Atlast nimempata
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 386
- 680
Kumbe jf kuna wanywa juice za mitaani za maji ambayo hayajachemshwa?🤭🤭🤭! Mimi nilidhani humu wote matajiriDah oya mimi nikajuaga inanikutaga mimi tu, amenifanyia mara mbili mara ya mwisho nilikua na jamaa yangu juice mbaya kinyama sijui maji ya mtaroni alafu buku glasi, jamaa anajifanya kama anakufahamu mliishaonana huku anakupa juice unywe yupo na toroli kajaza jaba la juice