Mzee Palangyo hapo arumeru hajambo?Zimekuwapo tabia mbovu mbovu za wakaazi wa Dar kuwaita wakaazi wa sehemu tofauti na Dar eti wanatoka Mikoani.
Arusha huwezi kuifananisha na Mikoa kama Njombe,Pwani,Mtwara au Songea.
Arusha ni Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Arusha ni center ya Utalii Tanzania.
Arusha ulikuwa Mji wa Mikutano ya Kimataifa.
Ahsante Makonda kuwafahamisha wana Mzizima, wapunguze kiherehere na kimwehumwehu.
Sasa hata Dar ni mkoani sababu siyo makao makuu ya serikaliZimekuwapo tabia mbovu mbovu za wakaazi wa Dar kuwaita wakaazi wa sehemu tofauti na Dar eti wanatoka Mikoani.
Arusha huwezi kuifananisha na Mikoa kama Njombe,Pwani,Mtwara au Songea.
Arusha ni Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Arusha ni center ya Utalii Tanzania.
Arusha ulikuwa Mji wa Mikutano ya Kimataifa.
Ahsante Makonda kuwafahamisha wana Mzizima, wapunguze kiherehere na kimwehumwehu.
Ukute unakaa Longido weweZimekuwapo tabia mbovu mbovu za wakaazi wa Dar kuwaita wakaazi wa sehemu tofauti na Dar eti wanatoka Mikoani.
Arusha huwezi kuifananisha na Mikoa kama Njombe,Pwani,Mtwara au Songea.
Arusha ni Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Arusha ni center ya Utalii Tanzania.
Arusha ulikuwa Mji wa Mikutano ya Kimataifa.
Ahsante Makonda kuwafahamisha wana Mzizima, wapunguze kiherehere na kimwehumwehu.
Hayo makao makuu hayapafanyi pasiwe mkoani, Chief.Wewe kuwa na heshima na Makao Makuu ya Afrika Mashariki.
Rais kafikaje hapa?Hakuna mkoa wa Songea, kuna mkoa wa Ruvuma.
Mwenuezi Mungu ibariki Tanzania
Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kutoka Geneva of Africa hadi the the home of waduduZimekuwapo tabia mbovu mbovu za wakaazi wa Dar kuwaita wakaazi wa sehemu tofauti na Dar eti wanatoka Mikoani.
Arusha huwezi kuifananisha na Mikoa kama Njombe,Pwani,Mtwara au Songea.
Arusha ni Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Arusha ni center ya Utalii Tanzania.
Arusha ulikuwa Mji wa Mikutano ya Kimataifa.
Ahsante Makonda kuwafahamisha wana Mzizima, wapunguze kiherehere na kimwehumwehu.
Wengi wanajua Songea ni Mkoa na Ruvuma ni Wilaya sababu Songea ni MAARUFU zaidi kuliko Ruvuma,Hakuna mkoa wa Songea, kuna mkoa wa Ruvuma.
EAC ni jina tu. Hiyo jumuiya haipo.Wewe kuwa na heshima na Makao Makuu ya Afrika Mashariki.
Hivi ni Wadudu au Wadudi? Au the Mafik wameichepusha badala ya kuida Wadudu wakaiita Wadudi?Kutoka Geneva of Africa hadi the the home of wadudu
Kwingine kote ni Mikoani, husikii mtu Arusha anakwambia naenda Mkoani akiwa anakuja Dar lazima anasema naenda Dar Ila mtu akitoka Dar kwenda Arusha/Moshi anasema naenda Mkoa ukimuuliza Mkoa gani ndio anakwambia Arusha/MOSHIDar ikianguka tanzania yote mtakufa na njaa
MKuu dar lazima ipewe heshima yake kwa kuwa viwanda vingi vipo huku,hata harakati za uhuru na kupandisha bendera yetu ilifanyika dar bila kusahau makumbusho ya taifa na hospitali ya taifa(muhimbili) na pia nyerere airport na udsmKwingine kote ni Mikoani, husikii mtu Arusha anakwambia naenda Mkoani akiwa anakuja Dar lazima anasema naenda Dar Ila mtu akitoka Dar kwenda Arusha/Moshi anasema naenda Mkoa ukimuuliza Mkoa gani ndio anakwambia Arusha/MOSHI
NI mkoaHivi dar siyo mkoa?