Kama unajua maana ya uchumi na maana ya mapato basi DAR ES SALAAM ndio inaendesha hii nchi.
Mkilima hizo ndizi zenu soko kuu lipo wapi kama sio Dar es salaam!?
Biashara kuu na kubwa zipo wapi kama sio Dar es salaam?
Ni lipi jiji la kibiashara Tanzania kama sio Dar es salaam?
Mkiagiza mizigo kwa meli magari na vinginevyo hupitia wapi kama sio bandari kuu ya Dar es salaam?
Takriban 55+% ya ANNUAL GDP inazalishwa Dar es salaam.
Sasa limeni halafu bakini na mazao yenu muone soko kuu liko wapi.
Kajiulize kwanini New York city ni mji muhimu USA.
Au kwanini Shanghai ni mji muhimu China.
Au kajifunze maana ya financial hub.