Wakazi wa Dar, ulishawahi kuitwa na kuingia kwenye mfumo wa huyu muuza juice pale Karume?

Ahahaha wamekuchokoza bea sasa....
Alafu ukute we jamaa ni kitengo....
 
Huyo jamaa ni KABOKA MCHIZI AU NDUMILA KUWILI WA GAZETI LA SANI TULIMSOMA SANA VITUKO VYAKE
 
Ahahahahaha! Mbongo na ubunifu wa kibiashara wa Kibongo! Ahahahahaha!!!
 
Nchi imefika pabaya sana hii, mtoto wa kiume. Mpaka unasimamishwa ukasimama hadi unapewa juisi unakunywa na kujiramba ukiwa haujielewi halafu unapotakiwa kulipa ndiyo unastuka???
Upo salama kweli wewe?
Na mwingine hapo juu kasema kabisa kuwa alikunywa hilo lijuisi na mke wake!
 
Nimecheka 🀣 🀣 πŸ™ŒπŸ™Œ
Hakika biashara ubunifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…