Wakazi wa Dar, ulishawahi kuitwa na kuingia kwenye mfumo wa huyu muuza juice pale Karume?

Kumbe jf kuna wanywa juice za mitaani za maji ambayo hayajachemshwa?🤭🤭🤭! Mimi nilidhani humu wote matajiri
 
Amekufanyia???
 
napenda juice sana, lakini ni heri niamke mapema,niandae juice angu mwenyewe nyumbani nitembee nayo kwenye kopo,,ila sio ya kununua mtaani
 
Mimi nikiiingia mjini uwa nakula BUYU LA MAANA.
Siongei na mtu labda iwe lazma.
Na sijawahi kuibiwa kariakoo
 
Ubunifu mzuri
Wapenda vya bure ndiyo wataumia
 
NJAA ZINAUAA IMAGINE KAWEKA SUMU ANAWAONDOA WANGAPI KWA STHLE HIOO

MKUU SIKUHIZI HATA HARUSI ZA NDUGU TUNAENDA NA MAJI YETU SEMBUSE HUKI DOH

KIBOKO AKIRUDI NTAKUJUZA UKAOMBEEWE
 

Mm aliniita lakini sikunywa juis, nibak namwambia anikumbushe tumeonana wapi akashindwa nikajua huyu tapeli
 
Kunajamaaa wawili wabauza nguo wako pale karume wana degree ya bachelor of law sasa uwe makini agent zao haoo wanajiongeza wanazipataje hela zenu
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
HUNA AKILI NA UNAWEZA KUOLEWA KIRAHISI SANA. HUWEZI KUWA NA AKILI TIMAMU UNAPEWA TU JUICE UNAKUNYWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…