Wakazi wa Dar, ulishawahi kuitwa na kuingia kwenye mfumo wa huyu muuza juice pale Karume?

Ukienda tena mwambie aje nimpe ndoo safi
 
Hapo mwnye matatizo wewe. Yaani unapewa juice tena na mwanaume mwenzako unadhani ni ukarimu?
 
Daslam wa Kuja wengi na ndio anaowapiga yani mm nikiwa Town ninavokuwa busy na mishe zangu ataanzia wapi kuniita...Na hata akiniita naanzaje kumsikiliza hadi kusimama na kuanza kunywa juice
 
Kumbe jf kuna wanywa juice za mitaani za maji ambayo hayajachemshwa?🀭🀭🀭! Mimi nilidhani humu wote matajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…