Wakazi wa Dar: Tahadhari, epuka njia hii usiku huu

Chama dola ndiyo hii!

Siku zote, hawakujua kuna watu wanalewa usiku kucha, na kuendesha magari, au kuna wezi na majambazi mitaani??

Leo eti wanatulinda?? 😂

Everyday is Saturday............................... 😎
 
KITAYA wamekatwa vichwa na kunyang'anywa vifaru wanakuja kutishia raia ambao hata shabaa ya kulenga ukuta hawawezi.
 
lugalo ni mitaani?hufahamu kwambi hilo ni enelo la kijeshi?
Ungeniambia wanajeshi wapo tandale kwa mtogole ningekuelewa.wanajeshi kulinda eneo lao imekuwa nongwa?
Why now?
 
Ipi UMESAHAU HUKU CHINI DARAJAN NDIO OFISI ZAOO KABISA MAANA PALE WANAKUHIFADHI NDANI KABISA LABDA UENDE GOBA AMA.UKALALE SUKUMA HAPA LODGE SINZA MAPAMBANOO KWA BABU MANYWELE
 
Mpwa uhangaike NJIA ya kwenda kwenu KISA umekunywa loh na bakora wanichape tu aisee napitahiohio hawana chakumpimammtu kama amelewa so KUNYWA pombe sio kulewa ukiwajibu kiutashi wanageuka WENYEWE wanahakika gan umelewa
 
KUNUKA SHAHAWA SIO LAZIMA UWE UMEFANYAMAPENZI PENGINE UMEMPAKATA DADA KWENYE BASI KAOMBA AMECHOKA GAFLA KAKUACHIA MASIHILISHI..SO UKIWEZA KUJIELEZA WALE JAMAA WANAOGOPAGA SANA WAKIJUA UNAJUA ZAIDOYAO LAMAANA TOA USHIRIKIANO UKIJIFANYA UNAJUA NDUGU SIRIYANGUU..AISEE
 
Wakalinde amani pemba.!

Ukiwa umepofuka akili huwezi kujua Nini maana ya wanajeshi kublock road na kuhoji watu usiku.

Hii ni muendelezo wa mbinu za kidikteta za kutisha raia ili wasiwe 'comfortable' katika kufanya maamuzi yao kipindi hiki cha uchaguzi.!
 
Anayekulinda hakutishi kwa bunduki, bunduki si rafiki kwa binaadamu, bunduki inaua.
 
Ni fahari na faraja kubwa kuona Vyombo vyetu Vya Ulinzi na Usalama vikiwa tayari kutuhakikishia Ulinzi Wetu
 
Vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania vimejigeuza chama cha mapinduzi! CCM wenyewe wametulia tuli wamewaachia hao JWTZ,TISS, POLISI, na maafisa wengine wa serikali wakiipigania CCM iingie madarakani!
Kwani haiko madarakani ?
 
Kwa hiyo wewe unajua kuliko vyombo vya ulinzi na usalama ?
 
Hao hao JWTZ.ikitokea machafuko wanaweza wakageuka wakawa upande wa pili.
Hivi unajua kuwa uchaguzi wa mwaka 2015 rais akiwa kikwete.majeshi yalifungiwa makambini?
Hayo machafuko yanatoka wapi kwa mfano ?
 

JWTZ sio wana usalama. Na kazi yao sio kulinda raia na mali zao. Hiyo ni kazi ya Polisi (police work). JWTZ kazi yao ya msingi ni kulinda mipaka ya nchi na tishio lolote la uvamizi toka nje ya nchi.

Aidha, nchi inapoingia katika hali ya hatari (state of emergency) ndipo JWTZ wanapoitwa kuingia mitaani nchini kupambana na tishio lolote tokea ndani na nje ya nchi. Hali ya hatari hutangazwa na Rais kwa mujibu wa katiba. Na hapo ni kama imedhihirika kuwa nchi iko hatarini kuingia vitani.

Katika nchi za kidemokrasia, wanajeshi hawawezi kuamua kuingia barabarani na kuanza kuhoji watu kama hakuna state of emergency iliyotangazwa rasmi. Kawaida, kama JWTZ wanamtafuta mtu au watu nje ya hali ya hatari, huwaomba Polisi kufanya kazi hiyo kwa maelekezo yao.
 
Kwani kazi ya jeshi hiyo?

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…