Wakazi wa Dar na vitongoji vyake, Arusha si mkoani ni Makao Makuu ya EAC

Arusha ni mkoani kama ilivyo Songwe na Katavi.
Hata ninyi mnapotaja sehemu nyingine huwa mnapaita mikoani, lakini Dar mnapaita Dar kama palivyo.
Nakupinga.
Dec nilienda Dar
Mtu wa Arusha ananiuliza upo wapi, nikamwambia nipo mkoani one time. Means sipo Arusha
 
Hivi dar siyo mkoa?
Wanajisahaulisha sana hao waliotoka mikoa ya mbali wakazamia Dar.
Mostly ndiyo wana kelele…. Na hapo cheti chake cha kuzaliwa kinasoma Shinyanga.
 
Kwahiyo Moro/ Mbeya hamna mashine za kuprocess mpunga uwe mchele?
Shida mashine nyingi zipo dar piga hesabu viwanda vya bakhresa,mo na pia mashine za kuprocess tumbaku na mazao mengine
 
Tofauti ya Dar na Arusha ni Bahari upande mmoja, Upande mwingine ni National park.
 
Ni Mkoa,ila Raia wa hapa wanajifanya kujiwekea kau special ambao hawana

Ni mkoa kama mikoa mingine Tz hakuna Tofauti
Ukitoka Katavi kuja Dar unasema naenda Dar hausemi naenda Mkoani, Ila ukitoka Dar kwenda Katavi lazima useme naenda Mkoani Katavi
 
Acha UONGO ukisema UPO mkoani anajua UPO hapo HAPO Arusha, kwa hio usitupange HII tumishtukia
Argue with ur keyboard.
Dar is not everything for everyone.. pole wa kuja 😝
 
Ukitaka Katavi kuja Dar unasema naenda Dar hausemi naenda Mkoani, Ila ukitoka Dar kwenda Katavi lazima useme naenda Mkoani Katavi
Dar ni mojawapo ya mikoa iliyopo Tanzania
Hakuna tofauti na Morogoro,pwani,Mwanza na kwingineko
Tofauti ni geografia tu ya maeneo,kila mkoa una uzuri wake wa kijeografia haufanani na mwingine

Wenye Mabus stend zote nchini wameandika kutoka mkoa wa Dar to mkoa wa Mwanza,Ar to Dar,Mbeya to Dodoma,Mkoa wa Katavi to mkoa wa Dar

Iulize serikali mikoa iliyopo Tz ni mingapi uone kama Dar itawekwa pembeni πŸ˜ƒ

Raia msijitoe akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…