Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Ahahaha wamekuchokoza bea sasa....Kuna mbinu mbili za kijasusi au za kihalifu ...1) nikuonekana mshamba 2)ni kuonekana smart na mjuaji hadi watu kukutukuza ...hivyo usidhalau kumwona mtu mshamba au usimtukuze mtu kwa kumwona smart ....visa vilivyo nikuta kuhusu watu kuni charenji vilitumia hizo mbinu mbili zote na wakashindwa maana hata mimi nazitumia hata hapa JF wakati mwingina najifanya mshamba au mjinga kumbe nina shabaa zangu ..
Wapo matapeli wana fanikiwa kukutapeli kwa kujifanya wao washamba na kukufanya wewe huamini kwa moyo wako wote kuwa wao ni washamba .. wakisha kuaminisha hivyo ndipo wanapo kutapeli kirahisi kabisa baadae wewe unakuja kugundua kuwa walijifanya washamba ili wakutapeli...siku zote mimi napenda kuonekana nisivyo ili nipate kuwatega watu wanao jaribu kunitega mimi.
Alafu ukute we jamaa ni kitengo....