MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,679
- 1,612
😅😅😅😅😅Pwani na Dar sio mikoani.
Ni Pwani na Dar tu kama zilivyo.
Halafu kwanini watu wengi wa mikoani (Arusha,Mbeya,Kilimanjaro...)wakija pwani Bagamoyo au Kibaha wanapenda kusema tupo Dar?
Arusha pia ni mji so sishangai kuingiza pato kubwa kuliko katavi ambao si mji bali ni mkoa tuMkoa WA katavi mwaka uliopita TRA walikusanya bilioni 14 wakati Arusha walikusanya 540! hii mikoa sio Sawa mikoa zingine ni masking Tu hawachangii pato la taifa! Sidhani kama Lindi na Katavi inahadhi kuwa mikoa nakuwa na wakuu wamikoa
Toka lini FINANCIAL CAPITAL ikawa mkoani!??Sasa hata Dar ni mkoani sababu siyo makao makuu ya serikali
Kama unajua maana ya uchumi na maana ya mapato basi DAR ES SALAAM ndio inaendesha hii nchi.Kwa kipi haswa? Hizo dagaa mchele au?
Mnajua kulima nyie mazao ya chakula na biashara?
We usitutishe wengine tunategemea miji kama lusaka(zambia) Kinshasa's,lubumbashi kwaajili ya masoko dsm pananuka magurio ya k'koo.🐸👈.Kama unajua maana ya uchumi na maana ya mapato basi DAR ES SALAAM ndio inaendesha hii nchi.
Mkilima hizo ndizi zenu soko kuu lipo wapi kama sio Dar es salaam!?
Biashara kuu na kubwa zipo wapi kama sio Dar es salaam?
Ni lipi jiji la kibiashara Tanzania kama sio Dar es salaam?
Mkiagiza mizigo kwa meli magari na vinginevyo hupitia wapi kama sio bandari kuu ya Dar es salaam?
Takriban 55+% ya ANNUAL GDP inazalishwa Dar es salaam.
Sasa limeni halafu bakini na mazao yenu muone soko kuu liko wapi.
Kajiulize kwanini New York city ni mji muhimu USA.
Au kwanini Shanghai ni mji muhimu China.
Au kajifunze maana ya financial hub.
Yategemea biashara ufanyayo.We usitutishe wengine tunategemea miji kama lusaka(zambia) Kinshasa's,lubumbashi kwaajili ya masoko dsm pananuka magurio ya k'koo.🐸👈.
🐸👈 we chura, siwezi fanya biashara kwenye maguruo ya 'K' nikachaa kufanya lubumbashi ambako ni kalibu kuliko ata uko kwenye magurio ya "K'koo.Yategemea biashara ufanyayo.
Soko lina uwanda mpana,litafakari tena neno soko.
Ila ukitaka biashara yako inawiri tafuta soko Dar japo nalo la ushindani.
Hivi huko lubumbashi kuna nn cha zaidi cha kuipita Dar🐸👈 we chura, siwezi fanya biashara kwenye maguruo ya 'K' nikachaa kufanya lubumbashi ambako ni kalibu kuliko ata uko kwenye magurio ya "K'koo.
Hivi huko lubumbashi kuna nn cha zaidi cha kuipita Dar
Sawa bro labda kama interests zako zipo huko.🐸👈 we chura, siwezi fanya biashara kwenye maguruo ya 'K' nikachaa kufanya lubumbashi ambako ni kalibu kuliko ata uko kwenye magurio ya "K'koo.
Gharama za bidhaa lubumbashi sometimes zinakua x2 ya dsm,Sawa bro labda kama interests zako zipo huko.
Ila umeshikilia magurio ya k/koo mzee doh!
Mbona sie masoko yetu pembezoni mwa mji!?
Tegeta huko na pahala pengine.
Ulimwambia hivyo ili asikuagize vitu, unajua fika ungemwambia uko Dar angeleta mambo mengi.Nakupinga.
Dec nilienda Dar
Mtu wa Arusha ananiuliza upo wapi, nikamwambia nipo mkoani one time. Means sipo Arusha
Watu wote wa mikoani including Arusha ndoto zao ni kuja Dar na Pwani.Nipo arusha kwa kweli haya matope kimvua kikipitia ni shidàa
Mji mdogo sanaa.
Arusha hata na Dodoma mbali sanaa huku sirudi tena.
Baridi yote shida ya nini.
Idadi ya watu ndogo mpaka najiuliza wafanyabiashara wanapataje mizunguko ya bidhaa zao!
Ulim mislead mwenzako.Nakupinga.
Dec nilienda Dar
Mtu wa Arusha ananiuliza upo wapi, nikamwambia nipo mkoani one time. Means sipo Arusha
Imefutwa?Na hakuna Wilaya ya Madaba...
Wilaya zipo tano tu...Imefutwa?
Mimi sijaongelea usafi na mpangilio wa mji bali nimezungumzia ladha ya mji na mihangaiko yake yautafutaji hela.Sio kweli Dar ni zaidi ya Kibera mji UNANUKA UVUNDO