Wakazi wa Dar, ulishawahi kuitwa na kuingia kwenye mfumo wa huyu muuza juice pale Karume?

Wakazi wa Dar, ulishawahi kuitwa na kuingia kwenye mfumo wa huyu muuza juice pale Karume?

Kuna mbinu mbili za kijasusi au za kihalifu ...1) nikuonekana mshamba 2)ni kuonekana smart na mjuaji hadi watu kukutukuza ...hivyo usidhalau kumwona mtu mshamba au usimtukuze mtu kwa kumwona smart ....visa vilivyo nikuta kuhusu watu kuni charenji vilitumia hizo mbinu mbili zote na wakashindwa maana hata mimi nazitumia hata hapa JF wakati mwingina najifanya mshamba au mjinga kumbe nina shabaa zangu ..
Wapo matapeli wana fanikiwa kukutapeli kwa kujifanya wao washamba na kukufanya wewe huamini kwa moyo wako wote kuwa wao ni washamba .. wakisha kuaminisha hivyo ndipo wanapo kutapeli kirahisi kabisa baadae wewe unakuja kugundua kuwa walijifanya washamba ili wakutapeli...siku zote mimi napenda kuonekana nisivyo ili nipate kuwatega watu wanao jaribu kunitega mimi.
Ahahaha wamekuchokoza bea sasa....
Alafu ukute we jamaa ni kitengo....
 
Unatembea zako ghafla unaitwa,

Zinaanza stori "Vipi, bwana habar za siku nyingi, bado unaish pale pale au"... Mda huo huelewi chochote kombe linajazwa juice basi inadhani ni ukarimu

Mnaendelea na story unajua pengine labda mliishi eneo moja huku ukizidi kuvuta picha umkumbuke.

Mwisho wa siku anakwambia "Ahsante kwa kunichangia, hiyo buku tu"

Pia Soma - Jeshi la polisi limebariki huu wizi Kariakoo?
Huyo jamaa ni KABOKA MCHIZI AU NDUMILA KUWILI WA GAZETI LA SANI TULIMSOMA SANA VITUKO VYAKE
 
Unatembea zako ghafla unaitwa,

Zinaanza stori "Vipi, bwana habar za siku nyingi, bado unaish pale pale au"... Mda huo huelewi chochote kombe linajazwa juice basi inadhani ni ukarimu

Mnaendelea na story unajua pengine labda mliishi eneo moja huku ukizidi kuvuta picha umkumbuke.

Mwisho wa siku anakwambia "Ahsante kwa kunichangia, hiyo buku tu"

Pia Soma - Jeshi la polisi limebariki huu wizi Kariakoo?
Ahahahahaha! Mbongo na ubunifu wa kibiashara wa Kibongo! Ahahahahaha!!!
 
Nchi imefika pabaya sana hii, mtoto wa kiume. Mpaka unasimamishwa ukasimama hadi unapewa juisi unakunywa na kujiramba ukiwa haujielewi halafu unapotakiwa kulipa ndiyo unastuka???
Upo salama kweli wewe?
Na mwingine hapo juu kasema kabisa kuwa alikunywa hilo lijuisi na mke wake!
 
Unatembea zako ghafla unaitwa,

Zinaanza stori "Vipi, bwana habar za siku nyingi, bado unaish pale pale au"... Mda huo huelewi chochote kombe linajazwa juice basi inadhani ni ukarimu

Mnaendelea na story unajua pengine labda mliishi eneo moja huku ukizidi kuvuta picha umkumbuke.

Mwisho wa siku anakwambia "Ahsante kwa kunichangia, hiyo buku tu"

Pia Soma - Jeshi la polisi limebariki huu wizi Kariakoo?
Nimecheka 🤣 🤣 🙌🙌
Hakika biashara ubunifu
 
Back
Top Bottom