumzia ladha ya mji na mihangaiko yake yautafutaji hela.
Dar maeneo masafi yapo na maeneo yaliyopangika yapo pia.
Huwenda jamaa kaishi Tandale na Manzese au Mabibo.
Akakae Kijichi,Kigamboni,Ununio,Mbweni n.k n.k
 
Dar maeneo masafi yapo na maeneo yaliyopangika yapo pia.
Huwenda jamaa kaishi Tandale na Manzese au Mabibo.
Akakae Kijichi,Kigamboni,Ununio,Mbweni n.k n.k
Sasa uchafu wa tandale pekeake ukiukusanya unajaa kijiji chote cha njombe🖕.
 
Sasa uchafu wa tandale pekeake ukiukusanya unajaa kijiji chote cha njombe🖕.
Ni mji bro.
Population ya Dar sasa hivi ni watu milion 7.Unadhani kutakuaje suala la usafi!?
Duniani kote miji ya kibiashara ndio huongoza kwa uchafu,kafuatilie mkuu.
 
Arusha pia ni mji so sishangai kuingiza pato kubwa kuliko katavi ambao si mji bali ni mkoa tu
Katavi pia kuna mji WA Mpanda sema ni maskini hamna kitu. hoja yangu kwa nini Katavi inahadhi WA mkoa? gharama Katavi kwa nini Arusha walipie?
 
Watu wote wa mikoani including Arusha ndoto zao ni kuja Dar na Pwani.

Nilishawai kuishi himo vijana kuanzia asubuhi mpaka jioni ndoto zao ni kuja Dar.

Unaweza kuta hata muandika uzi yupo Dar manzese anauza mitumba yake safi kabisa.

Pale Shekilango karibu na lile soko chafu chafu pana nuka sijui kuna shida gani na usafi watu wa Mkoa wa Dar.
 
Pale Shekilango karibu na lile soko chafu chafu pana nuka sijui kuna shida gani na usafi watu wa Mkoa wa Dar.
We ulifuata nini shekilango au ulienda kuuza ndizi?

We ungebaki mkoani kwenu Arusha.
 
Wilaya zipo tano tu...
Madaba ni mji mdogo....
Ni Isawa unaposkia halmashauri ya Ifakara,,Ifakara siyo Wilaya ila ni mji mdogo...

Hadhi za Halmashauri ni
1.Mji mdogo
2.Wilaya
3.Mji
4.Manispaa
5.Jiji
Kwa HIO Madaba IPO au HAIPO?

NB: HIZO herufi kubwa ni Sauti KUBWA
 
Back
Top Bottom