Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui kunywa pombe na kuendesha chombo cha moto ni kinyume cha sheria za barabarani?Nonsense[emoji41]
Why now?lugalo ni mitaani?hufahamu kwambi hilo ni enelo la kijeshi?
Ungeniambia wanajeshi wapo tandale kwa mtogole ningekuelewa.wanajeshi kulinda eneo lao imekuwa nongwa?
Ipi UMESAHAU HUKU CHINI DARAJAN NDIO OFISI ZAOO KABISA MAANA PALE WANAKUHIFADHI NDANI KABISA LABDA UENDE GOBA AMA.UKALALE SUKUMA HAPA LODGE SINZA MAPAMBANOO KWA BABU MANYWELENjia ya Mwenge hadi Lugalo kama unaelekea Tanki Bovu kuna wanajeshi wenye silaha wanasimamisha magari usiku huu na kuhoji watu wametoka wapi, wanaenda wapi.
Wakikuona umekunywa pombe wanakuzingua! Yaani kuna road blocks kabisa.
Ukiweza, pita barabara nyingine mbadala kuepuka usumbufu.
Mpwa uhangaike NJIA ya kwenda kwenu KISA umekunywa loh na bakora wanichape tu aisee napitahiohio hawana chakumpimammtu kama amelewa so KUNYWA pombe sio kulewa ukiwajibu kiutashi wanageuka WENYEWE wanahakika gan umelewaNjia ya Mwenge hadi Lugalo kama unaelekea Tanki Bovu kuna wanajeshi wenye silaha wanasimamisha magari usiku huu na kuhoji watu wametoka wapi, wanaenda wapi.
Wakikuona umekunywa pombe wanakuzingua! Yaani kuna road blocks kabisa.
Ukiweza, pita barabara nyingine mbadala kuepuka usumbufu.
Wakalinde amani pemba.!Wana usalama wapo kwa ajili yetu, wanalinda amani raia na mali zao, hivyo haina haja ya kupost mambo ya kutishana labda uwe ni muhalifu
Nimepita maeneo hayo, nilipowaona tumesalimiana na nimefarijika kuona amani imetamalaki.
Tupunguze kiwango cha ujinga ktk akili zetu.
Anayekulinda hakutishi kwa bunduki, bunduki si rafiki kwa binaadamu, bunduki inaua.Wana usalama wapo kwa ajili yetu, wanalinda amani raia na mali zao, hivyo haina haja ya kupost mambo ya kutishana labda uwe ni muhalifu
Nimepita maeneo hayo, nilipowaona tumesalimiana na nimefarijika kuona amani imetamalaki.
Tupunguze kiwango cha ujinga ktk akili zetu.
Njia ya Mwenge hadi Lugalo kama unaelekea Tanki Bovu kuna wanajeshi wenye silaha wanasimamisha magari usiku huu na kuhoji watu wametoka wapi, wanaenda wapi.
Wakikuona umekunywa pombe wanakuzingua! Yaani kuna road blocks kabisa.
Ukiweza, pita barabara nyingine mbadala kuepuka usumbufu.
Ni fahari na faraja kubwa kuona Vyombo vyetu Vya Ulinzi na Usalama vikiwa tayari kutuhakikishia Ulinzi WetuNjia ya Mwenge hadi Lugalo kama unaelekea Tanki Bovu kuna wanajeshi wenye silaha wanasimamisha magari usiku huu na kuhoji watu wametoka wapi, wanaenda wapi.
Wakikuona umekunywa pombe wanakuzingua! Yaani kuna road blocks kabisa.
Ukiweza, pita barabara nyingine mbadala kuepuka usumbufni
Kwani haiko madarakani ?Vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania vimejigeuza chama cha mapinduzi! CCM wenyewe wametulia tuli wamewaachia hao JWTZ,TISS, POLISI, na maafisa wengine wa serikali wakiipigania CCM iingie madarakani!
Kwa hiyo wewe unajua kuliko vyombo vya ulinzi na usalama ?Tuwakumbushe JWTZ mpaka wa Mozambique magaidi wanaingia na kutoka Kama choo cha umma.wanaua raia na kuteka dar ipo salama salimi .kinachoshangaza IGP Sirro anawaongela Al shabab wa msumbiji nyiny mpo na uchaguzi.ebu fanyeni yenu .mlianza kwenye korosho nyinyi wa kubeba korosho na kulinda ambazo Wana kusini wanaziacha nje miaka yote au kwenye maghala ya matope hakuna wa kuiba?
Watanzania ni wenye busara mno watapiga na kuondoka salama hofu yetu ipo kitaya na mto ruvuma nendeni huko
SISiem acheni kutualibia jeshi letu.
Tayari mmeharibu
Jeshi la polisi
Magereza
Uhamiaji
Usalama wa taifa
Mambo
Mahakama
Tcra
Tra
Mamlaka ya hali hewa
Mamlaka ya viwanja vya ndege
Hifadhini heahima jwtz
Yeye ndio wa hovyo. Angekuwa wa maana angeunga mkono ushoga na kuisaliti nchi.Lissu hakukosoea aliposema tuna li rais la ovyo kuwa kutokea.
Hayo machafuko yanatoka wapi kwa mfano ?Hao hao JWTZ.ikitokea machafuko wanaweza wakageuka wakawa upande wa pili.
Hivi unajua kuwa uchaguzi wa mwaka 2015 rais akiwa kikwete.majeshi yalifungiwa makambini?
Wana usalama wapo kwa ajili yetu, wanalinda amani raia na mali zao, hivyo haina haja ya kupost mambo ya kutishana labda uwe ni muhalifu
Nimepita maeneo hayo, nilipowaona tumesalimiana na nimefarijika kuona amani imetamalaki.
Tupunguze kiwango cha ujinga ktk akili zetu.
Lissu ni kitu sawa na hakuna wala hana impact yoyote. Kashiriki uchaguzi kupoteza muda tu maana hana cha kufanya.Maccm yanatumia minguvu kibaaao kumtuliza lissu
Kwani kazi ya jeshi hiyo?Kuna watu wana akili za hovyo,yana mtu anadiliki kusema kuwa wakikukuta umekunywa pombe wanakuzingua wakati anajua fika kunywa pombe na kuendesha chombo cha moto ni kinyume cha sheria za barabarani.
Nahisi hakuna wakati tumezalisha vijana wajinga kama nyakati hizi,Mungu tu atusaidie.
Mawakala wamo kwenye vituo. Opposition so.etimes wanakosa seriousnessLa muhimu ni kwamba muda huu mmeshaamka tuwahi foleni tupige kura za kutosha. Mwenye nazo atazilinda.