Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Ukienda tena mwambie aje nimpe ndoo safiView attachment 3063170
unatembea zako ghafla unaitwa,
zinaanza stori "vipi, bwana habar za siku nyingi, bado unaish pale pale au"... mda huo huelewi chochote kombe linajazwa juice basi inadhani ni ukarimu
mnaendelea na story unajua pengine labda mliishi eneo moja huku ukizidi kuvuta picha umkumbuke.
mwisho wa siku anakwambia "ahsante Kwa kunichangia, hiyo buku tu"