Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
Haogopi kulipiwa tena pwani😂😂Hapo mwnye matatizo wewe. Yaani unapewa juice tena na mwanaume mwenzako unadhani ni ukarimu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haogopi kulipiwa tena pwani😂😂Hapo mwnye matatizo wewe. Yaani unapewa juice tena na mwanaume mwenzako unadhani ni ukarimu?
Labda nikiri tu kuwa nilishawahi kuingia kwenye mfumo na hadi nainywa niliamini ananijua kweli. Lakini nilimlipa hela kwa mantiki kwamba namsapoti mtu anijuaye, anayehangaika kwa kujiajiri.View attachment 3063170
unatembea zako ghafla unaitwa,
zinaanza stori "vipi, bwana habar za siku nyingi, bado unaish pale pale au"... mda huo huelewi chochote kombe linajazwa juice basi inadhani ni ukarim...
Wee huogopi..Kabla sijarogwa mie, watarogwa wao kwanii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unatembea zako ghafla unaitwa,
Zinaanza stori "Vipi, bwana habar za siku nyingi, bado unaish pale pale au"... Mda huo huelewi chochote kombe linajazwa juice basi inadhani ni ukarimu
Mnaendelea na story unajua pengine labda mliishi eneo moja huku ukizidi kuvuta picha umkumbuke.
Mwisho wa siku anakwambia "Ahsante kwa kunichangia, hiyo buku tu"
Pia Soma - Jeshi la polisi limebariki huu wizi Kariakoo?
Kwa nini usikatae? Hivi unaanzaje kuparamia majuisi ya barabarani ambayo haujui yametengenezwaje?Dah oya mimi nikajuaga inanikutaga mimi tu, amenifanyia mara mbili mara ya mwisho nilikua na jamaa yangu juice mbaya kinyama sijui maji ya mtaroni alafu buku glasi, jamaa anajifanya kama anakufahamu mliishaonana huku anakupa juice unywe yupo na toroli kajaza jaba la juice
ChaiNiliwahi mfurushaa na hakuaminiii yeye mwenyewee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nchi imefika pabaya sana hii, mtoto wa kiume. Mpaka unasimamishwa ukasimama hadi unapewa juisi unakunywa na kujiramba ukiwa haujielewi halafu unapotakiwa kulipa ndiyo unastuka???
Unatembea zako ghafla unaitwa,
Zinaanza stori "Vipi, bwana habar za siku nyingi, bado unaish pale pale au"... Mda huo huelewi chochote kombe linajazwa juice basi inadhani ni ukarimu
Mnaendelea na story unajua pengine labda mliishi eneo moja huku ukizidi kuvuta picha umkumbuke.
Mwisho wa siku anakwambia "Ahsante kwa kunichangia, hiyo buku tu"
Pia Soma - Jeshi la polisi limebariki huu wizi Kariakoo?
Sema nae anaekunywa juice katika mazingira yale jua kabisa ni haki yake kutapeliwaYupo na
Yupo mwisho wa fensi ya kiwanda chaTBL